Menrise Wellness

Menrise Wellness ๐ŸŒบ Fertility expert
๐ŸŒ Afya ya uzazi kwa mwanamke na mwanaume
๐Ÿ“ฒ Call and Dm for consultation
๐Ÿ“ž 0689360801

29/06/2026

Homoni za kiume si za wanaume pekee. Kila mwanamke pia anazo, lakini zinapaswa kuwa kwenye kiwango sahihi.

Zinapokuwa juu kuliko kawaida, mwili huanza kutuma ishara. Unaweza kuanza kupata ndevu usoni, chunusi zisizoisha, nywele kupungua kichwani, hedhi kuvurugika au kupata ugumu wa kushika ujauzito.

Tatizo ni kwamba wanawake wengi hupambana na dalili hizi kwa miaka wakidhani ni jambo la kawaida au la kurithi, ilhali chanzo kinaweza kuwa ni homoni.

Usinyamaze kwa sababu dalili zako zinaonekana โ€œza kawaida.โ€ Mwili wako huwa unajaribu kukuambia kuna kitu kinahitaji kufuatiliwa.

Afya ya homoni ni sehemu muhimu ya afya ya mwanamke. Sikiliza mwili wako mapema.
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ

โ€œKuna siku uliwahi kulia ukimuomba Mungu akujalie mtoto. Wengine walikucheka, wengine walikwambia usubiri, lakini hakuna...
28/06/2026

โ€œKuna siku uliwahi kulia ukimuomba Mungu akujalie mtoto. Wengine walikucheka, wengine walikwambia usubiri, lakini hakuna aliyejua maumivu uliyokuwa unayabeba moyoni. Leo unapomshika mikononi mwako, unajua kabisa huu si muujiza mdogoโ€ฆ ni ushuhuda wa neema. โค๏ธ

**Kwa anayesubiri mtoto leo, usikate tamaa. Safari inaweza kuwa ndefu, machozi yanaweza kuwa mengi, lakini bado kuna Mungu anayebadilisha vilio kuwa vicheko. Siku yako inaweza isiwe leo, lakini inaweza kuwa kesho. Endelea kuamini.โ€ ๐Ÿค๐Ÿ‘ถ๐Ÿฝโœจ

27/06/2026

Je ulishawai kusikia nini kuhusu wanawake walio na ndevu ukihusiana na uzazi.
#

Hakuna anayekuambia kuhusu maumivu ya dakika hizi.Unakaa kimya, mgongo umeinama, macho yamejaa hofu na matumaini kwa wak...
27/06/2026

Hakuna anayekuambia kuhusu maumivu ya dakika hizi.
Unakaa kimya, mgongo umeinama, macho yamejaa hofu na matumaini kwa wakati mmoja. Kila contraction inakuambia safari imefika mwisho, lakini moyo wako unajua mwanzo mpya unakaribia.

Wengi wataona tabasamu lako baada ya kujifungua, lakini hawataona machozi, uchovu na maumivu uliyoyabeba ili umkumbatie mtoto wako kwa mara ya kwanza.

Mama, wewe ni shujaa. Maumivu unayopitia leo yatakuwa hadithi ya upendo ambayo mtoto wako ataishi nayo maisha yake yote. โค๏ธ๐Ÿค

27/06/2026

K**a ni mama wa mtoto mmoja na saivi bado hujafanikiwa kupata mtoto mwingine sikiliza Hii
Kwa ushauri na matibabu wasiliana nasi 0689360801

27/06/2026

hii ni changamoto ambayo wanawake wengi hupitia na Haujirudia mara kwa mara.
K**a unataman kufahamu kujua chanzo comments apo.
Congo

16/06/2026

Hiki ni kitu kinashusha confidence kwa wanawake wengi sana.

16/06/2026

PCOS inasababisha kuwa na uzito mkubwa ambao unakuwa ni ngumu kuupunguza. Inawezekana Umeangaika mda mrefu na uzito bila mafanikio. Sasa PCOS ikiwepo iinakuwa ni ngumu sana uzito kupungua, suluhisho ni kutatua PCOS kwanza.

16/06/2026

Mungu awabariki sana wanawake wanaoamua kuchukua huu uthubutu wa kuvumilia miezi Tisa.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Menrise Wellness posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share