David Uzazi tips

David Uzazi tips *David Uzazi tips*
TUNATOA SULUHISHO KWA CHANGAMOTO ZA AFYA YA UZAZI KWA WOTE. USITESEKE TENA NA CHANGAMOTO ZA AFYA.

TUPO NCHI NZIMA.

📞 0749354094
📞 0621243429

KARIBUNI INBOX WAPENDWA.

20/06/2026
Kipi linakusumbua kati ya hivi?Kuwashwa UkeniKutokwa uchafuKutoa harufuMaumivu ya kiuno na mgongoMaumivu ya tumbo chini ...
07/06/2026

Kipi linakusumbua kati ya hivi?
Kuwashwa Ukeni
Kutokwa uchafu
Kutoa harufu
Maumivu ya kiuno na mgongo
Maumivu ya tumbo chini ya kitovu.
Kukosa hedhi
Hedhi kuvurugika
Kukosa ujauzito

Nambie ili kupata ushauri
Namba 0749354094 au 0621243429

PID ni ugonjwa unaosababishwa na maambukizi ya muda mrefu kwenye njia ya uzazi na via vya uzazi vya ndani.PID inaweza ku...
24/05/2026

PID ni ugonjwa unaosababishwa na maambukizi ya muda mrefu kwenye njia ya uzazi na via vya uzazi vya ndani.

PID inaweza kusababisha:

Mvurugiko wa hormoni.
Kukosa Ujauzito.
Maumivu ya kiuno na mgongo.
Uchafu ukeni
Ukavu ukeni.
Kukosa hamu ya tendo.

Dalili zake ni :

Fungus wanao jirudia rudia.
Uchafu ukeni.
Harufu kali
Maumivu ya tumbo chini ya kitovu.

K**a una dalili zozote Nambie.
0621243429 au 0749354094

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when David Uzazi tips posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share