Men's ICU

Call Website Contact the practice

Men's ICU Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Men's ICU, Health & Wellness Website, Bunju, Dar es Salaam.

Nawasaidia wanaume walio kwenye ndoa kuboresha afya ya uzazi na uwezo wa kumudu tendo la ndoa bila kutumia madawa:

Kwa Ushauri na Mwongozo: +255748134382
Piga simu au Tuma neno AFYA MWANAUME kuja whatsap.

*Sasa huo mwili unaweza kupambana na  ugonjwa wowote ule, kurekebisha jeraha lolote lile, kufanya kila kitu ili tu hiyo ...
07/09/2026

*Sasa huo mwili unaweza kupambana na ugonjwa wowote ule, kurekebisha jeraha lolote lile, kufanya kila kitu ili tu hiyo roho yako itulie kwenye huo mwili*

*K**a tu utakuwa unausaidia mwili wako kwa kufanya chochote kile ambacho kitakuwa na faida kwenye Mmeng'enyo wa chakula, Moyo na Mzunguko wa damu na kuupa huo mwili wako malighafi iwe kwa kula vizuri na supplements ziwe k**a sehemu ya maisha yako*.

*Hapo huo mwili utakuwa na nguvu ya kutosha kuibeba hiyo roho yako na utaweza kuishi kwa amani furaha na utaishi muda mrefu tu, Soma biblia binadamu tuna uwezo wa kuishi mpaka miaka zaidi ya 135 ila tunakufa kwenye 50 hapo kufika 70 watu wanasema umekula chumvi nyingi, Yaani Unakufa karne 7 kabla ya muda wako Mungu alokupangia*

*Sasa unaishi vibaya unataka Muujiza gani k**a akili uliyopewa bure huitumii kufanya machaguo sahihi*

*Mwanamke akitoa nguo yake ya ndani hiyo harufu unaweza kutafuta samaki wabichi wako wapi, Mwanaume nguvu za kiume holaaa, Unasahau sana Kutunza huo mwili*

*Naweza kukuongoza na kukushauri mambo ya kufanya yatakayokupa faida kwenye hayo maeneo yote 03, Niandikie *ISHI* DM

*Safari kuwa safi na salama inataka uwe na usafiri mzuri na miundo mbinu iwe bora sana aaah hapo safari utaenjoy mnoo**L...
07/09/2026

*Safari kuwa safi na salama inataka uwe na usafiri mzuri na miundo mbinu iwe bora sana aaah hapo safari utaenjoy mnoo*

*Lakini k**a usafiri mbaya, Barabara mbaya, hata k**a ni unatumia ndege hali ya hewa ikiwa mbaya safari hakuna*

*Sasa Mzunguko wa damu na huo moyo ndio usafiri na njia zenyewe za usafirishaji wa Kila kitu katika mwili iwe maji, hewa na hicho unachokula, hata pombe nayo ili ulewe lazima iende huko ndani na moyo na njia zake vinafanya hiyo kazi*

*Sasahivi una miaka uliyonayo lakini vipimo vya ndani vinaweza kusema uko na miaka 80 au 100 hata k**a sasahivi una miaka 30 kulingana na afya yako ya moyo na Mzunguko wa damu, hizo nguvu za k**e na Kiume zimelala hapa, kuishi miaka mingi hapa, kutougua ugua hapa*

*Hakikisha hii sehemu inafanya kazi vizuri*

*Tangu umezaliwa umekula vingapi, Umekunywa vingapi, Umemeza dawa ngapi, mpaka leo ni miaka mingapi imepita?**Vuta picha...
07/09/2026

*Tangu umezaliwa umekula vingapi, Umekunywa vingapi, Umemeza dawa ngapi, mpaka leo ni miaka mingapi imepita?*

*Vuta picha mfuko unaoutumia kubeba vitu sokoni ukiutumia sana unachakaa unanunua mwingine, Vipi tumbo lako huko ndani umelitumia muda gani, na umewahi kujiuliza k**a kuna namna unaweza kulisaidia kuboresha afya yake*

*Kila kitu kwenye mwili wako ni k**a Ombaomba, vyote vinasubiri mfumo Mmeng'enyo wa chakula upeleke ndio zipate*

*Sasa Gesi, vidonda vya tumbo, viungulia, kukosa choo, kupata choo kigumu sana au laini sana, Kujisikia tu hauko sawa tumboni, Tumbo linaunguruma k**a nini sijui*

*Zote hizi ni ishara mwili unakupa lakini hatujajifunza namna ya kusikiliza miili yetu, Karibu kila mtu Duniani ana tatizo la Mmeng'enyo wa chakula na hajui*

*Mfumo wa tumbo lako una asilimia 70 ya mfumo wa fahamu hapo, Mood yako inategema hii sehemu, Hizo Mood swings zote zinatoka hapa, 70% ya kinga ya mwili ipo hapa, Mchezo?*

*Ukitaka kuishi maisha marefu wewe anza na kusaidia hii sehemu ikae sawa, iwe safi na ijikarabati sehemu ambazo ziko na shida*

*Ukitaka kuishi maisha marefu, yenye amani lazima uepuke maradhi na changamoto yoyote ya Afya, iwe ya ndani ya mwili , n...
07/09/2026

*Ukitaka kuishi maisha marefu, yenye amani lazima uepuke maradhi na changamoto yoyote ya Afya, iwe ya ndani ya mwili , nje ya mwili, Stress n.k*

*Hakuna mtu anapenda kuugua lakini tunaugua kwanini?* *Ndoa hazidumu kwasababu ya changamoto za Afya ya mwili na afya ya akili*

*Siku hizi kila kitu kinaonekana kigumu kwasababu akili zetu zinakimbia zaidi kuliko hali halisi, Stress imekuwa kawaida, Sasa stress zinachangia asilimia 50% ya maradhi yote Duniani, Nani hana stress*

*Leo nikudokeze maeneo 03 ambayo Hakikisha kila unachokifanya kinaongeza nguvu kwenye hayo maeneo utaishi maisha marefu yasiyo na vipengele labda ufe kwa ajali*

03/08/2026
Watu wa saa 12 jioni mpoo? Nguvu za Kiume/uzito/Lifestyle/Makundi ya damu/Blood groups follow sasahivi
02/08/2026

Watu wa saa 12 jioni mpoo?

Nguvu za Kiume/uzito/Lifestyle/Makundi ya damu/Blood groups follow sasahivi

Watu wa saa 12 jioni, mpooo?
02/08/2026

Watu wa saa 12 jioni, mpooo?

31/07/2026

Suala la Afya halihusishi kile unachokula tu, lakini pia Unakulaje hiyo nayo ni shida nyingine.

Wengi mnaona huko kwenye masocial media wanashauri mle k**a huo mlo hapo kwamba Utakuwa na nguvu za kutosha na ukitaka kuweka uzito wako sawa pia kula hivyo, Ni mlo mzuri sio?

*HAPANA!!*

Namna unavyokula vyakula vyako inaharibu sana au inajenga sana afya yako, Sasa fanya hivi itakusaidia.

✅Vyakula vyoteee vya protini, hapa tunazungumzia.

1. Nyama nyekundu
2. Nyama ya ndege wa kufugwa
3. Samaki
4. Mayai
5. Bidhaa za maziwa

✅Na vyakula vyotee vya wanga
1. Mikate
2. Tambi
3. Ugali
4. Wali
5. Njugu kavu
6. Kwa kifupi wanga wa aina yoyote ile

Kosa kubwa ambalo utalifanya kuharibu Afya yako ni Kula Wanga na Protini kwa pamoja, Kwa afya hilo ni Bomu 💥

Mbogamboga zinameng'enywa ndani ya saa 1 mpaka saa 1 na nusu, Protini na wanga vinameng'enywa ndani ya masaa 5 mpaka 8, na wewe asubuhi umekula, mchana umekula, jioni umekula hivi hiyo miili ina kazi kwelikweli, hicho chakula kinasagwa saa ngapi? Sasa ukiumwa unashangaa kwa staili hiyo?

Sasa na hivi vyakula vinameng'enywa na vimeng'enya/ enzymes tofauti, sasa ukila ukachanganya vinapunguzana nguvu kwahiyo hupati chochote kutoka kwenye hicho ulichokula.

Wanga unatakiwa kuliwa pamoja na mbogamboga ✅ Tofu, Mbegumbegu na Jamii ya karanga

Protini inatakiwa kuliwa pamoja na mbogamboga ✅ Tofu, Mbegumbegu na Jamii ya Karanga

*USIJE UKACHANGANYA*
1. Wanga na protini 🚫
2. Protini na matunda 🚫
3. Wanga na matunda 🚫
4. Mbogamboga, Karanga, Tofu na Matunda 🚫

Haya sasa Angalia hiyo sahani hapo ina Protini hapo, Wanga hapo, Karanga hapo, Tayari kwa Afya ni makosa.

Kafanyie kazi ikusaidie, K**a umejifunza Comment hapa chini 👇

31/07/2026

Siku hizi mnatafuta sana hii Elimu ya vyakula na mnajitahidi sana kuzingatia lakini usahihi ndio kitu kinakosekana kutoka kwa hao trainers wenu, Leo saa 12 jioni usikose hii elimu.

Follow sasahivi ili uone post baadae.

Nguvu za Kiume/uzito/Lifestyle/Makundi ya damu/Blood groups

Address

Bunju
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Men's ICU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Men's ICU:

Shortcuts

Share