Maisha halisitz

Maisha halisitz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Maisha halisitz, Psychologist, Tabata, Dar es Salaam.
(1)

K**a unapitia changamoto yoyote katika mahusiano yako, ndoa au mapenzi yako huyaelewi basi karibu kwenye huduma zangu za ushauri pia follow account yangu ya Instagram ya kwa huduma zote

kwa uliye serious andaa ada yako ni elfu 30 kisha nichek WhatsApp no 0656832100,,usiwe mtu wa kusoma shuuda za watu wana...
08/06/2026

kwa uliye serious andaa ada yako ni elfu 30 kisha nichek WhatsApp no 0656832100,,

usiwe mtu wa kusoma shuuda za watu wanaolewa na kuoa tu na wewe una upweke No No Mungu ana wako na popote anapatikana karibu

Koma
08/06/2026

Koma

ikumbukwe NOTE:. point utakazoziona wameandika... ndio hizo hizo zimekua sababu za wanawake wengi kusaliti watu wao wa m...
08/06/2026

ikumbukwe NOTE:. point utakazoziona wameandika... ndio hizo hizo zimekua sababu za wanawake wengi kusaliti watu wao wa maana na kuwaacha

Mahusiano mengi hayapotezi upendo… yanapotezi msisimko.Uhusiano wa kimapenzi haubaki hai kwa bahati mbaya. Unabaki hai k...
08/06/2026

Mahusiano mengi hayapotezi upendo… yanapotezi msisimko.
Uhusiano wa kimapenzi haubaki hai kwa bahati mbaya. Unabaki hai kwa upendo wa makusudi kupitia mambo madogo madogo yanayofanywa mara kwa mara.
Kwa sababu mahaba ya kweli hayapo kwenye matukio makubwa pekee…
yapo kwenye nguvu na hisia za kila siku.

1. Endelea kuongea na mwenza wako k**a bado uko kwenye mapenzi mwangaza
Siyo tu kuuliza, “Umekula?”
Bali pia…
“Nimekumiss leo.”
“Unapendeza hata unapokuwa umepumzika tu.”
“Bado nakupenda sana… tena sana.”
Mahaba huishi katika maneno.

2. Usiache kamwe kutofautiana na kutaniana (flirting)
Hata katika mapenzi ya muda mrefu, utani wa kimapenzi haupaswi kutoweka.
Utani mwororo.
Sifa ya uchokozi wa kimapenzi.
Kauli ya kushtukiza k**a, “Wewe ni wangu, unajua hilo sawia?”
Hii huweka kivutio cha kihisia hai.

3. Gusaneni zaidi, hata kwa namna rahisi tu
Mahaba ni ya kimwili, lakini si kila mara ya kingono.
Kushikana mikono mkiwa mnatembea.
Kumnyooshea kola yake.
Kuegemeza kichwa chako begani kwake.
Miguso midogo husema “Nimekuchagua wewe” bila maneno.

4. Tengenezeni nyakati za faragha ambazo ni zenu ninyi wawili tu
Siyo kila kitu kinahitaji kupostiwa mitandaoni.
Mazungumzo ya usiku wa manane.
Kucheka pamoja kwa sababu ya jambo fulani la kijinga.
Kumbukumbu ambayo ni ninyi wawili tu mnaoielewa.
Faragha hufanya upendo uhisike kuwa kitu kitakatifu na cha thamani.

5. Rudisheni jitihada k**a vile ni mwanzo wa mahusiano yenu
Vaa ukapendeza wakati mwingine… hata k**a hamna mahali mnaenda.
Tuma ujumbe mfupi kana kwamba bado unajaribu kumvutia na kumteka akili yake.
Kuzoeana na kujisikia huru ni kuzuri… lakini jitihada ndizo zinazoweka hamu na shauku hai.

6. Usiruhusu mazoea ya kila siku kuua udadisi
Ulizana maswali upya.
Leaneni mambo mapya kuhusu ninyi wawili upya.
Kuweni na mkuze uhusiano wenu pamoja, siyo tu kuishi pembeni mwa mwenzako.
Upendo unakuwa wa kaboring na wa kukinai pale udadisi unapokufa.

7. Semeni “Ninakuthamini” mara kwa mara
Mahaba si hisia kali za mapenzi pekee…
ni shukrani pia.
“Ninaona unachofanya kwa ajili yetu.”
“Sichukulii uwepo wako k**a jambo la kawaida tu.”
“Nina bahati kuwa na wewe.”
Maneno haya huufanya moyo ubaki kuwa mwororo na upendo👋

chukua hiii
07/06/2026

chukua hiii

✍️
07/06/2026

✍️

Huu ni ushamba watu siku hizi wana macho ya kuviona vilivyo bora haswa acha na hao wanaokuja na moto wa mabua kwako... w...
07/06/2026

Huu ni ushamba watu siku hizi wana macho ya kuviona vilivyo bora haswa acha na hao wanaokuja na moto wa mabua kwako... we endelea tu kuwapoteza watu mhimu

utanishauri
07/06/2026

utanishauri

👋👋 Gudu bai
06/06/2026

👋👋 Gudu bai

Achana nae .. :Unalala, haupati usingizi juu ya mtu ambae huenda amelala na mtu mwingine muda huu kwa amani tele. :Achan...
06/06/2026

Achana nae .. :
Unalala, haupati usingizi juu ya mtu ambae huenda amelala na mtu mwingine muda huu kwa amani tele. :
Achana nae!

Unaangalia simu yako sasa hivi ukisubiri text ya mtu ambae unamuona yuko online anachati na mtu mwingine kwa furaha zote..
:
Achana nae!

Unaweka status za huzuni WatsApp kuonesha namna gani unavyoumizwa, wakati yeye yuko busy anamfikiria mtu mwingine, anampa furaha mtu mwingine, anamuweka status kuwa anampenda sana na wewe amekuficha usiweze kuiona status.
:
Achana nae..! Kweli unalia juu ya mtu ambae anamfurahisha mwingine?? Sio sawa bhana, hebu sikiliza, k**a wewe sie ambae anakujali, basi hutakiwi kuwa na wasiwasi tena, wewe sie wake. Yuko mtu mwingine badala yako.
:
Ni ngumu, inauma sana na sio rahisi lakini kaza moyo, vaa moyo wa ujasiri, na hebu achana nae!!
Ipo siku, utakuja kuwa na mtu atakaekusahaulisha magumu yote uliyopitia!!
:
"The saddest thing about love is that not only that it cannot last forever, but that heartbreak is soon forgotten." YES or NO ?
:

Address

Tabata
Dar Es Salaam

Telephone

+255756802580

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maisha halisitz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category