drsebastiani

drsebastiani Tunawasaidia wanawake wenye changamoto ya kutokubeba ujauzito kwakutumia V-capsules

Permanently closed.
Hongera Sana madam Naomi kwakuweza kubeba ujauzito
17/11/2021

Hongera Sana madam Naomi kwakuweza kubeba ujauzito

Hongera Sana madam blaty kwa kuweza kubeba ujauzito
17/11/2021

Hongera Sana madam blaty kwa kuweza kubeba ujauzito

SEBAHERBAL CLINIC TUTASEMA UGUMBA SASA BAAASI
10/11/2021

SEBAHERBAL CLINIC TUTASEMA UGUMBA SASA BAAASI

Hongera Sana rosemary kutoka Bunda kwa kuweza kubeba ujauzito
10/11/2021

Hongera Sana rosemary kutoka Bunda kwa kuweza kubeba ujauzito

*P.I.D NI NINI??*P.I.D ni maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke. Kwa kingereza tunasema  (pelvic inflammatory dise...
04/11/2021

*P.I.D NI NINI??*

P.I.D ni maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke. Kwa kingereza tunasema (pelvic inflammatory disease)

Ugonjwa huu unaweza kupelekea uharibifu mkubwa kwenye mayai,mfuko wa uzazi,mirija ya uzazi nk . Pia ugonjwa huu ni moja ya UGUMBA kwa mwanamke.Huu ni ugonjwa unaosababishwa na kutotibu magonjwa ya zinaa kwa ufasaha na kuacha wale bakteria kuendelea kusambaa kwenye via vya uzazi wa mwanamke. Hasa bacteria wa pangusa, Chlamydia, kisonono,

HUENDA SANA KUHARIBU MFUMO WA UZAZI. Kwanza vifuko vya mayai, (ovaries) mirija ya uzazi,

Je utajuaje kwamba huenda umeathirika na ugonjwa huu wa P.I.D?

*DALILI ZA P.I.D*
🌺Maumivu ya tumbo sehemu ya chini au ya juu upande wa kulia
🌺Kutokwa kwa uchafu ukeni usio wa kawaida na harufu mbaya(wengi hudhani ni fangas kumbe sio)
🌺Maumivu makali na kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa
🌺Maumivu wakati wa kukojoa.
🌺Kutapika na homa
🌺Uchovu
🌺Kutokwa kwa damu nyingi isiyokuwa na mpangilio wakati wa hedhi au wakati sio wa hedhi( hii dalili kubwa na huwa inafanana sana na fibroids)
🌺Ugumba( unatafuta mtoto kwa muda mrefu na hupati)
🌺Kukojoa mara mara.
☘️ Mvurugiko wa hedhi, kupata hedhi Mara mbili kwa mwezi.
Huenda umetumia Sana Metro, Cipro dox, nabado umekuwa mhanga, tumia juisi ya bamia juisi ya tangawizi leo, uitwe mama!

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255763199190

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when drsebastiani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category