Neolife Afya Tips

Neolife  Afya  Tips SULUHISHO LA AFYA YAKO

26/08/2026

Usisite kunitafuta nitakuhudumia wasiliana nami 0715 744716
Karibuni sana TUWAHUDUMIE

Unapitia changamoto ipi kati ya hizi??? Basi usisite kunitafuta  0715 744716
26/08/2026

Unapitia changamoto ipi kati ya hizi??? Basi usisite kunitafuta 0715 744716

TATIZO LA URIC ACID NYINGI KWENYE DAMU.Kwanini uendelee kuteseka??? Wasiliana nasi 0715 744716 KARIBUNI SANA TUWAHUDUMIE...
26/08/2026

TATIZO LA URIC ACID NYINGI KWENYE DAMU.

Kwanini uendelee kuteseka??? Wasiliana nasi 0715 744716 KARIBUNI SANA TUWAHUDUMIE

VYANZO VYA TATIZO
■Ulaji wa nyama nyekundu kwa wingi.
■ Uzito mkubwa kupita kiasi.
■Utumiaji wa pombe.
■Vinywaji k**a Soda na juice za viwandani.
■Vyakula vingine vyenye kuleta uzalishaji mkubwa wa uric acid nyingi ni Figo ,Ini ,Moyo n.k.
■Magonjwa k**a Pressure ,Sukari n.k.
■Figo kushindwa kuchuja vizuri uic acid.
■Matumizi ya madawa k**a Asprin n.k.
■Kuvunjwa kwa Celi nyingi kwa wakati mmoja.

MADHARA YA TATIZO.
■Kuvimba kwa maungio k**a kwenye vidole n.k.
■Kufyonza ute ute na gegedu kwenye maungio yote.
■Maumivu makali ya viungo.
■Ulemavu wa kudumu.
■Kuleta ganzi ,kuwaka moto na kuchoma choma.
■Kua na ngozi kavu ya maungio yenye joto au moto na kua nyekundu.

SULUHISHO LIPO KUANZIA KWENYE CHANZO CHA TATIZO KWA KUTUMIA DAWA LISHE ZETU.

POPOTE ULIPO HUDUMA ITAKUFIKA.

NA HUU NDIO MTINDO BORA WA MAISHA
23/08/2026

NA HUU NDIO MTINDO BORA WA MAISHA

KARIBUNI SANA TUWAHUDUMIE.WASILIANA NASI KWA ZETU ZA HUDUMA (+255) 0715 744716 /0753844716TUNAPATIKANA MAKAO MAKUU DAR E...
23/08/2026

KARIBUNI SANA TUWAHUDUMIE.
WASILIANA NASI KWA ZETU ZA HUDUMA (+255) 0715 744716 /0753844716
TUNAPATIKANA MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM/ MWENGE MPAKANI.

TUNAFANYA DELIVERY: MIKOANI NA NJE YA TANZANIA 🇹🇿
POPOTE PALE ULIPO HUDUMA ZETU ZINAKUFIKIA.

KWA WAKATI NA UAMINIFU MKUBWA.

DIRECTOR AMINATA MACHULO
Aminata Machulo
Neolife Afya Tips

IKIWA UNASUMBULIWA NA CHANGAMOTO YA BAWASIRI KWA MUDA MREFU AMA KUJIRUDIA RUDIA LIPO SULUHISHO LA KUDUMU WASILIANA NASI ...
23/08/2026

IKIWA UNASUMBULIWA NA CHANGAMOTO YA BAWASIRI KWA MUDA MREFU AMA KUJIRUDIA RUDIA LIPO SULUHISHO LA KUDUMU
WASILIANA NASI 0715 744716
.........BAWASIRI NI NINI?.....

Ni uvimbe au kuongezeka kwa mishipa ya damu kwenye eneo la nyuma (re**um au a**s) unaosababisha maumivu, kuungua, kuwasha, na wakati mwingine damu inapokuwa mtu akijisaidia.

🔹 Aina za Bawasiri

1. Bawasiri ya ndani (Internal hemorrhoids)

Hupatikana ndani ya re**um

Mara nyingi hazionekani, lakini huvuja damu kwenye choo.

2. Bawasiri ya nje (External hemorrhoids)

Hupatikana sehemu ya nje ya (Puru)

Huwa na uvimbe unaoonekana, huuma sana, na wakati mwingine hutoa damu.🩸

3. Bawasiri iliyotoka nje (Pr*****ed hemorrhoids)

Mishipa ya damu ya ndani hujitokeza nje ya sehemu ya nyuma( Puru.)🩸

4. Bawasiri yenye donge la damu (Thrombosed hemorrhoids)🩸

Mishipa iliyovimba hujaa damu na kuwa donge gumu linalouma sana.

🔹 Sababu za Bawasiri

👉Kula vyakula visivyo na nyuzinyuzi (fiber kidogo).

👉Kukaa muda mrefu bila kusogea.

👉Kusahau kunywa maji ya kutosha.

👉Kubanwa choo mara kwa mara.

👉Kuinua vitu vizito kupita kiasi.

👉Ujauzito (hormone na shinikizo tumboni huongeza uwezekano).

👉Uzito mkubwa (obesity).

🔹 Dalili za Bawasiri

😔Maumivu au kuungua unapokaa au kujisaidia.

😔Damu nyekundu kwenye kinyesi au karatasi ya choo(toilet paper)

😔Kuwasha au muwasho (Puru)

😔Uvimbe unaojitokeza sehemu ya nyuma.

😔Hisia ya kutoshiba choo kikamilifu.

💊 Suplementi za NeoLife zinazosaidia kwa Bawasiri

1. Fibre Tablets / Fibre All C

Husaidia kulainisha choo

2. Tre-en-en

Huongeza mzunguko wa damu na nguvu za seli. Inafanya mwili ufyonze virutubisho kwa urahisi

3. Garlic Allium Complex

Ni antibiotic ya asili, husaidia kuondoa maambukizi

4. Omega-3 Salmon Oil Plus
Huondoa uvimbe na maumivu kwa sababu ni anti-inflammatory.

5. Vitamin C au E

Hujenga mishipa ya damu (kuizuia kupasuka kirahisi).

👉 Pia inashauriwa:

Kunywa maji mengi (angalau lita 2–3 kwa siku).

Kula mboga na matunda yenye nyuzinyuzi.

Kufanya mazoezi mepesi.

Kuepuka kukaa muda mrefu bila kusogea.

🌿 JE UNA CHANGAMOTO YA UVIMBE NDANI YA MWILI AU SARATANI? TUMIA CRUCIFEROUS PLUS 🌿✅ Husaidia kuongeza ulaji wa phytonutr...
21/07/2026

🌿 JE UNA CHANGAMOTO YA UVIMBE NDANI YA MWILI AU SARATANI? TUMIA CRUCIFEROUS PLUS 🌿

✅ Husaidia kuongeza ulaji wa phytonutrients kutoka kwenye mboga za jamii ya cruciferous.

✅ Huchangia kuimarisha kinga ya mwili.

✅ Husaidia kulinda seli dhidi ya msongo wa oksidishaji.

✅ Huchangia afya ya mwili kwa ujumla k**a sehemu ya lishe bora.

✅ Husaidia kuongeza virutubisho muhimu vinavyopatikana kwenye broccoli, kabichi, cauliflower na radish.

🌱 Afya bora huanza na maamuzi bora ya kila siku.

📞 Wasiliana nasi: 0715 744716

Kumbuka: Cruciferous Plus ni kirutubisho cha lishe kinachosaidia kufanya detox ya seli za vimbe au saratani mwilini.

🌾 TRE EN EN ni Lishe Asilia kwa Afya na Nguvu za Mwili 🌾Je, unahisi uchovu wa mara kwa mara au unataka kuimarisha lishe ...
21/07/2026

🌾 TRE EN EN ni Lishe Asilia kwa Afya na Nguvu za Mwili 🌾

Je, unahisi uchovu wa mara kwa mara au unataka kuimarisha lishe yako ya kila siku?

TRE EN EN ni kirutubisho cha lishe kilichotengenezwa kutoka kwenye mchele, ngano na soya zisizokobolewa, kwa lengo la kuongeza ubora wa lishe unayopata kila siku.

Faida zinazoweza kupatikana kwa kutumia TRE EN EN k**a sehemu ya lishe bora:
✅ Husaidia kuupa mwili virutubisho muhimu.
✅ Huchangia kuongeza nguvu na ustawi wa mwili.
✅ Husaidia kuifanya ngozi ionekane yenye afya na kung'aa.
✅ Huchangia afya ya mmeng'enyo wa chakula.
✅ Husaidia kuimarisha ustawi wa mwili kwa ujumla.

Mwili wenye afya huanza na lishe bora. Ukiupa mwili virutubisho vinavyohitajika, unaweza kujisikia mwenye nguvu zaidi na kuendelea na shughuli zako za kila siku kwa ufanisi.

📦 Delivery popote ulipo.

📲 Kwa maelezo zaidi au kuagiza: WhatsApp / Sim: 0715 744716

TRE EN EN – Lishe Asilia kwa Afya Bora.

Bidhaa Moja inatatua changamoto za mwanamke na kumpa suluhishoWasiliana nami 0715 744716
21/07/2026

Bidhaa Moja inatatua changamoto za mwanamke na kumpa suluhisho

Wasiliana nami 0715 744716

🌾 TRE EN EN ni Lishe Asilia kwa Afya na Nguvu za Mwili 🌾Je, unahisi uchovu wa mara kwa mara au unataka kuimarisha lishe ...
16/07/2026

🌾 TRE EN EN ni Lishe Asilia kwa Afya na Nguvu za Mwili 🌾

Je, unahisi uchovu wa mara kwa mara au unataka kuimarisha lishe yako ya kila siku?

TRE EN EN ni kirutubisho cha lishe kilichotengenezwa kutoka kwenye mchele, ngano na soya zisizokobolewa, kwa lengo la kuongeza ubora wa lishe unayopata kila siku.

Faida zinazoweza kupatikana kwa kutumia TRE EN EN k**a sehemu ya lishe bora:
✅ Husaidia kuupa mwili virutubisho muhimu.
✅ Huchangia kuongeza nguvu na ustawi wa mwili.
✅ Husaidia kuifanya ngozi ionekane yenye afya na kung'aa.
✅ Huchangia afya ya mmeng'enyo wa chakula.
✅ Husaidia kuimarisha ustawi wa mwili kwa ujumla.

Mwili wenye afya huanza na lishe bora. Ukiupa mwili virutubisho vinavyohitajika, unaweza kujisikia mwenye nguvu zaidi na kuendelea na shughuli zako za kila siku kwa ufanisi.

📦 Delivery popote ulipo.

📲 Kwa maelezo zaidi au kuagiza: WhatsApp / Sim: 0715 744716

TRE EN EN – Lishe Asilia kwa Afya Bora.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Neolife Afya Tips posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share