fahariyamwanamke

fahariyamwanamke Karibu � Sehemu ya wanawake kupata tumaini jipya la uzazi kupitia Fertility02 Package.

03/07/2026

TIBA YA BAWASIRI
🇺🇸 🇹🇿tiktokkenya🇰🇪🇺🇬🇿🇼💯

03/07/2026

⚠️ UNASUMBULIWA NA DALILI HIZI? HUENDA UKAWA NA PID (Maambukizi ya Nyonga)
❌ Maumivu makali ya tumbo la chini na nyonga
❌ Maumivu wakati wa tendo la ndoa
❌ Uchafu ukeni wenye harufu mbaya
❌ Maumivu au kuungua wakati wa kukojoa
❌ Hedhi zisizo za kawaida
❌ Homa, uchovu na mwili kukosa nguvu

⚠️ PID ikipuuzwa inaweza kusababisha kuziba kwa mirija ya uzazi na changamoto za kupata ujauzito.

📞 Usikae kimya ukiumia! Wasiliana nasi sasa kwa ushauri na mwongozo wa afya ya uzazi.
Dr Joseph
📲 0754820488

02/07/2026

Tiba Ya Kuondoa Mafuta Mwilini

01/07/2026

Tiba ya malaria sugu

27/06/2026

Tiba Ya Haja Ndogo

🌹Kwanini mwanamke mwenye uvimbe kwenye kizazi (fibroids) hupata upungufu wa damu?Sababu kuu ni kutokwa na damu nyingi wa...
26/06/2026

🌹Kwanini mwanamke mwenye uvimbe kwenye kizazi (fibroids) hupata upungufu wa damu?

Sababu kuu ni kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi. Uvimbe kwenye kizazi unaweza kusababisha:

🩸 Hedhi nyingi na za muda mrefu – Mwanamke hupoteza damu nyingi kila mwezi.

🩸 Kutokwa na damu katikati ya hedhi – Hii huongeza upotevu wa damu mwilini.

🩸 Kupungua kwa madini ya chuma (Iron) – Mwili hushindwa kuzalisha hemoglobini ya kutosha kutokana na kupoteza damu mara kwa mara.

🩸 Kupungua kwa seli nyekundu za damu – Hali hii husababisha upungufu wa damu (anemia).

Dalili za upungufu wa damu ni pamoja na:
✔ Kuchoka haraka
✔ Kizunguzungu
✔ Kupumua kwa shida
✔ Mapigo ya moyo kwenda kasi
✔ Ngozi kuwa ya kupauka
✔ Maumivu ya kichwa
Muhimu:

Ikiwa una uvimbe kwenye kizazi na unapata hedhi nyingi, ni vyema kupata ushauri wa kitaalamu mapema ili kudhibiti upotevu wa damu na kuzuia madhara ya anemia.

25/06/2026
25/06/2026

Madini ya chuma hufanya kazi vizuri zaidi yanapoliwa pamoja na vyakula vyenye vitamini C k**a machungwa, malimau, mapera na nanasi.

*_Dalili kuu 10 za Endometriosis kwa mwanamke_*1. Maumivu makali wakati wa hedhiHedhi inaweza kuambatana na maumivu maku...
25/06/2026

*_Dalili kuu 10 za Endometriosis kwa mwanamke_*

1. Maumivu makali wakati wa hedhi
Hedhi inaweza kuambatana na maumivu makubwa ya tumbo au nyonga kuliko kawaida...

2. Maumivu ya tumbo la chini au nyonga mara kwa mara
Hata nje ya siku za hedhi, mwanamke anaweza kuhisi maumivu au uzito kwenye nyonga.

3. Maumivu wakati wa tendo la ndoa
Endometriosis inaweza kusababisha maumivu wakati au baada ya tendo la ndoa...

4. Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi
Hedhi inaweza kuwa nyingi sana au kudumu siku nyingi kuliko kawaida...

5. Kutokwa damu katikati ya hedhi
Baadhi ya wanawake hupata damu au spotting hata kabla au baada ya hedhi...

6. Maumivu wakati wa kwenda haja kubwa au kukojoa
Hasa wakati wa hedhi, maumivu yanaweza kuongezeka wakati wa choo au kukojoa.

7. Tumbo kujaa gesi, kuvimba au kukaza
Mwanamke anaweza kuhisi tumbo kujaa, kubana au kuvimba hasa karibu na hedhi...

8. Uchovu wa mara kwa mara
Mwili unaweza kuchoka sana bila sababu kubwa, hasa wakati wa hedhi au baada yake...

9. Kichefuchefu, kuharisha au kufunga choo wakati wa hedhi
Endometriosis inaweza kuathiri pia mfumo wa tumbo na haja kubwa...

10. Ugumu wa kupata ujauzito
Baadhi ya wanawake hugundua endometriosis baada ya kuchelewa kupata mimba.

Muhimu kufahamu
Sio kila mwanamke mwenye endometriosis atakuwa na dalili zote..

Wengine huwa na dalili chache, na wengine hupata maumivu makali sana...

K**a maumivu ya hedhi ni makubwa kupita kawaida au hedhi inaambatana na matatizo mengi..

ni vizuri kumuona daktari wa wanawake kwa uchunguzi...

19/06/2026

Ukiona dalili hizi, usipuuzie. Fanya uchunguzi mapema ili kujua hali yako na kupata ushauri sahihi wa kitaalamu.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when fahariyamwanamke posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category