Kliniki Ya Baba, Mama Na Mtoto: Rch kiganjani

Kliniki  Ya Baba, Mama Na Mtoto: Rch kiganjani Huu ni ukurasa kuhusu afya .Tutatoa mafunzo huu ya afya ya uzazi na mada nyingine za afya. Lengo le

26/05/2026

Mambo ambayo mama mjamzito anashauriwa kuachana nayo wakati wa ujauzito.

1.Unywaji wa pombe
2.Uvutaji wa sigara
3.Kufanya Mazoezi makali ya mwili
4.Kazi ngumu hasa zinazojihusisha na kuinama.
5. Matumizi ya vipodozi na vinywaji vyenye kemikali hatari kwa afya ya mtoto.
6. Kula vyakula vya kusindikwa

Je! Unakumbuka kitu kingine? Andika kwenye comment watu wajifunze.

Kwa kuku safi wa nyama (stopper) wanapatikana Kila wiki ya tatu ya mwezi kuanzia tarehe 20.0652700929
10/05/2026

Kwa kuku safi wa nyama (stopper) wanapatikana Kila wiki ya tatu ya mwezi kuanzia tarehe 20.
0652700929

25/04/2026

Je! Kila mwanamke mjamzito lazima awe na cravings (hamu kubwa ya kula au kufanya kitu kimoja kwa kujirudiarudia) mfano kula udongo

Dalili za mwanzo za kujifungua;2. Kushuka kwa mtoto: Utaona mgandamizo kwenye kinena ni mkubwa ila unapumua kwa urahisi.
01/04/2026

Dalili za mwanzo za kujifungua;
2. Kushuka kwa mtoto:
Utaona mgandamizo kwenye kinena ni mkubwa ila unapumua kwa urahisi.

Energy burst:Mama mjamzito anapokaribia kujifungua utaona anakuww na Ari na nguvu ya kufanya kazi nyingi sana.Hata k**a ...
21/03/2026

Energy burst:

Mama mjamzito anapokaribia kujifungua utaona anakuww na Ari na nguvu ya kufanya kazi nyingi sana.Hata k**a kipindi Cha ujauzito alikuwa mtu wa kulala tu, utaona anaamka mapema na kujishughulisha.
Hii hutokea kwa Amina mama wengi na miongoni mwa dalili za kujifungua.

K**a unajua dalili nyingine ya kukaribia kujifungua, andika kwenye comment section.

Address

Virtual
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kliniki Ya Baba, Mama Na Mtoto: Rch kiganjani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Kliniki Ya Baba, Mama Na Mtoto: Rch kiganjani:

Shortcuts

Share