Asoyon Renal and Outpatient Clinic

Asoyon Renal and Outpatient Clinic Comprehensive outpatient and kidney care with compassion, expertise, and modern technology.

Today, we celebrate all fathers and father figures for their strength, dedication, and unwavering support.As we honor th...
21/06/2026

Today, we celebrate all fathers and father figures for their strength, dedication, and unwavering support.

As we honor the men who care for others, we encourage them to take time to care for their own health too.

📢 Join us for our Urology Clinic on Tuesday, 23rd June 2026 for consultation and screening of men's urinary and prostate health concerns.

Call 0735270339/0705453253 to book an appointment

Your health matters. We look forward to seeing you.

Ebola ni ugonjwa hatari unaoweza kuenea kupitia kugusana na majimaji ya mwili wa mtu aliyeambukizwa.Kwa maelezo zaidi pi...
27/05/2026

Ebola ni ugonjwa hatari unaoweza kuenea kupitia kugusana na majimaji ya mwili wa mtu aliyeambukizwa.
Kwa maelezo zaidi piga simu:
📞 0705 453 253 / 0735270339
au utembelee Laikong Plaza 1st Floor, Kapenguria West Pokot County
Asoyon Renal & Outpatient Clinic

Ebola ni ugonjwa hatari unaoweza kuenea kupitia kugusana na majimaji ya mwili wa mtu aliyeambukizwa.Kwa maelezo zaidi:Pi...
27/05/2026

Ebola ni ugonjwa hatari unaoweza kuenea kupitia kugusana na majimaji ya mwili wa mtu aliyeambukizwa.
Kwa maelezo zaidi:
Piga simu📞 0705 453 253 / 0735270339
Asoyon Renal & Outpatient Clinic

🌡️ MTOTO ANA HOMA (FEVER)?Homa inaweza kuwa dalili ya:⚠️ Malaria⚠️ Infection⚠️ Mafua makaliUsipeane dawa bila ushauri wa...
18/05/2026

🌡️ MTOTO ANA HOMA (FEVER)?

Homa inaweza kuwa dalili ya:
⚠️ Malaria
⚠️ Infection
⚠️ Mafua makali

Usipeane dawa bila ushauri wa daktari.

📍Tupo kukusaidia Asoyon Renal & Outpatient
📞 Piga simu: 0705453253 / 0735270339
📍 Visit us: Laikong Plaza 1st Floor Kapenguria, West Pokot County

🩺 UMEWAHI KUSIKIA ULTRASOUND?Ultrasound hutumia mawimbi ya sauti (sound waves) kuangalia ndani ya mwili bila kutumia mio...
13/05/2026

🩺 UMEWAHI KUSIKIA ULTRASOUND?

Ultrasound hutumia mawimbi ya sauti (sound waves) kuangalia ndani ya mwili bila kutumia mionzi (radiation).
Ni kipimo salama, rahisi, na hakina maumivu 😊

Tunatumia ultrasound kuangalia:
✅ Mimba (pregnancy) na maendeleo ya mtoto
✅ Tumbo na viungo vya ndani
✅ Figo na kibofu cha mkojo (bladder)
✅ Mfumo wa uzazi
✅ Uvimbe k**a thyroid au aina kadhaa ya saratani (Cancer) au sehemu zenye maumivu

✔ Salama kwa wajawazito na watoto
✔ Majibu hupatikana haraka
✔ Haina maumivu

Karibu Asoyon Renal & Outpatient Clinic.

📍 Laikong Plaza 1st Floor, Kapenguria, West Pokot
📞 0705453253 / 0735270339
asoyonrenal.com

🌷 Heri ya Siku ya Akina Mama 🌷Leo tunawasherehekea wanawake wenye moyo wa upendo, nguvu, uvumilivu na kujitolea bila kik...
10/05/2026

🌷 Heri ya Siku ya Akina Mama 🌷

Leo tunawasherehekea wanawake wenye moyo wa upendo, nguvu, uvumilivu na kujitolea bila kikomo.
Asante kwa malezi, maombi, faraja na upendo mnaoutoa kila siku.

Kwa kila mama, mlezi na mwanamke anayegusa maisha ya wengine kwa wema — tunawathamini sana. ❤️

Join us for an informative session on lifestyle diseases this Wednesday 6th May from 0800-1000am on Aperit Fm and Facebo...
05/05/2026

Join us for an informative session on lifestyle diseases this Wednesday 6th May from 0800-1000am on Aperit Fm and Facebook Live

Kila hatua unayochukua leo kazini, inajenga kesho yako.Endelea kujituma, kuwa na nidhamu, na kuamini katika juhudi zako....
01/05/2026

Kila hatua unayochukua leo kazini, inajenga kesho yako.
Endelea kujituma, kuwa na nidhamu, na kuamini katika juhudi zako. Mafanikio huanza na kazi ya leo.
Happy Labour Day

Mtoto ana homa? Usipuuze.Malaria ni moja ya magonjwa ya kawaida kwa watoto.Dalili za awali:• Homa• Kutapika• Udhaifu / k...
27/04/2026

Mtoto ana homa? Usipuuze.

Malaria ni moja ya magonjwa ya kawaida kwa watoto.

Dalili za awali:
• Homa
• Kutapika
• Udhaifu / kukosa kula
• Maumivu ya kichwa

⚠️ Dalili hatari: degedege (convulsions), usingizi mwingi, kupumua kwa shida

✅ Kinga:
• Tumia neti za mbu
• Mpeleke hospitali mapema ukiona homa
• Maliza dawa k**a ulivyoelekezwa

Tembelea kituo chetu kwa vipimo na matibabu kwa bei nafuu.

❌ MYTH: You only need lab tests when you’re sick✅ FACT: Regular testing helps detect disease earlyPrevention is better t...
25/04/2026

❌ MYTH: You only need lab tests when you’re sick

✅ FACT: Regular testing helps detect disease early

Prevention is better than cure.

Address

Kapenguria

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Asoyon Renal and Outpatient Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share