bye bye tumbo maumivu

bye bye tumbo maumivu Suluhisho La Vidonda Vya tumbo
Tunasaidia Kurudisha Amani Ya Tumbo Lako
οΏ½ Inbox Kwa Ushauri Au Order

30/08/2026

Asante kwa support yako.
Tunaendelea Kuwa Pamoja Katika Safari Yako Ya Kutunza Afya Yako.πŸ’―

29/08/2026

⚠️ Vyakula vya kupunguza au kuepuka

Kwa baadhi ya watu, dalili huchochewa na:
1.Pilipili na vyakula vyenye viungo vikali
2.Vyakula vya kukaanga na vyenye mafuta mengi
3.Kahawa na vinywaji vyenye caffeine
4.Soda/vinywaji vya gesi
5.Chokoleti
6.Pombe
7.Machungwa, limao na matunda mengine yenye asidi nyingi
8.Milo mikubwa sana, hasa karibu na muda wa kulala
9.Nyanya na bidhaa zake

28/08/2026
26/08/2026

πŸ‘‰ Je, Unajua Sababu Inayoweza Kufanya Tatizo Liendelee Kujirudia?
Usipuuze Dalili Zinazojirudia. Chukua Hatua Leo!
πŸ“ž 0613758288
πŸ“² Wasiliana Nasi Kwa Ushauri Zaidi.

25/08/2026

🚨 Acid Reflux Inakunyima Raha Ya Maisha? 🚨

πŸ”₯ Kila Ukila Unapata Kifua Kuungua?
πŸ”₯ Tindikali Inapanda Hadi Kooni?
πŸ”₯ Tumbo Linajaa Gesi Na Kukusumbua?
πŸ”₯ Unashindwa Kulala Kwa Raha Baada Ya Kula?

⚠️ Usizoe Maumivu Na Usumbufu Kila Siku!
Chukua Hatua Leo Na Anza Kuzingatia Afya Ya Mfumo Wako Wa Mmeng'enyo Wa Chakula.
🌿 Pata Virutubisho Vinavyoweza Kusaidia Kusaidia Afya Ya Tumbo Na Kurejesha Hamu Ya kula Pia Vinasaidia kuondokana na Maumivu Ya Kifua

πŸ“ž Wasiliana Nasi Sasa Kwa Ushauri: 0613758288
🚚 Tunapatikana Tanzania Nzima.
πŸ‘‰ Usisubiri Dalili Zizidi. Wasiliana Nasi Leo

24/08/2026

Usizoe maumivu yanayojirudia bila kujua chanzo chake. Kujua sababu mapema kunaweza kusaidia kupata matibabu sahihi.

21/08/2026

🚨 Usi Ruhusu Maumivu Ya Tumbo Yakawa Sehemu Ya Maisha yako.
Huduma ya Usafirishaji Ina Patikana Mikoa Yote Tanzania
πŸ“ž 0613758288 .
πŸ“± Wasiliana Nami Kwa Maelekezo Na Ushauri

19/08/2026

🚨 UMEMALIZA KULA, HALAFU UNAENDA KULALA?

Kulala Mara Tu Baada Ya Kula Kunaweza Kufanya Dalili Za Acid Reflux/Kiungulia Kuwa Mbaya Zaidi Kwa Baadhi Ya Watu. 😣
⏳ Jipe Muda Kabla Ya Kulala Baada Ya Mlo, na Zingatia Vyakula Vinavyokuchochea Dalili.

🌿 Tunza Afya Ya Mfumo Wako Wa Mmeng’enyo Wa Chakula.
πŸ“²0613758288
Wasiliana Nasi Leo Kupata Maelezo Zaidi Kuhusu Virutubisho Vyetu.

⚠️ Usizoe Maumivu Na Usumbufu Wa Tumbo K**a Ni Kitu Cha Kawaida.🌿 Virutubisho Vyetu Vinaweza Kuwa Sehemu Ya Mpango Wa Ku...
17/08/2026

⚠️ Usizoe Maumivu Na Usumbufu Wa Tumbo K**a Ni Kitu Cha Kawaida.

🌿 Virutubisho Vyetu Vinaweza Kuwa Sehemu Ya Mpango Wa Kutunza Afya Ya Mfumo Wa Mmeng'enyo Wa Chakula Na Ustawi Wa Tumbo.
πŸ“² Wasiliana Nasi Leo: 0613758288
🚚 Tunapatikana Kwa Huduma Ya Usafirishaji Tanzania Nzima.
πŸ”₯ USISUBIRI DALILI ZIKUSUMBUSHE ZAIDI β€” CHUKUA HATUA LEO!

16/08/2026

🚨 USIPUUZE VICHOCHEZI VYA VIDONDA VYA TUMBO!
🌢️ Pilipili nyingi – zinaweza kuongeza muwasho na maumivu.
🍺 Pombe – inaweza kuongeza usumbufu tumboni.
β˜• Kahawa nyingi – kwa baadhi ya watu inaweza kuchochea dalili.
πŸ’Š Baadhi ya dawa za maumivu – matumizi ya mara kwa mara yanaweza kuharibu kinga ya tumbo.
πŸ₯€ Vinywaji vyenye gesi – vinaweza kuongeza kiungulia na usumbufu.
🍟 Vyakula vya mafuta mengi – vinaweza kufanya dalili ziwe mbaya kwa baadhi ya watu.

🌿 Linda afya ya mfumo wako wa mmeng’enyo kwa lishe bora na uchaguzi sahihi wa virutubisho.
πŸ“² Pata maelezo zaidi kuhusu virutubisho:
0613758288 β€” Piga simu au WhatsApp sasa!

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when bye bye tumbo maumivu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share