12/08/2026
π¨ TAHADHARI: HOMA YA INI (HEPATITIS B & C) NI HATARI KWA AFYA YAKO!
Homa ya ini ni ugonjwa unaoshambulia ini taratibu bila dalili kubwa mwanzoni. Watu wengi hugundua wakiwa wamechelewa, wakati ini limeanza kuathirika na mwili umeanza kudhoofika.
Dalili za kuangalia: β
Uchovu wa mara kwa mara
β
Maumivu ya tumbo upande wa kulia
β
Macho au ngozi kuwa ya njano
β
Kichefuchefu na kukosa hamu ya kula
β
Mkojo kuwa mweusi
Usipoanza matibabu mapema, homa ya ini inaweza kusababisha: β οΈ Ini kuharibika
β οΈ Kovu kwenye ini
β οΈ Saratani ya ini
β οΈ Ini kushindwa kufanya kazi
Habari njema ni kwamba ukigundua mapema, unaweza kuanza matibabu na kulinda ini lako kabla halijapata madhara makubwa.
π Usisubiri dalili ziongezeke.
Pima mapema β’ Anza matibabu mapema β’ Linda afya yako
Kwa ushauri na maelezo zaidi kuhusu matibabu:
π WhatsApp / Call: 0714 282 454
.