The Healing Power Tz

The Healing Power Tz we provide education and treatmen of various chronic diseases

Usihangaike tena na Tezi dume, hii imewasaidia wengi Wasiliana nasi uanze matibabu sasa0756 937 636
09/09/2026

Usihangaike tena na Tezi dume, hii imewasaidia wengi
Wasiliana nasi uanze matibabu sasa
0756 937 636

Vyakula jamii ya kunde (legumes) na nafaka nzima (whole grain) vina protini muhimu, madini na virutubisho mbalimbali amb...
09/09/2026

Vyakula jamii ya kunde (legumes) na nafaka nzima (whole grain) vina protini muhimu, madini na virutubisho mbalimbali ambavyo mwili unavihitaji

Vyakula jamii ya kunde vunaweza kuliwa k**a chakula vikiwa vyenyewe bila wali au ugali🫛

Kwa vile vyenye gesi k**a maharage loweka saa 12 kabla ya kupika, itaondoa gesi yote🫘

Vyakula hivi vizito visiliwe usiku

Karibu ujifunze zaidi hapa👇🏻

__________________________
WhatsApp

14/01/2026

K**a unanenepa bila kula sana, ini lako lina shida.
Tiba ya asili hurekebisha mafuta.
Andika UZITO.”

Piga simu kwa namba hizi kwa ushauri zaidi
0756 937 636 Dr.E.Dicto

Tour in South AfricaNimepata nafasi kutembelea miji muhimu hapa SA.. k**a Johannesburg,  Pretoria, Midrand nk.Nimejifunz...
30/12/2025

Tour in South Africa
Nimepata nafasi kutembelea miji muhimu hapa SA.. k**a Johannesburg, Pretoria, Midrand nk.
Nimejifunza mengi na kupata wasaa kujenga upya akili yangu

Tour in South Africa Nimekuwa na wakati mzuri hapa SA baada ya kumaliza seminar za Afya
30/12/2025

Tour in South Africa
Nimekuwa na wakati mzuri hapa SA baada ya kumaliza seminar za Afya

14/10/2025
Unateseka na Vidonda vya Tumbo kwa muda mrefu?Je, unapata maumivu ya tumbo ya mara kwa mara, kiungulia, kukosa hamu ya k...
13/10/2025

Unateseka na Vidonda vya Tumbo kwa muda mrefu?

Je, unapata maumivu ya tumbo ya mara kwa mara, kiungulia, kukosa hamu ya kula, choo kigumu, au kuchoka haraka bila sababu?
Usihangaike tena — suluhisho la asili na lenye matokeo ya kudumu lipo sasa!

Ni tiba ya mimea ya asili — inashughulika na chanzo cha tatizo, si dalili tu!

Faida zake:
✅ Huondoa kabisa maumivu na kiungulia
✅ Huponya na kulainisha kuta za tumbo
✅ Hurejesha uwiano sahihi wa asidi tumboni
✅ Hurekebisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
✅ Inafaa kwa vidonda vya muda mrefu au vya kurudia

Na zaidi ya hapo —
Inasaidia pia kuponya vidonda vya kisukari vinavyotoa damu kwa njia salama na isiyo na madhara.

Matokeo huonekana ndani ya siku chache tu!

Wasiliana nasi leo — kwa matibabu salama, ya asili, na yenye matokeo ya kweli.
Afya yako ni kipaumbele chako — usisubiri hali iwe mbaya!

Kwa wale wenye tatizo la  bawasiri (hemorrhoids), vidonda vya tumbo, gas na matatizo mengine ya uzazi kwa wanawake k**a ...
22/09/2025

Kwa wale wenye tatizo la bawasiri (hemorrhoids), vidonda vya tumbo, gas na matatizo mengine ya uzazi kwa wanawake k**a PID, OVARIAN CYST, UVIMBE, UTI nk. hii dawa imewasaidia wengi, tunaiweka na dawa zingine katika dose husika

Nitafute k**a una shida hizo upate dose yako Shughulikia afya yako kabla tatizo halijafika mbali

0756937636 Dr.E.Dicto

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255676937636

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Healing Power Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share