23/05/2026
MAFUNZO YA UTUNZAJI WA WAZEE MAJUMBANI π
Wazee wetu ni hazina ya taifa na nguzo ya familia zetu. Je, unatamani kuwa na ujuzi sahihi na wa kitaalamu wa kuwatunza kwa upendo, afya, na usalama wakiwa nyumbani?
BlissPals Tanzania inakukaribisha kwenye mafunzo maalumu ya wiki mbili yatakayokupa mbinu bora za ushirikiano, lishe, mazoezi, na jinsi ya kufuatilia afya zao (Vital Signs).
π Tarehe: 8 β 19 June 2026
π Eneo: Ukumbi wa BlissPals, Mbweni - Dar es Salaam
π° Gharama: TSH 100,000/=
β° Mwisho wa kujisajili: 31 May 2026
Nafasi ni chache sana! Wahi sasa kujisajili ili utoe huduma bora na ya viwango kwa wazee wetu.
Wasiliana nasi:
π +255 767 920 025 / +255 715 274 385
π§ [email protected]