23/08/2024
➡️FAIDA ZA WAXING⬇️
1: Huondoa nywele kuanzia kwenye mizizi.
2:Huondoa weusi wa kwapa.
3:Husaidia kutoa ngozi iliyochoka au kufa na kukupa ngozi mpya yenye afya.
4:Ukiwa unafanya waxing mara kwa mara unakua na kwapa jeupe /sehemu za siri safi na kuondoa harufu.
5:Pia husaidia ngozi kuwa smooth na kuondoa vipele na unakua safi kwa muda wa wiki nne mpaka sita.
6:Ukifanya waxing unaepuka kujikata na viwembe na kuweka weusi
ENJOYMENT😘😍
👌YOUR WELCOME👌
:
:
:
:
:
:
:
:
:
:
:
:
:
:
:
quotes