Chuma mind Motivator

Chuma mind Motivator mtaalamu wa saikolojia na unasihi

Leo ninashare hatua muhimu ya safari yangu ya kitaaluma nikiwa nimehitimu Master of Education in Applied Social Psycholo...
25/05/2026

Leo ninashare hatua muhimu ya safari yangu ya kitaaluma nikiwa nimehitimu Master of Education in Applied Social Psychology kutoka University of Dar es Salaam. Hatua hii imenifanya kuwa rasmi mtaalamu wa saikolojia.

Safari hii imenifundisha jambo moja kubwa sana:
๐€๐ค๐ข๐ฅ๐ข ๐ฒ๐š ๐›๐ข๐ง๐š๐๐š๐ฆ๐ฎ ๐ข๐ง๐š๐ฐ๐ž๐ณ๐š ๐ค๐ฎ๐ฉ๐จ๐ง๐š, ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ž๐ง๐ ๐ฐ๐š ๐ฎ๐ฉ๐ฒ๐š, ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐›๐š๐๐ข๐ฅ๐ข๐ฌ๐ก๐ฐ๐š ๐ค๐š๐›๐ข๐ฌ๐š ๐ข๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐ฌ๐š๐š๐๐š ๐ฌ๐š๐ก๐ข๐ก๐ข.

Kupitia page hii, nitakuwa nikianza kushare kwa kina zaidi kuhusu:
โ€ข๐€๐Ÿ๐ฒ๐š ๐ฒ๐š ๐š๐ค๐ข๐ฅ๐ข (๐ฆ๐ž๐ง๐ญ๐š๐ฅ ๐ก๐ž๐š๐ฅ๐ญ๐ก)
โ€ข ๐Œ๐š๐ก๐ฎ๐ฌ๐ข๐š๐ง๐จ ๐ง๐š ๐ญ๐š๐›๐ข๐š ๐ณ๐š ๐›๐ข๐ง๐š๐๐š๐ฆ๐ฎ
โ€ข ๐Œ๐š๐ฎ๐ฆ๐ข๐ฏ๐ฎ ๐ฒ๐š ๐ค๐ข๐ก๐ข๐ฌ๐ข๐š ๐ง๐š ๐ฃ๐ข๐ง๐ฌ๐ข ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ฒ๐š๐ฌ๐ก๐ข๐ง๐๐š
โ€ข ๐๐ฃ๐ข๐š ๐ณ๐š ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ข๐ฃ๐ž๐ง๐ ๐š ๐ค๐ข๐ฌ๐š๐ข๐ค๐จ๐ฅ๐จ๐ฃ๐ข๐š ๐ค๐ข๐ฅ๐š ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ

K**a unathamini ๐™ ๐™ช๐™ ๐™ช๐™– ๐™ ๐™ž๐™–๐™ ๐™ž๐™ก๐™ž ๐™ฃ๐™– ๐™ ๐™ž๐™ง๐™ค๐™๐™ค, karibu sana kwenye safari hii ya kujijenga. ๐Ÿ™

๐Ÿ‘‰ Follow page hii ili tusafiri pamoja kwenye kujenga akili zetu na maisha bora.

KWANINI BAADHI YA WATU WANAPENDA SANA KUPOST KWENYE MAKUNDI YA MITANDAO YA KIJAMII??? Zijue sababu...๐Ÿค”๐Ÿค”
23/05/2026

KWANINI BAADHI YA WATU WANAPENDA SANA KUPOST KWENYE MAKUNDI YA MITANDAO YA KIJAMII??? Zijue sababu...๐Ÿค”๐Ÿค”

02/05/2026
26/04/2026

๐Ÿšจ HAYA NDIO MAKOSA YANAYOSABABISHA WANAFUNZI WENGI WASIELEWE DARASANI! ๐Ÿ˜ข๐Ÿ“š

Mtoto anaenda shule kila sikuโ€ฆ lakini akirudi nyumbani haelewi alichofundishwa?
Usimlaumu haraka. Huenda hajui namna ya kumsikiliza mwalimu darasani.

Wanafunzi wengi hufeli si kwa sababu hawana akiliโ€ฆ
bali kwa sababu wanakosea hapa:
โŒ Kukaa darasani bila umakini
โŒ Kuandika kila kitu bila kuelewa
โŒ Kuogopa kuuliza swali
โŒ Mawazo kuwa nje ya somo
โŒ Kutokuwa na mbinu ya kusikiliza kwa ufanisi

๐ŸŽฏ Ukweli ni huu:
Mwanafunzi akijua namna ya kusikiliza darasani, kuelewa huongezekaโ€ฆ na matokeo hubadilika.

๐ŸŽฅ Tazama video hii fupi ujifunze mbinu muhimu ya Listening Skills ambayo ni sehemu ya program yetu maalum ya siku 7 ya kuinua ufaulu wa mwanafunzi kupitia WhatsApp au FLASH.

๐Ÿ“š Program hii itamsaidia mwanafunzi kujifunza:
โœ… Namna ya kujisomea kwa uelewa (Study Skills)
โœ… Namna ya kumsikiliza mwalimu darasani na kuelewa (Listening Skills)
โœ… Mbinu za kupanga ratiba binafsi ya kujisomea (Time Management)
โœ… Namna ya kujiandaa na mitihani ikamilifu
โœ… Namna ya kujibu maswali ya mtihani kwa usahihi
โœ… Mbinu za kumbukumbu ya haraka na ya kudumu
โœ… Kuondoa hofu ya mtihani
โœ… Kuondoa uvivu na mawazo hasi
โœ… Kujenga nidhamu ya kujisomea
โœ… Kujiamini na kupata hamasa mpya ya kusoma

๐Ÿ“ฒ Kwa mzazi anayetaka mtoto abadili matokeo yake, inbox au WhatsApp 0616727372
๐Ÿ‘‰ Andika: NATAKA PROGRAM

MTOTO WAKO ANAENDA SHULE KILA SIKUโ€ฆ LAKINI MATOKEO BADO HAYARIDHISHI?Usidhanie tatizo ni kuhudhuria darasani pekee.Wanaf...
18/04/2026

MTOTO WAKO ANAENDA SHULE KILA SIKUโ€ฆ LAKINI MATOKEO BADO HAYARIDHISHI?

Usidhanie tatizo ni kuhudhuria darasani pekee.
Wanafunzi wengi hawafeli kwa sababu hawaendi shuleโ€ฆ
bali kwa sababu HAWAJUI NAMNA YA KUJIFUNZA.
Anaweza kuwa:
๐Ÿ“Œ Anakaa darasani kila siku
๐Ÿ“Œ Anasoma usiku
๐Ÿ“Œ Anakariri
Lakini bado matokeo ni duni.
Sababu ni moja: HAJAJUA MBINU SAHIHI ZA KUJIFUNZA.

๐ŸŽฏ PROGRAM MAALUM YA SIKU 7 (WHATSAPP)
Kupitia Chuma Counselling Center, tumekuandalia programu maalum ya siku 7 inayomsaidia mwanafunzi kubadilisha namna yake ya kujifunza akiwa popote alipo kupitia WhatsApp.
๐Ÿ“น Video za mafunzo
๐ŸŽง Audio za mwongozo
๐Ÿ“ Mazoezi ya kila siku + marekebisho

๐Ÿ“š KATIKA PROGRAM HII MWANAFUNZI ATAJIFUNZA:
โœ… Kuondoa hofu ya masomo na kujenga kujiamini
โœ… Study skills (kusoma kwa kuelewa, si kukariri)
โœ… Listening skills (kusikiliza darasani kwa ufanisi)
โœ… Time management (kupanga muda wa kusoma)
โœ… Mbinu za kujiandaa na mitihani
โœ… Jinsi ya kujibu maswali kwa usahihi
โœ… Memory techniques (kumbukumbu ya haraka na ya kudumu)
โœ… Kuondoa uvivu na mawazo hasi
โœ… Nidhamu ya kujisomea kila siku

๐ŸŽ BONUS MAALUM:
โœ” Mwanafunzi na mzazi watazungumza na mtaalamu wa saikolojia ya elimu
Siku ya kwanza: watafanya tathmini na kupewa ushauri
Siku ya mwisho: tathmini ya maendeleo na mwongozo

๐Ÿ’ฐ BEI NA VIFURUSHI
๐ŸŽฏ Tsh 20,000
โœ” Basic program ya siku 7
โœ” Marekebisho ya mazoezi kila siku
โœ” Mtaalamu wa saikolojia kuzungumza na mzazi na mwanafunzi siku ya kwanza na ya mwisho

๐ŸŽฏ Tsh 35,000
โœ” Basic program ya siku 7
โœ” Marekebisho ya mazoezi kila siku
โœ” Mtaalamu wa saikolojia kuzungumza na mzazi na mwanafunzi kila siku ya programu
โœ” Ushauri wa kitaalamu na ufuatiliaji wa maendeleo ya mwanafunzi kila siku.

๐ŸŽฏ Tsh 50,000 (VIP โ€“ Ana kwa ana)
โœ” Program kamili ya siku 7
โœ” Ushauri wa moja kwa moja (face to face) na mtaalamu wa saikolojia
โœ” Tathmini ya kina ya mwanafunzi
โœ” Mpango binafsi wa kuboresha ufaulu na nidhamu ya masomo
โœ” Follow up ya karibu zaidi kila siku.

๐Ÿ’พ FLASH VERSION (OFFLINE)
โœ” Program kamili ya siku 7
โœ” Inapatikana kwa Tsh 25,000 kwenye flash
โœ” Flash itatumwa popote ulipo kwa usalama na uaminifu

๐Ÿซ HUDUMA KWA SHULE NA TAASISI ZA ELIMU
Tunatoa pia mafunzo haya kwa shule na taasisi za elimu kwa bei nafuu kulingana na makubaliano.

Tuna shuhuda nyingi za wanafunzi waliofanikiwa kupitia program hii
โš ๏ธ Usisubiri hali ya kitaaluma ya mtoto wako izidi kuwa mbaya.

Akibadilisha namna ya kujifunza, atabadilisha matokeo. Muda wa kufanya uamuzi sahihi ni sasa.
๐Ÿ“ฒ Inbox au WhatsApp sasa kuanza mara moja.

๐Ÿ’ฌ K**a unahitaji kujiunga na program hii, nitumie ujumbe WhatsApp 0616727372 uandike: โ€œNATAKA PROGRAMโ€ Karibu sana ๐Ÿ™

30/03/2026

JE UMECHOKA NA MATOKEO MABAYA YA MITIHANI ANAYOYAPATA MTOTO WAKO, SURUHISHO HILI HAPA.

30/03/2026

JE UMECHOKA NA MATOKEO MABAYA YA MITIHANI ANAYOYAPATA MTOTO WAKO? ๐Ÿ˜ข

USIMLAUMUโ€ฆ HUENDA HAJAFUNDISHWA NAMNA YA KUSOMA!
Wazazi wengi wanaumia kimya kimyaโ€ฆ
wanaona mtoto anajitahidi, lakini matokeo hayaendani na uwezo wake ๐Ÿ’”
Ukweli ni huu:
โŒ Si kila anayefeli hana akili
โŒ Wengi hawana mbinu sahihi za kujifunza
โŒ Hawajui kutumia muda wala kuelewa wanachosoma
SASA KUNA SULUHISHO LA HARAKA NA LENYE MATOKEO! ๐Ÿ”ฅ
CHUMA COUNSELLING CENTER inakuletea:
PROGRAM MAALUM YA SIKU 7 YA KUBADILISHA UFAULU WA MTOTO WAKO ๐Ÿ“šโœจ
NDANI YA SIKU 7 TU, MTOTO ATAJIFUNZA:
โœ… Namna ya kusoma kwa uelewa (Study Skills)
โœ… Jinsi ya kusikiliza na kuelewa darasani (Listening Skills)
โœ… Kupanga muda na ratiba ya masomo (Time Management)
โœ… Jinsi ya kujibu maswali ya mtihani kwa usahihi ๐Ÿ“
โœ… Mbinu za kukumbuka kwa urahisi (Memory Techniques) ๐Ÿง 
โœ… Kuondoa hofu, uvivu na mawazo hasi
โœ… Kujenga nidhamu ya kusoma na kujiamini
โœ… Kupata hamasa mpya ya kusoma (Motivation)
โœ… Ushauri wa kitaalamu kwa mzazi na mtoto ๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ‘ง
๐ŸŽฏ HII SIYO THEORYโ€ฆ NI MAFUNZO YA VITENDO!
OFFER MAALUM (USIKOSE) ๐ŸŽ
๐Ÿ’ฐ Kwa sasa ni Tsh 10,000 TU kwa wiki nzima!
AHADI YETU KWAKO ๐ŸŒŸ
Baada ya siku 7, utaanza kuona mabadiliko ya kweli kwa mtoto wako โ€“
katika mtazamo, nidhamu, na namna ya kusoma!
โš ๏ธ NAFASI NI CHACHE SANA!
Hatupokei kila mtu ili kuhakikisha ubora wa huduma.
CHUKUA HATUA SASA! ๐Ÿš€
Usisubiri mtoto aendelee kufeli wakati suluhisho lipo!
๐Ÿ“ฒ WhatsApp sasa: 0616727372
๐Ÿ‘‰ Andika: โ€œNATAKA PROGRAMโ€ uanze mara moja

28/03/2026

Umenipendea nini?

28/03/2026

Umenipendea nini? ๐Ÿค”
Watu wengi wanapoulizwa swali hili mwanzo wa mahusiano, wanakosea kabisa kujibu! ๐Ÿ˜ฒ
Lakini ukweli ni huu: hili ndilo swali pekee linaloamua hatima ya mahusiano yenu. ๐Ÿ’”โค๏ธ
Je, unajua jinsi ya kulijibu kwa usahihi?
Tazama video hii sasa na ujifunze siri ambayo watu wengi hawajui! ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ

Maumivu si mwisho wako ni lugha ya ndani inayokuambia kuna sehemu inahitaji uponyaji, na ukisikiliza vizuri, yanaweza ku...
27/03/2026

Maumivu si mwisho wako ni lugha ya ndani inayokuambia kuna sehemu inahitaji uponyaji, na ukisikiliza vizuri, yanaweza kuwa daraja la nguvu mpya na ukuaji wa ndani.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chuma mind Motivator posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share