Almak Nutrition

Almak Nutrition Huduma Ya Afya Kwa Wanaume Bila Kutumia Kemikali Yoyote >>>

15/06/2026

HATARI : Ukiona Dalili Yoyote Wahi Tiba >>>

• Maumivu ya korodani
• Maumivu muda wa kukojoa
• Uvimbe kwenye korodani
• Matiti kuwa makubwa
• Uume kutoa usaha/damu
• Maumivu wakati wa tendo
• Sauti kuwa nyoororo
• Uume kusimama legelege
• Uume kuanza kupungua
• Hamu ya tendo kupungua
• Tabia kuwa za k**e k**e
• Kuwahi kumwaga
• Hasira kuwa juu sana

Niandikie ni tatizo gani kwenye orodha linakukumba na unahitaji msaada wetu?

KUWA SHUJAA UWANJANI.
03/06/2026

KUWA SHUJAA UWANJANI.

18/05/2026

Pona kuvimba kwa Tezi Dume bila upasuaji.

Wasiliana nami simu
No. 0710892281

Tunaagiza kwa uaminifu mkubwa popote pale Tanzania. Kuweka ODA yako nipigie sasahivi No. 0710892281
11/05/2026

Tunaagiza kwa uaminifu mkubwa popote pale Tanzania.

Kuweka ODA yako nipigie sasahivi
No. 0710892281

06/05/2026

Kuwa Master KITANDANI Leo. Agiza Yakwako Sasa.

Kuweka ODA yako wasiliana nami
Namba: +255710892281

22/04/2026

Huduma ya uondoaji wa SUNZUA.

Unakuja nazo lakini haupndoki nazo.

Ikiwa unazo au unamfahamu mtu ana SUNZUA mpatie mawasiliano yetu.

No. 0710892281

[CHUKUA] : POINTI MUHIMUNguvu za kiume hutegemea mtindo wa maisha yako, sio dawa peke yake.Sababu kuu za kupungua nguvu:...
17/04/2026

[CHUKUA] : POINTI MUHIMU

Nguvu za kiume hutegemea mtindo wa maisha yako, sio dawa peke yake.

Sababu kuu za kupungua nguvu:
Stress, Lishe mbovu, Kutofanya mazoezi, Pombe & sigara, Usingizi mdogo

Siri za wazee wetu kuwa ngangali hadi umri wa miaka 70+

Vyakula vya asili, Kazi za mwili, Usingizi wa kutosha, Stress chache

Mazoezi muhimu:
Squats, Push-ups, Plank, Kegel

Vyakula muhimu:
Mayai, samaki, karanga
Ndizi, asali, mboga za majani, Matunda k**a tikiti maji, parachichi na ndizi mbivu

Mabadiliko ya kweli yanahitaji:
Nidhamu, Mwendelezo, Elimu na tiba sahihi

NB: Ujumbe Mkuu:
Badilisha maisha yako ya kila siku na upate matibabu nguvu zako zitarudi 🔥

Hongereni sana mnaoendelea kujinyima na kuanza matibabu yenu.Full Dozi ya Tsh 245,000 Kwenda SINGIDA - SHELUINa Nusu Doz...
14/04/2026

Hongereni sana mnaoendelea kujinyima na kuanza matibabu yenu.

Full Dozi ya Tsh 245,000
Kwenda SINGIDA - SHELUI

Na Nusu Dozi ya Tsh 125,000
Kwenda MBEYA

Miaka Ya Zamani Dhidi Ya Sasa >>>Zamani chakula kilikuwa kinapambaniwa lakini miaka ya sasa vyakula unajisogezea tu.Ili ...
09/04/2026

Miaka Ya Zamani Dhidi Ya Sasa >>>

Zamani chakula kilikuwa kinapambaniwa lakini miaka ya sasa vyakula unajisogezea tu.

Ili ule ilikuwa lazima kuna mchakato.
Hapakuwa na soseji, pizza, nyama za kopo n.k

Watu walipenda asili. Ukienda mgahawani ukaagiza supu ya uyoga kila mmoja atageuka kukuangalia kwa mshangao.

Ukizungumzia magimbi hata wengine hawajawahi kujua yanapatikanaje.

Anyway: Vyakula vya kisasa si kwaajili ya mwanaume. Waachie watoto na wanawake.

Marafiki Zako Ji;
Zinki, Magnesiamu, Cholesterol, Saa 8 za kupumzika, Jua, Funga, Mazoezi, Bed Master, Mayai ya kienyeji na kuepuka stress.

Hivi vinakupa TESTOSTERONE iliyo nyooka Inayokufanya uwe mwanaume RIJALI.

Hakunaga KIBONGE mwepesi bana badili maisha unayoishi uwe na mwili standard na fit.

Daniel 1:8Lakini Danieli aliazimu moyoni mwake ya kuwa hatajitia unajisi kwa chakula cha mfalme, wala kwa divai aliyokun...
03/04/2026

Daniel 1:8
Lakini Danieli aliazimu moyoni mwake ya kuwa hatajitia unajisi kwa chakula cha mfalme, wala kwa divai aliyokunywa; basi akamwomba yule mkuu wa matowashi ampe ruhusa asijitie unajisi.

Mwanaume Mwanaume 🗣️
K**a tu Daniel nawe amua leo kuachana na masuala ya kula vyakula vyenye sukari na mafuta mengi pamoja na vyakula vya super market (Usile bidhaa) 😇😊

Follow page yetu.

Address

Arusha
23101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Almak Nutrition posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share