21/02/2026
Usihisihisi kwamba unaugonjwa gani suluhisho ni kupima magonjwa mengi siku hizi yanadalili zinazotaka kufanana karibu upate kipimo cha full body checkup ni elf 30 tuh tuambiane Upo wap upate huduma karibu na mahali ulipo tupo Tanzania nzima sema ulipo tukufikie au tukuelekeze sehemu utakayo pata huduma wote mnakaribishwa