Afya Volts

Afya Volts 🤝 Karibu!
🏥 Afya⚡️Volts (Afya Yako, Hazina Yetu)
🌿Mahali sahihi kwa uchunguzi wa afya na tiba lishe
🤝Kutana na HC.

Mwakaz'Sryly_HealthTreasurer
Mtaalamu wa afya aliyejitolea kukuongoza kwenye safari ya maisha yenye afya bora.
👉+255 712 312 071

23/06/2026

🩸 KISUKARI HAKIPASWI KUKUTAWALA... WEWE NDIYO UTAWALE AFYA YAKO!

Kudhibiti sukari mapema ni hatua muhimu ya kuzuia madhara makubwa k**a:
✔️ Shinikizo la damu
✔️ Matatizo ya figo
✔️ Magonjwa ya moyo
✔️ Kupungua uwezo wa kuona
✔️ Vidonda vya miguu

Tunakuletea bidhaa za asili zenye ubora zinazoweza kuwa sehemu ya mtindo bora wa maisha pamoja na lishe sahihi na ushauri wa kitaalamu.

🌿 Chagua afya. 💚 Chagua maisha. ✨ Chagua kuanza leo.
📲 Tupigie: +255 712 312 071
Afya⚡Volts "Afya Yako, Hazina Yetu."

📩 Tuma neno "AFYA" kwenye WhatsApp au tupigie +255 712 312 071 ili upate ushauri BILA MALIPO na ujue bidhaa inayokufaa.

⚠️ USIPUUZE UVIMBE... KUGUNDUA MAPEMA HUOKOA MAISHA!Afya njema inaanza na uchunguzi wa mapema.Ukiona dalili k**a: 🔹 Uvim...
23/06/2026

⚠️ USIPUUZE UVIMBE... KUGUNDUA MAPEMA HUOKOA MAISHA!

Afya njema inaanza na uchunguzi wa mapema.

Ukiona dalili k**a: 🔹 Uvimbe usio wa kawaida 🔹 Maumivu yasiyoeleweka 🔹 Kupungua uzito bila sababu 🔹 Uchovu wa muda mrefu 🔹 Kutokwa damu isivyo kawaida
Usisubiri hali iwe mbaya.

👉 Pima mapema. 👉 Pata ushauri wa wataalamu. 👉 Linda maisha yako na ya familia yako.

❤️ Kumbuka: Afya yako ndiyo mtaji wako mkubwa.
📞 +255 712 312 071
Afya⚡Volts "Afya Yako, Hazina Yetu."

📩 Tuma neno "AFYA" kwenye WhatsApp au tupigie +255 712 312 071 ili upate ushauri BILA MALIPO na ujue bidhaa inayokufaa.

30/01/2026

MAZOEZI + LISHE BORA NDIO NGUZO PEKEE ZA KUTUNZA MWILI WAKO 👌
KWA USHAURI WA KITABIBU....🩺
KARIBU GCAT INTERNATIONAL CLINIC...
TUKUHUDUMIE...
☎️ +255/ 0712 312 071
📍DSM - YOMBO

27/01/2026

🩺Elimika zaidi Kuhusu *Enternal Fish Oil* Kwa Mwili wako...

👉Achana na *Energy Drinks* Chagua *Enternal Fish Oil*....
👉Chaguo/ Suluhisho sahihi la Lishe Asilia na ya kudumu ya kudeal na Changamoto yako ya Uchovu, wako wa mara kwa mara bila kukuacha na madhara mwilini mwako.
👉Tupatie oda yako sasa popote ulipo Tanzania, tutakufikishia.
0712 312 071

27/01/2026

Deep Sea Fish Oil Soft Capsules

Imetengenezwa kutokana na mafuta safi ya samaki wa bahari kuu, yenye virutubisho muhimu vinavyosaidia mwili wako kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.

✨ Faida zake kwa mwili wako:
✅ Husaidia afya ya moyo na mzunguko mzuri wa damu
✅ Huimarisha ubongo na kumbukumbu
✅ Hupunguza uchovu wa viungo na misuli
✅ Huboresha afya ya ngozi, nywele na kucha ✨
✅ Huongeza kinga ya mwili 🛡️
✅ Inafaa kwa watu wa rika zote – vijana hadi wazee.

💙 Chagua Deep Sea Fish Oil leo, anza safari ya maisha yenye nguvu na afya bora zaidi.

📩 DM / Wasiliana nasi kwa order
⚡️Volts
(Afya Yako, Hazina Yetu)
0712 312 071

Address

Yombo/Buza
Dar Es Salaam

Telephone

+255712312071

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Volts posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share