Dr Lyimo

Dr Lyimo Tunatoa ushauri na kutatua changamoto za kiafya kwa kutumia tiba lishe zisizo na kemikali

Taua changamoto za mfumo wa.mmeng'enyo wa.chakula kwa kutumoa dawa za tiba lishe zisizo na kemikali.
19/09/2022

Taua changamoto za mfumo wa.mmeng'enyo wa.chakula kwa kutumoa dawa za tiba lishe zisizo na kemikali.

Kiungulia (heartburn) ni hali ya kuhisi mchomo (maumivu k**a moto) unaotokea nyuma ya mfupa wa kidari. Kwa kawaida maumi...
19/09/2022

Kiungulia (heartburn) ni hali ya kuhisi mchomo (maumivu k**a moto) unaotokea nyuma ya mfupa wa kidari. Kwa kawaida maumivu haya huanzia kwenye umio (oesophagus) na kupanda kifuani na yanaweza kuenea mpaka kwenye shingo au koo.

Ni nini husababisha kiungulia?
Karibu kila mtu hupatwa na kiungulia kwa wakati fulani katika maisha yake. K**a unapata kiungulia mara kwa mara, unaweza kuwa na ugonjwa unaosababishwa na kucheua mara kwa mara unaoitwa gastroesophageal reflux disease. Katika hali ya kawaida, chakula kinapoingia tumboni, ukanda wa misuli ulio mwishoni mwa umio hukaza na kukifungia chakula tumboni. Ukanda huu huitwa lower esophageal sphincter. K**a ukanda huu hautafunga vyema au kulegea, asidi zinazosaidia kumeng’enya chakula zilizo tumboni, zinaweza kurudi juu kwenye umio na kusababisha hisia ya mchomo.

Nani yuko katika hatari zaidi ya kupata kiungulia?
Ujauzito na dawa nyingi zinaweza kusababisha kiungulia.
Kiungulia hutokea kwa sababu mtoto anayekua hujaza fumbatio la mama na kusukuma tumbo juu zaidi kuliko kawaida. Asidi zilizo kwenye tumbo la mama zinazosaidia katika umeng’enyajiwa chakula husukumwa juu kwenye umio lake na kusababisha hisia ya mchomo. Ni muhimu kumhakikishia mama mjamzito kuwa tatizo hili litakwisha baada ya kujifungua.

Address

Ilala
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Lyimo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr Lyimo:

Share

Category