Hon. Erastus Mijuka

Hon. Erastus Mijuka Incoming Mca for Kapkangani ward

26/05/2026
KAPKANGANI YA MAENDELEO NI SASA!Hon. Erastus Mijuka ni kiongozi mwenye maono ya kuleta mabadiliko ya kweli kwa wananchi ...
26/05/2026

KAPKANGANI YA MAENDELEO NI SASA!

Hon. Erastus Mijuka ni kiongozi mwenye maono ya kuleta mabadiliko ya kweli kwa wananchi wa Kapkangani Ward.
Akipewa nafasi mwaka 2027, ataleta maendeleo yenye kugusa kila familia na kila kijiji.

✅ Kusaidia wajane na walemavu
✅ Bursary kwa vijana wetu
✅ Kuinua wanawake na wanaume kiuchumi
✅ Ujenzi wa barabara na madaraja bora
✅ Maji safi na salama kwa wote
✅ Ajira kwa vijana na maendeleo ya biashara
✅ Usawa, haki na huduma kwa kila mwananchi

🗳️ Piga kura maendeleo. Piga kura kazi na utu.

🟢 Hon. Erastus Mijuka – Ahadi Zetu, Kesho Bora!

26/05/2026







25/05/2026

Watu wa Kapkangani tumenyanyaswa kwa muda mrefu sana, ni Wakati wa kupigia kiongozi ambaye mmeona mambo ambaye anafanya bila uchaguzi wa rangi... Mimi nitazidi Kutembea na nyinyi hadi mwisho
.mijuka

MHESHIMIWA ERASTUS MIJUKA – KIONGOZI WA WATUKwa vitendo, Hon. Erastus Mijuka ameendelea kugusa maisha ya jamii kwa kuwas...
24/05/2026

MHESHIMIWA ERASTUS MIJUKA – KIONGOZI WA WATU

Kwa vitendo, Hon. Erastus Mijuka ameendelea kugusa maisha ya jamii kwa kuwasaidia wajane, watu wenye ulemavu na familia zenye uhitaji kupitia ugawaji wa blanketi na viti vya magurudumu.

Ni kiongozi mtumishi mwenye moyo wa kujitolea, anayesimama na wananchi wake wakati wa shida na mahitaji. Dhamira yake ni kuona kila mwananchi anaishi kwa heshima, matumaini na maendeleo.

✅ Kuinua wanawake kiuchumi
✅ Kutoa bursaries kwa wanafunzi wenye uhitaji
✅ Kusaidia wajane na watu wenye ulemavu
✅ Kuleta maendeleo ya kweli kwa jamii

Kura kwa Mijuka ni kura ya maendeleo, uwezeshaji wa wanawake, elimu bora na kusaidia wenye mahitaji.

“Kiongozi bora ni yule anayehudumia watu wake kwa vitendo.”




Address

Kapkangani Word
Nyeri

Opening Hours

Monday 07:00 - 21:00
Tuesday 07:00 - 21:00
Wednesday 07:00 - 21:00
Thursday 07:00 - 21:00
Friday 07:00 - 21:00
Saturday 07:00 - 21:00

Telephone

+254105954074

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hon. Erastus Mijuka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share