Dr .msigiti

Dr .msigiti Dr.msigiti tunafanya vipimo mbalimbali na kutoa sumu mwilini kwa Bei nafuu KARIBUNI.

MMENG'ENYO NA MLO BORA NI CHANZO CHA AFYA BORA KWA MWANAUME.UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.Ni hali inayotokea kwa mwanaume p...
09/09/2026

MMENG'ENYO NA MLO BORA NI CHANZO CHA AFYA BORA KWA MWANAUME.

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

Ni hali inayotokea kwa mwanaume pale ambapo uume wake unashindwa kusimama kabisa au kutoweza kuendelea kusimama vyema na kukamilisha tendo la ndoa.
Mwanaume unapata tatizo hili oale ambapo
1. Uume hausimami kabisa
2. Uume unasimama legelege
3. Uume unasimama vyema lakini baada ya mda mfupi unarudi chini.

SEHEMU KUU 4 ZA MWILI WA MWANAUME ZINAZO ATHIRIKA NA KUSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

1. Mishipa ya fahamu inayozunguka uume kuto fanya kazi vizuri
2. Mzunguko wa damu kwenye uume kuto kua wa uhakika
3. Damu kuto kuhifadhiwa ndani ya uume
4. Kukosa hisia kutoka kwenye ubongo

JE, NI SABABU ZIPI HUCHANGIA HALI HII,

A. SABABU ZA KISAIKOLOJIA

1. Stress
2. Mahusiano mabaya na mpenzi wako
3. hofu.
4. huzuni/sonona
5. Kujichua

B. SABABU ZA KIFIZIOLOJIA

1. Sigara
2. Pombe kupita kiasi
3. Magonjwa k**a moyo, presure kushuka, cholesterol nyingi, kisukari, uzito kupindukia, mishipa ya damu kua migumu, ajari, matumizi ya dawa ya muda mrefu, bawasiri, vidonda vya tumbo
4. Lishe duni

MADHARA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME KWA MWANAUME.

1. Mwanaume kukosa kujiamini
2. Kukosa hamu ya kufanya temdo la ndoa
3. Ugomvi kwenye mahusiano
4. Kushindwa kutungisha mimba.
5. Stress
6. sonona
7. Kuachana.

IKIWA UNAPITIA CHANGAMOTO HII NA HUJUI NINI UFAMYE BASI USIJIONE MMNYONGE, NA USIKAE NA CHANGAMOTO NA KURUHUSU IKUMALIZE TARATIBU, NA IKIWA UNATAKA KUJIFUNZA, USHAURI AU MATIBABU PAMOJA NA NAMNA BORA YA ULAJI NA VYAKULA IMARA
USISITE KUTUTAFUTA
0788637272
KUJIUNGA KATIKA GROUP

# mmeng'enyo bora
# afya bora
# mwanaume imara.

๐ŸŒธ HUDUMA BORA ZA AFYA NA UZAZI ๐ŸŒธUnakabiliwa na changamoto za uzazi au afya kwa ujumla?Sasa kuna suluhisho lako!๐Ÿ‘ฉโ€โš•๏ธ Tuna...
04/05/2026

๐ŸŒธ HUDUMA BORA ZA AFYA NA UZAZI ๐ŸŒธ
Unakabiliwa na changamoto za uzazi au afya kwa ujumla?
Sasa kuna suluhisho lako!
๐Ÿ‘ฉโ€โš•๏ธ Tunashughulikia:
โœ”๏ธ Changamoto za kupata mtoto (wanaume & wanawake)
โœ”๏ธ Maumivu ya hedhi na matatizo ya mzunguko
โœ”๏ธ Maambukizi ya mara kwa mara
โœ”๏ธ Nguvu za kiume
โœ”๏ธ Afya ya uzazi kwa ujumla
๐Ÿ”ฌ Huduma zetu:
โœ”๏ธ Vipimo vya kisasa
โœ”๏ธ Ushauri wa kitaalamu
โœ”๏ธ Tiba salama na yenye matokeo
๐Ÿ’– Tunajali afya yako kwa faragha na heshima kubwa
๐Ÿ“ Fika leo upate huduma bora
๐Ÿ“ž Wasiliana nasi: [Weka namba yako]
๐Ÿ•’ Tunapatikana kila siku
โœจ Usikate tamaa, ndoto ya kupata mtoto inawezekana! โœจ

๐ŸŒธ HUDUMA BORA ZA AFYA NA UZAZI ๐ŸŒธUnakabiliwa na changamoto za uzazi au afya kwa ujumla?Sasa kuna suluhisho lako!๐Ÿ‘ฉโ€โš•๏ธ Tuna...
04/05/2026

๐ŸŒธ HUDUMA BORA ZA AFYA NA UZAZI ๐ŸŒธ
Unakabiliwa na changamoto za uzazi au afya kwa ujumla?
Sasa kuna suluhisho lako!
๐Ÿ‘ฉโ€โš•๏ธ Tunashughulikia:
โœ”๏ธ Changamoto za kupata mtoto (wanaume & wanawake)
โœ”๏ธ Maumivu ya hedhi na matatizo ya mzunguko
โœ”๏ธ Maambukizi ya mara kwa mara
โœ”๏ธ Nguvu za kiume
โœ”๏ธ Afya ya uzazi kwa ujumla
๐Ÿ”ฌ Huduma zetu:
โœ”๏ธ Vipimo vya kisasa
โœ”๏ธ Ushauri wa kitaalamu
โœ”๏ธ Tiba salama na yenye matokeo
๐Ÿ’– Tunajali afya yako kwa faragha na heshima kubwa
๐Ÿ“ Fika leo upate huduma bora
๐Ÿ“ž Wasiliana nasi 0790314222
๐Ÿ•’ Tunapatikana kila siku
โœจ Usikate tamaa, ndoto ya kupata mtoto inawezekana! โœจ

27/04/2026

Address

Mbagala Zakhiem
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr .msigiti posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category