16/06/2026
NJIA ZA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA MOYO
โ
Kula lishe bora
โ
Fanya mazoezi mara kwa mara
โ
Epuka uvutaji wa sigara
โ
Punguza matumizi ya pombe
โ
Dhibiti shinikizo la damu
โ
Pima afya yako mara kwa mara
โค๏ธ Kinga ni bora kuliko tiba.
๐ Jango Medical Laboratories tupo kwaajili ya kukuhudumia