Kamzi Medicore

Kamzi Medicore Elimu, ushauri na matibabu kwa changamoto ya uzazi kwa wanawake na wanaume

08/06/2026

"Figo kujaa maji" mara nyingi huitwa hydronephrosis, hali ambayo mkojo hushindwa kutoka vizuri kwenye figo na hivyo kusababisha figo kuvimba.

Dalili za figo kujaa maji

Maumivu ya mgongo au ubavuni (chini ya mbavu)

Maumivu wakati wa kukojoa

Kukojoa mara kwa mara au kwa shida

Mkojo kuwa na damu

Homa (hasa k**a kuna maambukizi)

Kichefuchefu na kutapika

Kuvimba miguu, vifundo vya miguu au uso

Uchovu na udhaifu

Madhara yake

Ikiwa haitatibiwa, inaweza kusababisha:

Uharibifu wa figo wa kudumu

Kupungua kwa uwezo wa figo kufanya kazi

Maambukizi ya mara kwa mara kwenye njia ya mkojo

Kushindwa kwa figo kufanya kazi (kidney failure) katika hali kali

Ikiwa una maumivu makali ya ubavuni, homa, au unaona damu kwenye mkojo.
Kwa ushauli na tiba
Sigara/Whatsp +255 715 518 376

Ninatoa ushauri na tiba kwa afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake Piga/ Whatsp 0715518376
28/05/2026

Ninatoa ushauri na tiba kwa afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake
Piga/ Whatsp 0715518376

28/05/2026

K**a unataka kuimarisha nguvu zako fanya mazoezi haya asubuhi na jioni

Address

Kimara
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kamzi Medicore posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category