Hanod Afyacare

Hanod Afyacare Huduma ya ushauri wa afya, elimu ya kinga, lishe, na mwongozo wa maisha yenye afya bora.

Asante kwa wiki njema, Hanod Family!Leo ni siku nzuri ya kujitunza.Kumbuka kunywa maji, kupumzika, na kuutuliza mwili wa...
20/04/2025

Asante kwa wiki njema, Hanod Family!
Leo ni siku nzuri ya kujitunza.
Kumbuka kunywa maji, kupumzika, na kuutuliza mwili wako kwa sala, kutafakari au kutembea.

Kabla hujamaliza wiki, fanya kitu kizuri kwa afya yako.


Je, unajua?Kucheka hupunguza msongo wa mawazo na huongeza kinga ya mwili.Dakika 10 za kicheko kwa siku zinaweza kuboresh...
19/04/2025

Je, unajua?
Kucheka hupunguza msongo wa mawazo na huongeza kinga ya mwili.
Dakika 10 za kicheko kwa siku zinaweza kuboresha mzunguko wa damu na kuboresha hisia zako.

Leo tafuta sababu ya kucheka – ni tiba ya asili!


18/04/2025

Uliza Daktari – Ijumaa ya Afya!
Una swali kuhusu afya ya akili, lishe, uzito, shinikizo la damu au kinga ya mwili?
Andika hapa chini swali lako au tuma inbox. Tutalijibu kwenye post ya Jumapili!



Ushauri wa Afya ya Moyo:Epuka vyakula vya kukaanga mara kwa mara na ongeza matunda kwenye mlo wako.Tembea angalau dakika...
16/04/2025

Ushauri wa Afya ya Moyo:
Epuka vyakula vya kukaanga mara kwa mara na ongeza matunda kwenye mlo wako.
Tembea angalau dakika 30 kwa siku ili kuimarisha afya ya moyo wako.

Afya ya moyo ni maisha yako!



MYTH au FACT?Kupiga mswaki mara moja kwa siku kunatosha.Jibu: Hii ni MYTH!Kwa afya bora ya kinywa, ni muhimu kupiga mswa...
16/04/2025

MYTH au FACT?
Kupiga mswaki mara moja kwa siku kunatosha.

Jibu: Hii ni MYTH!
Kwa afya bora ya kinywa, ni muhimu kupiga mswaki mara mbili kwa siku – asubuhi na kabla ya kulala. Hii hupunguza hatari ya kuoza meno na magonjwa ya fizi.





Je, umewahi kufanya check-up ya afya yako mwaka huu?Kupima mara kwa mara husaidia kugundua matatizo ya kiafya mapema kab...
16/04/2025

Je, umewahi kufanya check-up ya afya yako mwaka huu?
Kupima mara kwa mara husaidia kugundua matatizo ya kiafya mapema kabla hayajawa makubwa.
Tuambie, mara ya mwisho ulifanya check-up lini?


Karibu Hanod Afyacare !Ulimwengu wa afya bora unaanza hapa!Katika Hanod Afyacare tunakuletea :Ushauri wa kitaalamu kuhus...
11/04/2025

Karibu Hanod Afyacare !
Ulimwengu wa afya bora unaanza hapa!
Katika Hanod Afyacare tunakuletea :

Ushauri wa kitaalamu kuhusu afya

Tiba mbadala na za asili

Lishe bora na mtindo wa maisha wenye Kuboreaha afya zetu.

Afya yako ni jukumu letu.
Karibu kwenye familia ya afya bora!

Address

Dar Es Salaam
00000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hanod Afyacare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share