Dr Nature

Dr Nature Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr Nature, Doctor, Dar es Salaam.

Tunatibu Magonjwa Kitaalamu Kwa Tiba Asili na Mtindo wa Maisha

Registered & Licensed Medical Doctor & THP (Tz)

Kwalimbanga, Kinyerezi - Dar es salaam
+255767759137

Nikiwa na machozi na moyo mzito napenda kuwataarifu kuwa jana 2 August tumepata ajali ya bus kwa bus yaliyogongana Uso k...
03/08/2026

Nikiwa na machozi na moyo mzito napenda kuwataarifu kuwa jana 2 August tumepata ajali ya bus kwa bus yaliyogongana Uso kwa uso maeneo ya Bahi, Dodoma mida ya saa 12 asubuhi

Tulikuwa kwenye bus la Isamilo kutoka Mwanza kwenye mkutano wa makambi (ya kisabato) kurudi Dar es salaam k**a kwaya ya KINYEREZI SDA

Katika ajali hiyo mbaya nimepoteza mke wangu kipenzi Elizabeth😭😭😭😭😭

Wengine 7 wamefariki pia na wengine wanaendelea na matibabu

Hili ni kubwa sana kwangu.. hata sijui nisemeje.. Mungu tu tungepota wote kwa hali ilivyokuwa

Hata katika hili Mungu ana makusudi mema lakini inauma sana..

RATIBA:

Kesho jumanne 4/8 saa 5:00 asubuhi mwili utaangwa Dodoma Central SDA church

Ibada kabla ya mazishi itafanyika alhamisi Saa 5 asubuhi Kinyerezi SDA church - Dar es salaam

Mungu aliyenipa sweet soul ameruhusu hili litokee, jina lake lijimidiwe

MyLove😭😭😭😭

Watu wa Mwanza mtanisamehe this time nimekuja kimya kimya..Next time itatangazwa kutakuwa na eventSabato Njema
31/07/2026

Watu wa Mwanza mtanisamehe this time nimekuja kimya kimya..

Next time itatangazwa kutakuwa na event

Sabato Njema

Manjano (turmeric) ikutumika na pilipili manga (black pepper) inaongezeka bioavailability x2000Lakini kwa mwenye acid re...
27/07/2026

Manjano (turmeric) ikutumika na pilipili manga (black pepper) inaongezeka bioavailability x2000

Lakini kwa mwenye acid reflux na kiungulia wengi huwa na michubuko tumboni (gastritis) inaweza kupelekea kuumia zaidi

Ndio maana nimeelekeza tumia mafuta ya olive au n**i ambayo ni extravirgin ili kuongeza ufyonzwaji wa manjano

Ndugu yako
Dr Nature
Take Care!

27/07/2026

Kiungo rahisi k**a KItunguu saumu kinaweza kuumiza au kukutibu

Fuata maelekezo ya video hii ili utibu magonjwa Matano (5) na jinsi ya kutumia (dose) kwa usalama

Magonjwa k**a
- Presha ya kupanda
- Maambukizi
- Kolestro mbaya kuzidi
- Ukak**avu wa mishipa ya damu

Zingatia tahadhari zilizotolewa

Kumbuka utakapopona mtukuze MUNGU kwa kutupatia mawakala wa asili

Kunifollow ni BURE😂

Naitwa Dr Nature

Take care!

25/07/2026

Unasumbuliwa na
- Acid refoux
- Kiungulia
- Gas
- Tumbo kuvuruga

Umechoka kunywa pantoprazole?

Tengeneza hii chak na Mungu akufungue🙏🏼

Kunifollow ni BURE😂

Naitwa Dr Nature
Take Care!

Happy Sabbath
25/07/2026

Happy Sabbath

23/07/2026

Nini Kitatokea Usipokula Usiku Kwa Siku 30

Nani mwingine anataka kiboko😂Ukiwa na easy chopper stress za kitambi na uzito mkubwa unamwachia ShetaniHakuna kuharisha ...
23/07/2026

Nani mwingine anataka kiboko😂

Ukiwa na easy chopper stress za kitambi na uzito mkubwa unamwachia Shetani

Hakuna kuharisha wala kunywa umenuna. Simple!

Tshs 50,000 tu

Order: 0767759137

22/07/2026

Un-cut story ya mmoja wa wanafunzi aliyekuwa akifanya program ya kutibu ACID REFLUX

Hapa utajifunza kitu ambacho wengi hawawezi kukuambia.

Ni ndefu lakini inastahili usikivu wako huenda ikawa mwanzo wa mafanikio kwako

Kwa ushauri zaidi: +255 767 759 137

22/07/2026

Wazee 3 Wameinuliwa Kitandani Hadi Shamba Kwa Mbegu Hii Moja

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Sunday 08:00 - 18:00

Telephone

+255767759137

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Nature posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category