Dr Irene

Dr Irene Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr Irene, Doctor, Kambu.

27/04/2026

⚜️⚜️⚜️
"sipendi
ujinga mimi"

1.jana, nilikutana na boy fulani
akaniuliza
mbona nimekunja uso. ,nikamjibu,
nataka kuiweka kwa bag. sababu mi sipendi
ujinga.

2.juzi neighbor yangu alikuja
akaniambia
nipunguze sauti ya radio anataka
kulala.jana
akipika chapoo na mimi nkamwambia
apunguze
harufu ya chapati nataka kula ugali.
saa hii tuko
kwa landlord tunaongea hio maneno. ju
sipendi
ujinga

3.ushawahi katia mrembo sana mpaka
anakushow uende kwao akuna mtu
kufika
unapata pia yeye hayuko......kumbe
huyo
mrembo hapendi ujinga

4.sasa polisi anatusimamisha eti juu
number
plate ya nyuma na ya mbele haifanani,
alafu
beshteangu anamuuliza k**a uso yake
na
matako inafanana.......mi imebidi
nicheke sai
tuko central ndo napatiana simu, so
nitakua
mteja kiasi .hata polisi kumbe
hawatakangi
ujinga.

5.ex wangu amenicall kuitisha
earphones
zake..nmempelekea earphones nkachukua
simu
yangu..nmemwacha akiziconnect kwa
radio. hata
mimi nmerealise sipendangi ujinga.

6.nimeenda hosi kupimwa
ugonjwa,results kukam
doc ananisho ati choo yangu ni
mbaya....sai
najenga ingine, sipendangi ujinga mimi

7.nlitoka Nai 3am juzi. kufika Nakuru
taxi
ya home inalipisha 1500 na basi ya
kwenda
mombasa inalipisha 700,nlienda
mombasa na
700 nkarudi na 700 na nkabaki na
mia.sitakangi
ujinga mimi.

8.mlevi anapanda gari alafu conda
anamuuliza"na
hii ulevi yako utaenda mbinguni
kweli"mlevi
akamjibu"k**a mnaenda mbinguni
simamisha
gari nishuke mimi naenda tu apa
Lurambi.......…........pia mlevi hapendi ujinga

9.mtoi wa neighbour amenizoea sana.
nikimtuma kitu kwa duka anakula tu.
juzi
nilimtuma mkate akaila, jana nikamtuma
blue band akala. leo nimetuma super glue,
saa hii haongei.ujinga sipendi!.. ye 🤣🤣
10.kumbe hata wewe hupendi ujinga juu naona unawezacomment mbaka nishtuke🙈

Tena k**a hujawainifollow leo uguse hiyo follow button juu ya post tuchekange pamoja ndio nijue pia wewe hupendangi ujinga😂

16/07/2025

Nimepanda gari pale CBD, konda kuanza kulipisha nikadhani ni vitu anauza😏 mtu wa kwanza akapeana Soo moja na akasema allsopps, wa pili akapeana pesa na akasema kahawa, watatu akapeana yake akasema sukari.

Mimi kufikiwa nikapeana mia mbili nikasema soda Ile kubwa na njugu😒. Bado tuko apa pangani gari imesimamishwa na watu wanacheka. Am still confused ☹️ Kwani nimekosea wapi shually 💔 😳😒

05/07/2025

I've just realised that Christmas this year will be on 25/25/25

04/07/2025

To Fresha...si mwalimu 🤔ni lec, Sio subject ni unit🤗,Si dorm ni hostel😮‍,Si DH ni mess, Sio A ni distinction,Si E ni fail😂
,Alafu si student ni comrade 😅
na si chokora ni third year😂💔

04/07/2025
Am still young wajameni 😂😂
25/06/2025

Am still young wajameni 😂😂

Address

Kambu

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Irene posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category