31/08/2026
🚨 MAMA, K**A MAZIWA YAKO NI MACHACHE BAADA YA KUJIFUNGUA, USIPUUZE HIZI SABABU 5! 😳🍼
Wengi hudhani ni “bahati tu” ya mama… lakini kuna mambo ambayo yanaweza kufanya uzalishaji wa maziwa usiwe wa kutosha 👇🏽
1️⃣ Mtoto kutoshika t**i vizuri – hata k**a ananyonya mara nyingi, k**a latch si nzuri, maziwa yanaweza yasitolewe vizuri.
2️⃣ T**i kutopata stimulation ya kutosha – kadri maziwa yanavyotolewa mara kwa mara, mwili hupokea ujumbe wa kuendelea kuzalisha.
3️⃣ Stress + uchovu mkubwa baada ya kujifungua – mwili unapokuwa kwenye msongo, let-down reflex inaweza kuathirika na mama akahisi maziwa hayatoshi.
4️⃣ Kuanzisha formula au chupa mara kwa mara bila kuchochea t**i – mtoto akinyonya t**i mara chache, mwili unaweza kupunguza uzalishaji.
5️⃣ Mambo ya ndani ambayo huwezi kuyaona kwa macho – baadhi ya changamoto za homoni, thyroid, upungufu mkubwa wa damu au matatizo mengine baada ya kujifungua yanaweza kuhusika.
💔 Na hapa ndipo mama wengi hukata tamaa…
Mtoto analia → mama anajilaumu → anaamini hana maziwa → anaongeza formula → mtoto ananyonya t**i kidogo → stimulation inapungua zaidi.
Mzunguko huu unaweza kuvunjika. ❤️
📌 K**a unapata changamoto ya maziwa baada ya kujifungua, usikimbilie kuamini kila kitu unachoambiwa. Kwanza tafuta sababu halisi.
💬 Andika “MAZIWA” kwenye comment au bonyeza WhatsApp kwenye bio nikueleze hatua za kwanza za kuangalia k**a maziwa yako kweli hayatoshi.
MaziwaYaMama AfyaYaMama AfyaYaMtoto