Afya Bora Kwa maendeleo Bora.

Afya Bora Kwa maendeleo Bora. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya Bora Kwa maendeleo Bora., Bukoba-kagera-Tanzania, Bukoba.

*TEZI DUME NI NINI?.* Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (PROSTATE GLAND) ,Hii Ni tezi inayopatikana katika mfumo w...
10/09/2022

*TEZI DUME NI NINI?.*

Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (PROSTATE GLAND) ,Hii Ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume.Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo.Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume.
Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele.Hivyo tezi hii Ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume.Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-

✓Kukojoa Mara kwa mara.
✓kubakiza mkojo kwenye kibofu.
✓kukojoa saana usiku.
✓Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.
✓Kupungukiwa nguvu za kiume
✓UTI ya Mara kwa mara.
✓Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.
✓Figo kujaa maji,hii Ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.
✓Kupoteza fahamu.
✓Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.
✓Uume kushindwa kusimama vizur.
✓Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.

ATHARI ZA TEZI DUME K**A HAITAWAHI KUTIBIWA:-
1)Kushindwa kabisa kukojoa.
2)Kupatwa na maambukizi ya UTI
3)Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.
4)Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.
5)Figo inaweza kuharibika.

Suluhisho la kumaliza hili tatizo lipo:
KARIBU UPATE HUDUMA🤝

Kwa huduma ya ushauri na dawaa kabisaa. Njoo in box 0753300858/0627408918
10/09/2022

Kwa huduma ya ushauri na dawaa kabisaa. Njoo in box 0753300858/0627408918

"ANTIDIARR PILLS" ni bidhaa mojawapo ya mfumo wa chakula ambayo imetengenezwa kwa mimea na viungo asilia K**a vile YELLO...
09/09/2022

"ANTIDIARR PILLS" ni bidhaa mojawapo ya mfumo wa chakula ambayo imetengenezwa kwa mimea na viungo asilia K**a vile YELLOW CYPRESS, CINNAMON, LIQUORICE, CLOVE pamoja na DRIED TANGERINE.

Moja ya Sifa za ANTIDIARR PILLS ni kutoa Majibu haraka kwa muda mfupi Sana au Ndani ya masaa machache au Dakika kadhaa Mara baada ya kutumia (INSTANTLY RESULTS).

KAZI YAKE
1.Inadhibiti na kutibu tumbo la kuhara papo kwa hapo.

2.Inadhibiti kichefuchefu na kutapika.

3.Inatibu tumbo kujaa gesi.

4.Inatibu kuvimbiwa.

5.Inatibu typhoid na kuhara ndani ya dakika3.

6.Inatibu meno yanayouma na kuondoa mdudu kwenye meno.

7.Inatibu harufu Mbaya mdomoni.

8.Inaondoa sumu mwilini. Kwa mfano K**a mtu Amekula chakula Chenye sumu, hii dawa ni kiboko yake yaani Hakuna kuchelewesha unaokoa Maisha ya mtu hapo hapo.

9.Inaondoa matatizo ya kukosa hamu ya Kula.

10.Inatibu vidonda vya tumbo kwa haraka ikitumiwa na CONSITI Relax.

11.Inaondoa kujisikia vibaya kutokana na uvimbe tumboni.

12.Antidiarr pills ni zuri sana kwa wasafiri, ni kinga na Tiba ukiwa safarini.

Kulingana na sifa hizi ANTIDIARR PILLS si yakokosekana Karina familia yako.

Namna ya kuipata tuwasiliane kwa Namba 0627408918 au 0753300858

Address

Bukoba-kagera-Tanzania
Bukoba

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Bora Kwa maendeleo Bora. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Bora Kwa maendeleo Bora.:

Shortcuts

Share