Afya-kwanza

Afya-kwanza Business and service

08/06/2026

Foot Massager
Kifaa Maalum kwa Watu wenye Changamoto za
1.Miguu kuvimba
2.Miguu kuwaka moto
3.Miguu kujaa Maji
4.Miguu kufa ganzi na n.k

06/06/2026
06/06/2026

🌸VAGINAL DETOX

Je, unasumbuliwa na:
Harufu kali ukeni
Uchafu mwingi
Kuwashwa mara kwa mara
Maumivu ya chini ya tumbo
Discomfort wakati wa kukutana . mwenza
Kurudia-rudia kwa UTI au fangasi

Vaginal Detox ni huduma inayolenga kusaidia usafi wa uke na afya ya uzazi kwa mwanamke. Husaidia mwili kujisitiri vizuri, kuongeza hali ya comfort, na kusaidia kupunguza changamoto mbalimbali zinazohusiana na afya ya uke

✨ Faida zilizopo
✔️ Kusaidia kupunguza harufu mbaya ukeni
✔️ Kusaidia kupunguza uchafu usio wa kawaida
✔️ Kusaidia mwili kujihisi safi
✔️ Kusaidia kupunguza kuwashwa
✔️ Kusaidia afya ya uke na mfumo wa uzazi
✔️ Kusaidia balance nzuri ya uke kwa mwanamke

🌷 Mwanamke anapokuwa msafi na comfortable:
💖 Hujiamini zaidi
💖 Hujisikia fresh muda mwingi
💖 Hupata utulivu na comfort kwenye maisha ya kila siku

Kumbuka:
Dalili k**a maumivu makali, homa, damu isiyo ya kawaida, au infection zinazojirudia zinahitaji pia ushauri na matibabu

JE, UNAJUA DALILI ZA BAWASILI?Bawasili ni tatizo linalotokea pale mishipa ya damu kwenye eneo la njia ya haja kubwa inap...
06/06/2026

JE, UNAJUA DALILI ZA BAWASILI?
Bawasili ni tatizo linalotokea pale mishipa ya damu kwenye eneo la njia ya haja kubwa inapovimba.

Dalili zake zinaweza kuwa:

✅ Maumivu wakati wa kujisaidia
✅ Kutokwa na damu wakati wa haja kubwa
✅ Kuwashwa au muwasho sehemu ya haja kubwa
✅ Uvimbe au kinyama karibu na njia ya haja kubwa

Mambo yanayoweza kuongeza hatari ya bawasili:

✔️ Kukosa choo kwa muda mrefu (constipation) ✔️ Kukaa chooni muda mrefu
✔️ Kula vyakula vyenye nyuzinyuzi chache
✔️ Kutokunywa maji ya kutosha
✔️ Ujauzito

Jinsi ya kujikinga:

🥗 Kula mboga mboga na matunda kwa wingi
💧 Kunywa maji ya kutosha kila siku
🚶 Fanya mazoezi mara kwa mara
🚫 Epuka kujikaza sana wakati wa kujisaidia

⚠️ Ikiwa unapata damu wakati wa kujisaidia au maumivu makali, fika kituo cha afya kwa uchunguzi zaidi.
Je, umewahi kusikia kuhusu bawasili kabla ya leo? Tuambie kwenye maoni.

✅Tiba halisi ya BAWASIRI Bila Upasuaji Hii ndio tiba bora ya bawasiri aina zote na athari zake. 🌹Bawasiri ya ndani 🍃Bawa...
06/06/2026

✅Tiba halisi ya BAWASIRI Bila Upasuaji

Hii ndio tiba bora ya bawasiri aina zote na athari zake.

🌹Bawasiri ya ndani
🍃Bawasiri ya nje
💥Bawasiri ya nje na ndani
🍀Mipasuko/Michubuko
(A**l fissures & Discomfort)

▪️TSH 80,000/=

📞+255 624789638
+255748741405
&(WhatsApp).

🙏🏾KARIBU SANA

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
11000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya-kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share