MGODI WA AFYA

MGODI WA AFYA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MGODI WA AFYA, Health & Wellness Website, Wakatibado Street, Dar es Salaam.

+PAGE II NI MAALUMU KWA WATU WA AINA ZOTE WANAOSUMBULIWA NA SHIDA MBALIMBALI ZA KIAFYA HASA ZILE ZILIZO KOSA UFUMBUZI MAHOSPITALINI SHIDA ZA UZAZI KAMA UGUMBA,PID,UTI NA MAGONJWA YOTE,KUTOA ELIMU YA AFYA NA NAMNA YA KULA,SHEA KWA JAMAA ZAKO NA WENGINE

23/09/2026

UMUHIMU WA UTE WA OVULATION KATIKA KUSHIKA MIMBA

Ute Wa Mlango Wa Kizazi (Cervical Mucus) Ni Moja Ya Mambo Muhimu Yanayosaidia Mazingira Ya Uzazi Kuwa Rafiki Kwa Mbegu Za Kiume,Hasa Karibu Na Kipindi Cha Ovulation.

🔹 1. Ute Huongezeka Karibu Na Ovulation
Wakati Estrogen Inapoongezeka, Ute Hubadilika Na Kuwa Mwingi, Wa Wazi, Laini Na Unaonyumbulika K**a Ute Wa Yai Bichi.

🔹 2. Husaidia Mbegu Za Kiume Kusafiri
Ute Wa Rutuba Husaidia Mbegu Za Kiume Kupita Kwenye Mlango Wa Kizazi Na Kusafiri Kuelekea Kwenye Mirija Ya Uzazi.

🔹 3. Husaidia Mbegu Kuishi Kwa Muda Mrefu
Ute Wa Rutuba Huunda Mazingira Yanayoweza Kuzilinda Mbegu Na Kusaidia Zibaki Hai Kwa Muda Mrefu Zaidi.

🔹 4. Husaidia Kutambua Siku Za Rutuba
Ute Wa Wazi, Unaoteleza Na Kunyumbulika K**a Ute Wa Yai Bichi Ni Moja Ya Dalili Zinazoweza Kuonyesha Kwamba Mwanamke Yuko Karibu Na Ovulation.

⚠️ ZINGATIA :
Kutokuona Ute Mwingi Wa Ovulation Hakumaanishi Kwamba Mwanamke Hawezi Kupata Mimba. Ute Unaweza Kuwa Upo Ndani Na Usionekane Sana Nje.

Ila, Uwezo Wa Kupata Mimba Hautegemei Ute Pekee. Ovulation, Ubora Wa Mbegu Za Kiume, Afya Ya Mirija Ya Uzazi, Homoni Na Mambo Mengine Ya Uzazi Pia Huchangia.

Kwa Maelekezo Na Jinsi Itakayokusaidia Zaidi Basi Usisahau Kusave Namba Na Kututext Tsap/Call 0718639776...

22/09/2026

MWANAMKE…Mpunguzie Mmeo Vyakula Ivi K**a Unataka Kubeba Ujauzito…

1.☑️Nyama Za Viwandani(Processed Meats)

2.☑️Pombe(Alcohol)

3.☑️Sukari Na Vyakula Vyenye Sukari

4.☑️Vyakula Mafuta Mengi Na Kukaangwa

5.☑️Chai Za Majani Au Kahawa Za Kafeini

6.☑️Matunda Na Mboga Zenye Sumu(Pesticides)

Ulaji Sahihi Unaweza Kumsaidia Mmeo Kutoa Malighafi Safi Isiyo Na Kasoro

Baadhi Ya Wanaume Wanatoa Malighafi Fake Ambazo Haziwezi Kuleta Matokeo Kwa Sababu Wake Zao Ni Wazembe

Kwa Msaada Wa Kinywaji Safi Kwa Mmeo Na Familia Basi Namba Ni Iziii
Tsap/Call 0718639776

21/09/2026

UNASUMBUKA KUREKEBISHA HOMONI ZAKO??
Je Umejaribu Namna Rahisi Ya Kubadirisha Chakula Chako??
Watsap/Call 0718639776

21/09/2026

NJIA TATU ZA KUZUIA MIMBA AU UZAZI WA MPANGO ZINAZOTESA WANAWAKE WENGI….

01✍️Sindano(Injection Contraceptive

02✍️Vidonge(Birth Control Pills 💊)

03).Kijiti(Implants)

KWANINI NI HATARI??

01✍️Huzuia Kupevushwa Kwa Mayai Hivyo Mzunguko Wa Kawaida Wa Homoni Muhimu Husimama..

02✍️Zinaongeza Homoni Kutoka Nje Na Ivyo Huuambia Mwili Hauhitaji Homoni Za Asili Kufanya Kazi Au Kujiandaa Kwa Ovulation

03✍️Hubadilisha Ute Wa Mlango Wa Uzazi(Cervical Muccus)..Ute Wa Mlango Unaweza Kua Mzito Na Ivo Kuzuia Sperms/Mbegu Kupita

04/.Hubadilisha Mazingira Ya Kizazi:Njia Izi Zinaweza Kuathiri Kuta Za Ndani K**a Endometrium Na Kuwa Nyembamba

05/.Kuongezeka Kwa Simu;Baada Ya Kuacha Mwili Huitaji Mda Mrefu Wa Kufanya Detox Ili Ukae Sawa Na Apa Ndo Kizaa Za kinakua Kikubwa

KUMBUKA
K**a Utachukua Hatua Leo Na Kuanza Kufuata Tiba Nikupayo Utaanza Kuona Tofauti Kubwa Sana Na Homoni Zako Zitakushukuru Kwa Kukupatia Hitaji La Moyo Wako
Kwa Msaada Zaidi Na Tena Na Tena Watsap/Call 0718639776

/uzazieden

19/09/2026

MAJUTO NI MJUKUU…CHUKUA HATUA ILI UONDOKANE NA CHANGAMOTO YAKO
K**a Unasubiria Muujiza Atleast Chukua Hatua Kidogo Ya Kupokea Uo Muujiza
Wanawaisrael Walipokua Jangwani Mungu Alikua Anawapa Manna Ila Ili Wabidi Waamke Asubuhi Na Mapema Kuokota Manna Kwakua Mungu Hakuwaletea Hemani Mwao

Watsap/Call 0718639776

With Adili Costantino – I just got recognised as one of their rising fans! 🎉
19/09/2026

With Adili Costantino – I just got recognised as one of their rising fans! 🎉

18/09/2026

UKIWA NA DALILI IZI YAWEZEKANA UNA UJAUZITO WA MTOTO WA KIKE🤓

*✍️Joto La Mwili Kuwa Chini Kidogo Au Wastani.

*✍️Ukuaji Wa Mtoto Unaweza Kuwa Wa Taratibu Kidogo.

*✍️Mapigo Ya Moyo Ya Mtoto Kuwa Juu Kidogo Au Wastani.

*✍️Unaweza Kufikisha Wiki Kamili Za Ujauzito Au Kuzidi Kidogo.

*✍️Unaweza Kuwa Na Uzito Wa Kuzaliwa Ulio Chini Kidogo.

*✍️Mama Anaweza Kuwa Na Uwezekano Mkubwa Zaidi Wa Kuhisi Kichefuchefu Cha Asubuhi(Morning Sickness)

*✍️Tumbo Linaweza Kuonekana Likiwa Juu Na La Mviringo Zaidi.

MUHIMU KUKUMBUKA

Kila Ujauzito Ni Wa Kipekee,Hizi Ni Dalili Ya Jumla Tu, Sio Kanuni Zinazoweza Kusema Kwa Uhakika Mtoto Ni Wa Kiume Au Wa K**e.

K**a Unazijua Zingine Ebu Tueleze

K**a Unatamani Sana Juu Ya Masuala Ya Changamoto Za Afya Ya Uzazi Kukaa Sawa
Watsap/Call 0718639776

17/09/2026

HOMONI ZAKO HAZIKO SAWA,ANZA KWA KUPUNGUZA VYAKULA HIVI…

1. Sukari Nyingi
Ulaji Mwingi Wa Sukari Unaweza Kuongeza Sukari Ya Damu Na Insulini, Hali Inayoweza Kuathiri Usawa Wa Homoni.

1. 🍔 Vyakula Vilivyosindikwa;
Mara Nyingi Vina Sukari, Chumvi Na Mafuta Mengi, Na Ulaji Wake Wa Mara Kwa Mara Unaweza Kuathiri Metabolism

1. 🍟 Vyakula Vya Kukaanga;
Hasa Vyenye Mafuta Yasiyo Bora, Vinaweza Kuchangia Kutokea Kwa Uvimbe Mwilini.

1. 🥤 Vinywaji Vyenye Sukari
Soda Na Vinywaji Vingine Vyenye Sukari Nyingi Vinaweza Kusababisha Kupanda Haraka Kwa Sukari Ya Damu Na Kuongeza Mzigo Wa Insulini.

1. ☕ Kafeini Nyingi
Inaweza Kuathiri Usingizi Na Kwa Baadhi Ya Watu Kuongeza Homoni Ya Msongo, Cortisol.

1. 🍞 Wanga Uliokobolewa
K**a Mkate Mweupe, Biskuti Na Baadhi Ya Vyakula Vilivyotengenezwa Kwa Unga Mweupe. Vinaweza Kuongeza Sukari Ya Damu Haraka.

1. 🍪 Vitafunwa Vilivyofungashwa
Baadhi Yake Vina Sukari Nyingi, Chumvi, Mafuta Na Viambata Vya Kuongeza Ladha.

✍️LISHE BORA = AFYA BORA YA HOMONI

Punguza Vyakula Vilivyosindikwa Sana, Kula Vyakula Vyenye Virutubisho, Na Dumisha Mtindo Bora Wa Maisha.

✍️Afya Ya Homoni Haitegemei Chakula Kimoja—Inategemea Mlo Wako Kwa Ujumla, Usingizi, Mazoezi Na Afya Ya Mwili Kwa Ujumla.
Homoni Zako Unazielewa…K**a Sio Basi Jua Kwa Kutupata
Watsap/Call 0718639776

16/09/2026

KUHARIBIKIWA NA UJAUZITO KWA BAHATI MBAYA AU KWA MAKUSUDI..
Ni Moja Kati Ya Visababishi Vinavyozuia Wanawake Wengi Wasishike Ujauzito Tena

Kwa Msaada Zaidi Tsap/Call 0718639776

Address

Wakatibado Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 19:00
Tuesday 09:00 - 19:00
Wednesday 09:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 19:00
Friday 09:00 - 19:00
Saturday 09:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MGODI WA AFYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share