Dr_jennifermatete

Dr_jennifermatete Ninasaidia Wanawake Wenye Chunusi Kuwa na Ngozi Yenye Mvuto na Mwonekano Mzuri

23/04/2023
20/04/2023

HARUFU MBAYA UKENI NI NINI ?
Harufu mbaya ukeni ni hali ya mwanamke kutokwa na maji au ute mzito ukeni wenye rangi nyeupe au kahawia wenye harufu kali na kuwasha.

CHANZO / SABABU ZA HARUFU MBAYA UKENI
💥 Kitaalamu hali ya mwanamke kutokwa na maji yenye rangi nyeupe au njano ni hali ya kawaida na sio tatizo.Majimaji au uteute unaoteleza kutoka sehemu za Siri ni njia inayowezesha viungo vya uzazi vya mwanamke kujisafisha au kutoa uchafu wa seli zilizokufa na mabaki ya damu ya hedhi nje ya mwili pia huvikinga viungo vya uzazi dhidi ya maambukizi ya bacteria.Zifuatazo ni sababu au vyanzo vya harufu mbaya ukeni
âš¡ POOR HYGIENE - tatizo hili huweza kusababishwa na mhusika mwenyewe kuwa mchafu mfano kukaa na pads mda mrefu
âš¡ VAGINAL OR CERVICAL CANCER - Mtu anapokuwa na kansa ya uke hutokwa na maji yenye harufu mbaya.
⚡SEXUAL TRANSMITED DISEASES (STDs) - Baadhi ya magonjwa K**a KASWENDE & KISONONO huweza kusababisha au kumpelekea mwanamke kutokwa na harufu mbaya ukeni.
⚡YEAST INFECTION - kwa kawaida Kuna kiwango kidogo cha yeast ( candida albicans) katika uke ,madhara hutokea pale kiwango kinapozidi ( hali ambayo inatokana na kubadilika kwa hali ya hewa ukeni ) mambo ambayo hupelekea kubadilika kwa hali ya hewa ukeni ni matumizi ya dawa za kuzuia mimba na matumizi ya antibiotics.

DALILI
Zifuatazo ni dalili au viashiria kwa mwanamke kupata shida ya kutokwa na harufu mbaya ukeni .Dalili hutofautiana kulingana na rangi ya uchafu itokayo ukeni .
a) UCHAFU WENYE RANGI YA KAHAWIA AU DAMU - Huu uchafu huonyesha dalili kuwa
* Mzunguko wa hedhi umevurugika
*Dalili ya kansa ya kizazi.

b) UCHAFU WENYE RANGI YA NJANO AU KIJANI - Huu huonyesha dalili ya
* Maambukizi ya parasite yatokanayo na ngonozembe.

UCHAFU MWEUPE MZITO WENYE K**A JIBINI - Huashiria dalili ya maambukizi ya
* Fangasi ( yeast infection)

MADHARA YA HARUFU MBAYA UKENI

i) Kuwashwa na kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
ii) Kutokewa na vipele ukeni
iii) Kuvimba kwa sehemu ya nje ya uke

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255656040308

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr_jennifermatete posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr_jennifermatete:

Shortcuts

Share

Category