Mwanga wa afya

Mwanga wa afya Kwa ushauri na matibabu ya mgonjwa mbalimbali piga simu 0672 394466

15/04/2026
23/03/2026

Je, unazijua dalili za ugonjwa wa ini? Usizipuuzie.
Dalili zake ni pamoja na

➡️Uchovu wa kupita kiasi
➡️Macho na ngozi kuwa ya njano
➡️Maumivu upande wa kulia wa tumbo
➡️Kichefuchefu na kupoteza hamu ya kula
Madhara yake yanaweza kuwa makubwa
k**a:
➡️Ini kushindwa kufanya kazi
➡️Saratani ya ini
➡️Hatari ya kupoteza maisha
Unapaswa kufanya nini?
➡️Nenda hospitali mapema kwa uchunguzi
➡️Epuka pombe kupita kiasi
➡️Kula lishe bora
➡️Fuata ushauri wa daktari
Linda afya yako mapema, usisubiri hadi hali iwe mbaya.
Kwa matibabu na ushauri piga simu 0672 394466 Tunapatikana Dar-es-salaam
wa afya

Address

Kimara Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanga wa afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share