Vipimo na ushauri na Dr eliza

Vipimo na ushauri na Dr eliza Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Vipimo na ushauri na Dr eliza, Health & Wellness Website, Tegeta nyuki, Dar es Salaam.

KITUO CHA AFYA - ETERNAL CLINIC KUTOKA CHINA.Ni taasisi inayomilikiwa na Wachina ambapo ina madktari waliobobea na vifaa...
03/12/2024

KITUO CHA AFYA - ETERNAL CLINIC KUTOKA CHINA.
Ni taasisi inayomilikiwa na Wachina ambapo ina madktari waliobobea na vifaa vya kisasa wanatoa huduma ya vipimo kwa gharama nafuu sana.20,000tu
Pia wanatibu magonjwa yafuatayo:
✅Matatizo ya hedhi kwa wanawake
✅Kutoshika mimba
✅Mimba kuharibika
✅Chango la uzazi
✅Vimbe aina zote
✅PID & UTI
✅Kuzibua mirija ya uzazi
✅Vidonda vya tumbo
✅Tezi dume
✅Nguvu za kiume
✅Bawasiri
✅Matatizo ya moyo
✅Matatizo ya mifupa
✅Ngiri
✅Matatizo ya kibofu cha mkojo
✅Aleji
✅Bandama
✅Homa ya Ini
✅Kiharusi/Stroke
✅Pumu
✅Miguu Kuwaka Moto
✅Uzito mkubwa
Pia tuna dawa maalum kwa wagonjwa wa
✅Presha
✅Sukari
✅VVU
Tupo banana Dar es salaam, Mwanza,Arusha,Dodoma, Mbeya,tupigie simu utapokelewa
Wasiliana nasi kwa namba za simu:
0742950892
https://wa.me/message/IUNYYDSMXBSCD1

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZOShirika la Afya kutoka CHINA/ GCAT HOSPITAL, IMETOA OFA KWA WATU WATAKAO...
27/11/2024

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO

Shirika la Afya kutoka CHINA/ GCAT HOSPITAL, IMETOA OFA KWA WATU WATAKAO fika katika vituo vyake vyote, KUPATA HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU
Ofa hii niya👇👇
▪️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 20,000/= tu
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
✅ Matatizo ya Moyo na INI
✅Kansa,
✅Vidonda vya Tumbo,
✅Kisukari
✅Pumu
✅Stroku.
✅Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
✅Matatizo ya mifupa,
✅Matatizo ya miguu
✅Ngozi,
✅Figo,
✅Fangasi sugu
✅Kupunguza unene, uzito, na matumbo
✅Kuongeza kinga mwilini(CD4)
✅U.T.I sugu,Gesi
✅Bawasiri,
✅Tenzi dume
✅Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
👉 Kuosha
👉 Kulinda/ Kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu

Karibu sana Upate huduma Zetu imara . Tupo Dar es salaam Majumba sita Airport na Mikoani pia tunapatikana

Wasiliana nasi kwa namba.0742950892
https://wa.me/message/IUNYYDSMXBSCD1

GCAT HOSPITAL_INATOA HUDUMA YA OFA YA KIPIMO CHA MWILI MZIMA Tunakuja na OFA MAALUM! Kwa Tsh 20,000 tu, utapata kipimo c...
23/11/2024

GCAT HOSPITAL_INATOA HUDUMA YA OFA YA KIPIMO CHA MWILI MZIMA
Tunakuja na OFA MAALUM! Kwa Tsh 20,000 tu, utapata kipimo cha mwili mzima na ushauri wa bure kutoka kwa daktari.

KIPIMO KINAONESHA
1.Tatizo husika
2.Chanzo cha tatizo
3.Viashiria vya tatizo lingine
kipimo kinahusika na magonjwa sugu ambayo hayaambukizi

Tunafanya vipimo vya mwili mzima katika mfumo wa:
1. ubongo
2. upumuaji
3. Tumbo
4. Ngozi
5. misuli na mifupa
6. uzazi kwa wanawake na wanaume
7. macho

pia Tunatoa huduma ya Matibabu kwa magonjwa sugu k**a ifuatavyo
-vidonda vya Tumbo,Presha, Kisukari,
Moyo,Figo,INI,Choresterol,bawasili,
-Tezidume,fangasi,Uzazi kwa wanawake na wanaume , macho, Allergy, Mifupa ,Ngozi

Tunatbu Uvimbe Aina zote bila upasuaji, stroke(kupooza) , miguu,Magoti, ganzi, uzito, na unene, uvimbe kwenye via vya uzazi,ukuaji Mbovu wa watoto n.k

Usikose nafasi hii ya kipekee!
Wasiliana nasi 0742950892 Au bonyeza link hapo chini
https://wa.me/message/IUNYYDSMXBSCD1

23/11/2024
23/11/2024

GCAT HOSPITAL_INATOA HUDUMA YA OFA YA KIPIMO CHA MWILI MZIMA
Tunakuja na OFA MAALUM! Kwa Tsh 20,000 tu, utapata kipimo cha mwili mzima na ushauri wa bure kutoka kwa daktari.

KIPIMO KINAONESHA
1.Tatizo husika
2.Chanzo cha tatizo
3.Viashiria vya tatizo lingine
kipimo kinahusika na magonjwa sugu ambayo hayaambukizi

Tunafanya vipimo vya mwili mzima katika mfumo wa:
1. ubongo
2. upumuaji
3. Tumbo
4. Ngozi
5. misuli na mifupa
6. uzazi kwa wanawake na wanaume
7. macho

pia Tunatoa huduma ya Matibabu kwa magonjwa sugu k**a ifuatavyo
-vidonda vya Tumbo,Presha, Kisukari,
Moyo,Figo,INI,Choresterol,bawasili,
-Tezidume,fangasi,Uzazi kwa wanawake na wanaume , macho, Allergy, Mifupa ,Ngozi

Tunatbu Uvimbe Aina zote bila upasuaji, stroke(kupooza) , miguu,Magoti, ganzi, uzito, na unene, uvimbe kwenye via vya uzazi,ukuaji Mbovu wa watoto n.k

Usikose nafasi hii ya kipekee!
Wasiliana nasi 0743950892 Au bonyeza link hapo chini
https://wa.me/message/IUNYYDSMXBSCD1

*JE WAJUA?*✍️Figo ndio organ ya mwili inayo husika na kuchuja damu na hivyo kutoa taka mwilini katika mwili wa binadam, ...
23/11/2024

*JE WAJUA?*
✍️Figo ndio organ ya mwili inayo husika na kuchuja damu na hivyo kutoa taka mwilini katika mwili wa binadam, na pia husaidia kuzarisha homon zinazo weka sawa presha ya damu.
✍️Pindi figo zinapo feli Mambo Haya Utayaona
1. Kushindwa kukojoa
2. Kujoa mara kwa mara
3. Kupata maumivu makali wakati wa kukojoa
4. Miguu na mwili kuvimba
5. Presha ya kupanda au kushuka
6. Matatizo ya moyo na sukari
✍️NI GHARAMA SANA KUUTIBU UGONJWA HUU, HIVYO NI MUHIMU KUJIKINGA ILI USIKUPATE.
1. Kunjwa maji ya kutosha walau lita 2 kwa siku
2. Fanya mazoezi
3. Epuka pombe na sigara
4. Pata mda wa kutosha wa kulala
5. Epuka kubana mkojo mda mrefu
6. Wahi mapema hospital unapo ona dalili yoyote ya figo kufeli.
©AfyaTalk By Dr eliza
https://wa.me/message/IUNYYDSMXBSCD1

Hi
23/11/2024

Hi

23/11/2024

Welcome my page VIPIMO na ushauri

Address

Tegeta Nyuki
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vipimo na ushauri na Dr eliza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share