MoYo Mashine 26

MoYo Mashine 26 In love
Forever my mother
Somebody else
🌹πŸ”₯🌹

Fuatilia picha mpaka mwisho      πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒΉπŸ“Œ
28/07/2023

Fuatilia picha mpaka mwisho
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒΉπŸ“Œ

Hamna kitu duniani kinaumiza k**a konda akikwambia inua miguu niingize mzigo     Daaah 🌹🌹🌹
02/03/2023

Hamna kitu duniani kinaumiza k**a konda akikwambia inua miguu niingize mzigo
Daaah
🌹🌹🌹

Tayar ushawaza ujinga πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€”πŸ”₯
19/02/2022

Tayar ushawaza ujinga πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€”πŸ”₯

09/02/2021

LIKE LIKE

In love
Forever my mother
Somebody else
🌹πŸ”₯🌹

Uongoz wa chidy mapenzi Tz 99 na Mapenzi online YouTube unawatakia
25/12/2020

Uongoz wa chidy mapenzi Tz 99 na Mapenzi online YouTube unawatakia

Kutoka in box     Kaka chidy naomba msaada wako mim ni mschana miaka 26 nimekua kwenye mahusiano kwa miaka 6 na wanaume ...
21/10/2020

Kutoka in box
Kaka chidy naomba msaada wako mim ni mschana miaka 26 nimekua kwenye mahusiano kwa miaka 6 na wanaume tofautu tatizo langu mim napenda kua na mwanaume awe wangu lakin napo mpata tu nakua staman tena kua nae napia hata tendo staman najikuta naachana nae sasa kaka mim kuna kaka nampenda tunasoma nae APA chuon anajua tatizo langu hili maana niliwah toka na rafki ake wakaribu najaribu kutaka kumueleza hisia zangu nashindwa nahofia kumtosa MTU nae mpenda kaka nisaidie nifanye nin hili tatizo liishe au kaka k**a kuna doctor unamjua wa saikoloj ya mapenz nielekeze kwan nateseka sana mim kaka angu naona ishakua tatizo hili NISAIDIE

# # #

KWANINI NDOA INAKUPA THAMANI TOFAUTI NA MAHUSIANO ya KAWAIDA 1- Ndoa niyake mwenyez mungu lazma ikupe thamani na heshma ...
13/10/2020

KWANINI NDOA INAKUPA THAMANI TOFAUTI NA MAHUSIANO ya KAWAIDA
1- Ndoa niyake mwenyez mungu lazma ikupe thamani na heshma ataskumoja hamna kizuri kwa mungu kisicho na thaman
2-Kikubwa ndoa ni heshima kwako na kwa walio wazunguka hususani ndugu jamaa na marafiki
3-Ndoa ni hitaji LA kilamtu alie zaliwa na akili timam
3- Ndoa ni mtihan mkubwa sana ambao kuushinda inatakiwa uipende Ndoa yako na uwe mwenye subra
4- lazma ujitaidi kuongeza thamani ya mapenz zaid ya uchumba apo ndipo wanaferi wengi wanabak wanaichukulia poa na ukiichukulia poa lazma itakutesa
5- kujituma kwenye Ndoa zaid ya kwenye MAHUSIANO ya kawaida ni ivi k**a kwenye uchumba ulikua mwenye huruma kwa mwenzio na walio mzunguka uzidishe zaid pia na k**a ulikua ubapenda kushiliki kiuchumi kwa mwenzio zidisha zaid bad

# # # # # mapenzi Tz 99 # #
Nawapenda ana

KABLA YAKUA NAMKE ALIKUA MTU WA KUCHELEWA NYUMBANI ANA KUA KARIBU NA MARAFIK DADA ZAKE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI USIMLALAM...
05/10/2020

KABLA YAKUA NAMKE ALIKUA MTU WA KUCHELEWA NYUMBANI ANA KUA KARIBU NA MARAFIK DADA ZAKE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI USIMLALAMIKIE ONGea nae taratibu usimfanye akuone nimtu walawama alikua anarud SAA 4 kutokana na lawama zako unamuona asbuh kwaiyo ongea nae taratibu tena kwa adabu kumfanya ajue saiv ana mke anaitaj muda wake kuepusha MISUGUANO wakina Dada zingatien hii

CHIDY mim ni  mwanamke nimeolewa miaka 8 iliyo pita ila nilibahatika kupata mtoto 1 wakiume ana miaka 6 saiv ila tatizo ...
08/09/2020

CHIDY mim ni mwanamke nimeolewa miaka 8 iliyo pita ila nilibahatika kupata mtoto 1 wakiume ana miaka 6 saiv ila tatizo kwangu ni toka nimzae huyu mtoto sjawah kupata skuzangu ila huwa naota k**a nna mimba iv na situation zote za mimba napitia ndoton mala nying tu ila Jana usiku kuamkia Leo nimepata uchungu na maumivu makal chini ya kitovu k**a najifungua ila sion kitu nipostie kwenye ukulasa wako WANIPE USHAULI ISJE KUA NI ushetwani BY mama BRITISH

Address

Dareslam Tabata Liwiti
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MoYo Mashine 26 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share