25/10/2026
Metafom ni dawa ya kisukari ambayo inaweza kusababisha madhara kadhaa kwa baadhi ya watu.....
Madhara yanayowezekana ni pamoja na kichefuchefu, kutapika, maumivu ya tumbo, kutokuwa na hamu ya kula, na kuhara.....
Ni muhimu kuwasiliana na daktari wako ikiwa unapata madhara yoyote wakati wa kutumia metafom au dawa yoyote ya kisukari....
Gema 1 na Gema 2 ni dawa za kisukari zinazotumika kudhibiti viwango vya sukari mwilini.....
Madhara yanayowezekana ya dawa hizi ni pamoja na hypoglycemia (kiwango cha sukari mwilini kupungua sana), kichefuchefu, kutapika, kuhara, na maumivu ya tumbo....
Pia, katika baadhi ya watu, dawa hizi zinaweza kusababisha uzito kupanda au kuongezeka kwa hatari ya kuwa na hypoglycemia ikiwa hazitumiki kwa usahihi....
Ni muhimu kuzungumza na daktari wako kuhusu matumizi ya dawa hizi na kufuata maagizo yake kikamilifu ili kupunguza hatari ya madhara haya...
❌ HAKUNA NJIA YA KUZUIA HAYA MADHARA YASITOKEE ILA UNAWEZA KUPUNGUZA MADHARA YAKE TU
❎Njia ya kuondoka na hatarii ya kupata madhara kabisa ni kutibu kisukari kutoka kwenye chanzo cha tatizo lenyewe ambacho ni kongosho.....
🥏 Yaani unaweza kufikia mda unateseka sana sukari ipo chini lakini una umwa sana na huelew tatizo ni nini hili nilisha lisema....
🥏watu wengi mnalazimisha kushusha sukari kwa kasi ndo maana mnakunywa dawa za kila siku....
🥏ingali hakuna suluhisho kwenye kushusha sukari k**a hutatibu kongosho...
Hakikisha unatibu kongosho k**a umechoka na hayo mateso ya kisukari basi tibu kongosho utapona kisukari...
K**a nia yako ni kuishi na kisukari milele na kuteseka usitibu kongosho...
K**a unahitaji kupona kabisa kisukari wasiliana nami tunadawa nzuri sana kwa ajili ya kisukari