12/07/2026
Mimi kuna swali moja limenisumbua miaka mingi.
Nani aliwadanganya kuku kwamba saa kumi na moja asubuhi ndiyo muda wa kuitisha mkutano?
Kuna kuku ya jirani yetu ilikuwa na confidence ya mtu analipa rent ya ploti mzima.
Kila asubuhi ilikuwa lazima isikike.
Na si kuwika mara moja tuh, ulikua mpaka unaanza kushuku labda kuna backup singer ndani yake. 😂
Baada ya wiki kadhaa nilikuwa nimeifikia mahali nikimuona jirani nataka nimwambie achague tumwachie ploti abaki na kuku ama sisi tubaki. 😭
Jana naingia kwa nyumba usiku nimechoka.
Thanks God for Little Doves Day & Night Care na service yao poa ya PICK and DROP to and from school, ju waliniokolea pande ya mtoi.
Manzi zile pressure za final days za project zilikuwa zimenimaliza. Una-overwork mpaka unajipata huna time hata ya familia.
After shower nikajitupa tu kwa bed. Nikaiweka Yatapita by Diamond kwa simu.
Hapo ndiyo nilipotea.
Manze, next thing ilikuwa ni kelele ya ile kuku. Ugethani siku za mwisho zimewadia. 😭
Nikafumbua macho nikaitukana ile tusi ya kimoyomoyo ambayo huwezi kusema mbele ya mtoto.
Nikashika simu niangalie ni saa ngapi imeniharibia usingizi. Screen ikagoma kuwaka.Hapo ndipo nilikumbuka nililala kabla ya kucharge simu.
Nikavuta curtain kidogo...
Sikuamini asubuhi tayari imefika.
😭😂
Wallahi nilivaa nguo kwa speed.
Nikapitia Little Doves nikadrop uniform ya mtoi, kisha nikatoka mbio kazini.
Nilifika late na minutes chache tu thanks to hiyo kuku ya jirani.
Luckily tukafinalise project yetu, tukaisubmit, na ikapita.Sasa angalau nitapata time ya kukaa na mtoi bila pressure ya project.
Jioni nikirudi nilikutana na yule jirani. Kwa mara ya kwanza tangu ahamie kwa hiyo ploti nikamsalimia na tabasamu.
Alinishangaa.
Hangejua bila yeye na kuku yake...
Career yangu ingekuwa as good as dead 😂
Leo asubuhi bado naisikia ile kuku ikiwika.
Bado inanikasirisha, lakini sasa na ikasirikia kwa heshima. 😂