Shen Afya ya Uzazi

Shen Afya ya Uzazi Tunasaidia kutatua changamoto kwa wanawake wenye changamoto ya harufu, miwasho na fangas

"Nitakujulisha""Nitakutafuta""Nitakwambia""Nitawaaminije""Kesho""Wiki hii hii""Wiki ijayo""Mwisho wa mwezi""Nipo mbali"K...
22/08/2026

"Nitakujulisha"
"Nitakutafuta"
"Nitakwambia"
"Nitawaaminije"
"Kesho"
"Wiki hii hii"
"Wiki ijayo"
"Mwisho wa mwezi"
"Nipo mbali"

K**a kweli wote tungekuwa Waswahili k**a ndugu zetu flani flani humu kuna amaye angepona??🤷🏾‍♂️

Niwajuze tu kwamba, ANAYEKUZUIA KUPONA, ANAYEKUZUIA KUPATA MAFANIKIO...NI WEWE MWENYEWE 🫵🏾🫵🏾⚠️

TUACHE VISINGIZIO ⚠️ TUWE WATU WA VITENDO.

MNAJIJUA MLIOPO HUMU MIEZI NENDA RUDI😃 DAWA HAMJAANZA MPAKA LEO, ELIMU UNAPATA BURE LAKINI KUITUMIA AAAH 🤚🏾

MUNGU AWABARIKI WALIO WAAMINIFU, WAKWELI NA WANAOPAMBANA🙏🏾

KARIBUNI MPONE🔥🔥
0682853510
゚viralシ

🌹 Uhusiano Uliopo Kati Ya Maumivu Ya Kiuno Na Uchafu Ukeni......Uchafu kutoka ukeni hii inamaanisha kuwa ndani ya Kizazi...
22/08/2026

🌹 Uhusiano Uliopo Kati Ya Maumivu Ya Kiuno Na Uchafu Ukeni......
Uchafu kutoka ukeni hii inamaanisha kuwa ndani ya Kizazi chako unazalishwa mwingi sana

Kinachosababisha uchafu utokee katika Kizazi chako ni kuwepo kwa uvamizi wa 👇

🔴Uvamizi wa Bacteria 🧫
🔴 Uvamizi wa Fungi
🔴 Uvamizi wa Virus 🦠 k**a vile HPV n.k

Na kutokwa kwa uchafu Kunaweza kuwa ni ugonjwa flani kutokana na aina ya Uvamizi kwenye mfumo wa Kizazi chako

Inaweza kuwa ni ugonjwa flani kati ya haya 👇
•PID- pelvic inflammatory disease
•Fangus
•STDs- Sexual transmitted Dieseas ( Gonorrhea n.k)
•N.k

Haya magonjwa yanaweza kukusababishia changamoto ya kupata maumivu ya kiuno hata mgongo

*Hii inatokeaje?*

Kumbuka mfumo wako wa Kizazi umezungukwa na nyonga kuelekea juu tumboni na kuzunguka mgongo

Hivyo kitu kinachozungukwa kikiwa na changamoto basi kinachozunguka lazima kipate shida kiasi

Hivyo kuumwa mgongo , nyonga ukiwa na PID na shida nyinginezo za Kutokwa na uchafu ukeni uhusiano upo
Wasiliana nasi 0682853510
゚viralシ

👆👆👆👆Tukiongelea harufu, pia zipo za aina nyingi tu. Ila kwa uhalisia, uke hautakiwi kutoa harufu mbaya, kwamba hata mwen...
20/08/2026

👆👆👆👆
Tukiongelea harufu, pia zipo za aina nyingi tu. Ila kwa uhalisia, uke hautakiwi kutoa harufu mbaya, kwamba hata mwenza akizama huko chini, avutiwe kuzama, na asikimbie mrembo wangu.

Hivyo, k**a unaharufu yoyote ile, kati ya hizo, hiyo ni PID.
Wasiliana nasi kupitia 0682853510
゚viralシ

✍️KUNA MWANAMKE HAONI PERIOD HATA MIEZI 3.✍️NA HAJALI WALA NINI.✍️ UTAKUJA KUJITIBIA UVIMBE KWENYE KIZAZI 🤔    Moja Ya S...
20/08/2026

✍️KUNA MWANAMKE HAONI PERIOD HATA MIEZI 3.

✍️NA HAJALI WALA NINI.

✍️ UTAKUJA KUJITIBIA UVIMBE KWENYE KIZAZI 🤔

Moja Ya Sababu Zinazopelekea Mwanamke Kukosa period/ hedhi au Kupata Hedhi Isiyoeleweka ni

📍Hormone Imbalance: hormone zikivurugika husababisha madhara haya.

👉 Uke Kuwa mkavu sana

👉 Husababisha tatizo la Miscarriage / mimba kuharibika mara kwa mara.

👉 Kutoshika ujauzito

👉 Tarehe za period kubadilika badilika

👉 Kukosa ute wa ovulation

👉 Kupata hedhi zaidi ya mara moja kwa mwezi.

👉 Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa

👉 Husababisha maumivu makali wakati wa hedhi.

👉 Kupata hedhi kidogo sana au nyingi sana

👉 Kutokwa maziwa wakati haunyonyeshi.

👉 Kupitiliza hedhi zaidi mwezi.

📍 Kukosa Hisia Kabisa Ya Tendo La Ndoa Yaani Kukosa Raha Au Utamu Wa Penzi Unafanya Ilimladi Tu Kuridhisha Mume Wako.
Wasiliana nasi kwa msaada zaid 0682853510
asili ゚viralシ

11/08/2026
🌹 Uhusiano Uliopo Kati Ya Maumivu Ya Kiuno Na Uchafu Ukeni......Uchafu kutoka ukeni hii inamaanisha kuwa ndani ya Kizazi...
01/08/2026

🌹 Uhusiano Uliopo Kati Ya Maumivu Ya Kiuno Na Uchafu Ukeni......
Uchafu kutoka ukeni hii inamaanisha kuwa ndani ya Kizazi chako unazalishwa mwingi sana

Kinachosababisha uchafu utokee katika Kizazi chako ni kuwepo kwa uvamizi wa 👇

🔴Uvamizi wa Bacteria 🧫
🔴 Uvamizi wa Fungi
🔴 Uvamizi wa Virus 🦠 k**a vile HPV n.k

Na kutokwa kwa uchafu Kunaweza kuwa ni ugonjwa flani kutokana na aina ya Uvamizi kwenye mfumo wa Kizazi chako

Inaweza kuwa ni ugonjwa flani kati ya haya 👇
•PID- pelvic inflammatory disease
•Fangus
•STDs- Sexual transmitted Dieseas ( Gonorrhea n.k)
•N.k

Haya magonjwa yanaweza kukusababishia changamoto ya kupata maumivu ya kiuno hata mgongo

*Hii inatokeaje?*

Kumbuka mfumo wako wa Kizazi umezungukwa na nyonga kuelekea juu tumboni na kuzunguka mgongo

Hivyo kitu kinachozungukwa kikiwa na changamoto basi kinachozunguka lazima kipate shida kiasi

Hivyo kuumwa mgongo , nyonga ukiwa na PID na shida nyinginezo za Kutokwa na uchafu ukeni uhusiano upo
゚viralシ

Address

Tanzania-Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shen Afya ya Uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share