Muhimbili DAWA ASILI

Muhimbili DAWA ASILI Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Muhimbili DAWA ASILI, Health & Wellness Website, Dar es Salaam.

🌿 Muhimbili DAWA ASILI
Tiba asili kwa magonjwa mbalimbali, kwa usalama na uhakika.
πŸ“ Muhimbili Upanga & Mloganzila
βœ” Ubora
βœ” Uaminifu
βœ” Huduma kwa haraka
πŸ“© Wasiliana nasi sasa

24/11/2024
09/04/2024

Je unateseka na maumivu makali ya vidonda vya Tumbo,kiungulia ,tumbo kujaa gesi ,kukpsa choo na bawasiri ? Muhimbili DAwa Asili,tumekuletea Gastria zamani Tumbo mixture,

Dawa hiii Imeandaliwa Kwa mchanganyiko wa mimea Dawa Asili ya aina tatu ambayo ni

(1) Plantago lanceolata ; huua bacteria anayesababisha vidonda vya Tumbo aitwaye Helicobacter pylori au H.pylori.

(2) Glycyrrhiza gabra; husaidia kutengeneza Ute Ute kwenye ukuta wa tumbo kutibu majeraha na maumivu yatokanayo na kuunguza Kwa Acid iliyomo katika mfuko wa chakula

(3)Pimpinella Anisum; hudhibiti umwagaji wa Acid na kusaidia vidonda au michubuko kupona Kwa haraka na kuondoa gesi.

Tofauti kubwa ya gastria na Dawa nyinginezo ni haindoii au kupoteza ubora wa acid inayoua bacteria wabaya, hivyo ni Bora zaidi.

Dozi; chupa 10

Bei; chupa Moja ; Elfu 10

Mawasiliano ;0759705813 au 0753181013

Inapatikana Mount kibo pharmacy kariakoo pia Tunatuma mikoani na kufanya delivery

Instagram ; tibaasilimuhimbili

Tik Tok; muhimbiliherbalproducts

NOULISH UNGA LISHE  ni unga wenye mchanganyiko wa vitamine na MADINI mbali mbali, Umetengenezwa Kwa mchanganyiko wa πŸ‘‰ MA...
25/01/2024

NOULISH UNGA LISHE ni unga wenye mchanganyiko wa vitamine na MADINI mbali mbali,
Umetengenezwa Kwa mchanganyiko wa
πŸ‘‰ MAHINDI LISHE YA NJANO
πŸ‘‰ MBEGU ZA MABOGA
πŸ‘‰ ALMOND NA
πŸ‘‰ UFUTA

πŸ‘‰ NI UNGA wenye VITAMINE A, MADINE YA ZINC, CALCIUM NA FOLIC ACID
πŸ‘‰ Unga uliotengenezwa Kwa kuzingatia makundi maalum ya chakula.

πŸ’₯ Ni lishe kamiri Kwa watoto na watu wote una virutubisho vya kutosha.

πŸ’₯ Huimarisha Afya Ubongo na akili Kwa watu wote,

πŸ’₯ Huimarisha misuri, udhaifu wa mwili na kungalisha Afya ya ngozi,

πŸ’₯ Husaidia watoto wasiopenda kula, na kuwapa hamu ya kula vizuri

πŸ’₯ Huondoa tatizo la kutopata choo

πŸ’₯ Husaidia kulinda chembe chembe hai za damu,

πŸ’₯ Huongeza uzito Kwa watoto wenye changamoto ya kutoongeaeka uzito,

πŸ’₯ Husaidia kurudisha kumbu kumbu Kwa watu wote,

πŸ’₯ Ni unga mzuri Kwa pia Kwa wajawazito, wamama wanaonyonyesha, wazee na vijana wanaopenda uji, au unaweza kunywa uji badala ya chai,

πŸ‘‰ Wanatumia watoto kuanzia umri wa miezi 6 na kuendelea,

πŸ‘‰ Tunapatikana Sehemu zifuatazo

πŸ‘‰ AMANA HOSPITAL 0654 056651

πŸ‘‰BUGURUNI ROZANA 0746 137028

πŸ‘‰ MUHIMBILI HOSPITAL 0628107828

πŸ‘‰ SHINYANGA 0752 785742

πŸ‘‰ Pia tunafanya delivery popote pale ulipo, na WA mikoani tunawasafirisha mikoa yote,

πŸ‘‰ Kwa mawasiliano zaidi tupigie Namba 0712212407 au 0753181013

Whatsap no 0753181013

πŸ‘‰ Bei zetu ni k**a ifuatavyo,

πŸ’₯ 1.5 KG 12000
πŸ’₯ 1 KG 8000
πŸ’₯ 500 G 4000

πŸ‘‰ Tunapatikana Sehemu zifuatazo

πŸ‘‰ AMANA HOSPITAL 0654 056651

πŸ‘‰BUGURUNI ROZANA 0746 137028

πŸ‘‰ MUHIMBILI HOSPITAL 0628107828

πŸ‘‰ ARUSHA MJINI 0612 434946

πŸ‘‰ SHINYANGA 0752 785742

πŸ‘‰ Pia tunafanya delivery popote pale ulipo, na WA mikoani tunawasafirisha mikoa yote,

πŸ‘‰ Kwa mawasiliano zaidi tupigie Namba 0712212407 au 0753181013

Whatsap no 0753181013

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Muhimbili DAWA ASILI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Muhimbili DAWA ASILI:

Shortcuts

Share