Minah_afyayangu

Minah_afyayangu health consultant and assistance

Habari...!?Fahamu tiba asili ya uvimbe katika milija ya uzazi na mfumo mzima wa uzazi wa mwanamke..!!Fatilia nakala hii๐Ÿ‘‡...
01/04/2022

Habari...!?
Fahamu tiba asili ya uvimbe katika milija ya uzazi na mfumo mzima wa uzazi wa mwanamke..!!
Fatilia nakala hii๐Ÿ‘‡

VIRUTUBISHO HIVYO VYA MIMEA VITAKUSAIDIA WEWE MWENYE CHANGAMOTO KATIKA MFUMO WA UZAZI ,...KUREKEBISHA HORMONE YA ESTROGEN, KUPEVUSHA MAYAI, KUZIBUA UCHAFU KWENYE MILIJA YA UZAZI, KUYEYUSHA UVIMBE, KUPUNGUZA MAUMVIVU WAKATI PERIOD NA TENDO LA NDOA, KUIMALISHA AFYA YA UZAZI KWA UJUMLA KWA KUTUMIA ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

ALOE BERRY NECTAR / VERA GEL, MULTI - MACA, VITOLIZE FOR WOMEN NA ROYAL JELLY.

Virutubisho vilivyotokana na Aloe Vera, Mzizi wa Maca, Matunda na Asali. Inatupatia Vitamin A, B, C, E & B12 na Madini ya Zinc, Selenium, Calcium, Iron, Copper, Magnesium, Sodium, Amino na Folic Acid.

FAIDA ZAKE KIAFYA

1.Husaidia kusafisha mfumo wa mwili kwa kutoa sumu, taka na mafuta mabaya mwilini.

2. Husaidia kuimalisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.

3. Husaidia kurekebisha hormone ya Estrogen kwa wanawake wenye hormone Imbalance.

4. Husaidia kuzibua uchafu kwenye mirija ya uzazi, kuimalisha afya ya mfuko wa kizazi na kibofu cha mkojo.

5. Husaidia kupevusha Mayai na kupunguza maumivu ya wakati wa hedhi au kukoma kwa hedhi.

6. Husaidia kuzuia ukuaji wa uvimbe kwenye kizazi na kuuyeyusha uvimbe chini ya 2.5Cm na kuua bacteria wa fangasi sehemu za siri.

7. Husaidia kuimalisha afya ya Moyo, Ubongo, Misuli, Mifupa na Mzunguko wa damu, kupunguza uchovu na kuchochea hisia.

https://wa.me/+255678512642?text=Naomba%20maelezo%20kuhusu%20Afyayauzazimwanamke%2B%20na%20matumizi

Habari...!?Fahamu jinsi presha yakupanda inavyo athiri mwili na mahusiano kati ya presha na nguvu za kiume...fuatilia na...
14/03/2022

Habari...!?
Fahamu jinsi presha yakupanda inavyo athiri mwili na mahusiano kati ya presha na nguvu za kiume...fuatilia nakala hii๐Ÿ‘‡

Mara nyingi presha ya kupanda ni ugonjwa ambao unaweza usikuonyeshe dalili zozote kwa nje. Ndiyo maana ugonjwa huu ukapewa jina la bandia, ukaitwa muuaji wa kimya kimya (silent killer).

Kwa nini uliitwa Silent Killer? Kwa sababu hudhuru viungo vingi ndani ya mwili wako kwa kimya kimya bila kukuonyesha dalili zozote kwa nje jambo ambalo litakufanya uendelee kuumia bila ya wewe kutambua. Huua figo kimya kimya, hudhuru moyo na mishipa mbalimbali mwilini kimya kimya; wakati huo huo wewe utakuwa unadunda tu barabarani na kufanya kazi zako k**a kawaaida bila kuhisi shida yoyote.

PRESHA NA NGUVU ZA KIUME!

Uhusiano wa matatizo ya nguvu za kiume na presha ya kupanda ni mkubwa sana. Kwa nini kuna uhusiano mkubwa? Presha ya kupanda husababisha damu ndogo sana kutiririka ndani ya uume. Uume unatakiwa upokee damu ya kutosha tena yenye kuja kwa nguvu au kasi ili uweze kusimama vizuri na kwa uimara. Presha ya kupanda hudhuru kunyanzi za mishipa ya damu na hivyo kusababisha mishipa hiyo kukak**aa na njia yake ya kupitisha damu kuwa nyembamba zaidi (athererosclerosis). Presha ya kupanda husababisha mishipa ya ateri kushindwa kufunguka vizuri na hata kupelekea kupasuka.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Minah_afyayangu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Minah_afyayangu:

Shortcuts

Share