16/09/2026
First baby? Usipanick, mama! Hii ni yako!
Kujifungua ni safari, na preparation inasaidia sana! Whether ni first baby yako ama umefika hapa tena, you deserve the right support.
At Mercy Medical Centre, tunakusaidia kujiandaa for labour, delivery na life after baby.
Tuko na childbirth preparation classes zinazokufaa:
πΈ Pregnancy health & wellness β Jifunze namna ya kujitunza ukiwa mjamzito.
π©π½ββοΈ support β Usiwe peke yako wakati wa labour na delivery.
πΌ counselling β Jifunze jinsi ya kumnyonyesha baby na kupata support.
πΆπ½ Baby care β Cord care, bathing, weaning na mambo ya msingi ya kumtunza mtoto.
π€°π½ Childbirth & Lamaze classes β Jiandae kwa labour na delivery ukiwa na confidence.
π©Ή Safety & first aid β Jua cha kufanya wakati wa emergency za mtoto.
β€οΈ β Kwa sababu mama pia anahitaji care baada ya kujifungua.
Mum, usisubiri mpaka siku ya kujifungua ndio uanze kuuliza maswali.
Come and learn, ask questions and prepare for your new chapter. β€οΈ
π Nairobi C*D | Cardinal Otunga Plaza π 0729 370022 / 0733 370022
π Mugutha Level 4 Hospital, Juja π 0702 600800 / 0782 600800
What is one thing you wish someone had told you before ?
π² Tag your pregnant friend, sister or wife!