Vipimo na matibabu

Vipimo na matibabu karibu kwenye Page yangu ya Afya tunahusika na Vipimo vya mwili mzima na Matibabu

*HAKUNA ALIEUMBWA ILI KUTESEKA NA MAGONJWA SUGU YASIO YA KUAMBUKIZWA SURUHISHI LIPO WEWE TENA KUTESEKA BASI MF, SUKARI, ...
13/05/2025

*HAKUNA ALIEUMBWA ILI KUTESEKA NA MAGONJWA SUGU YASIO YA KUAMBUKIZWA SURUHISHI LIPO WEWE TENA KUTESEKA BASI MF, SUKARI, PRESHA, INI, FIGO, BANDAMA NGUVU ZA KIUME, HARMON IMBALANCE, NK*,ndio Maana Kwa Kutambua Hilo Taasisi Ya Afya Ya Gcat Health Clinic Imeweka Punguzo La Vipimo Vya Mwili Mzima (FULL BODY CHECKUP) Kwa Wewe Mwenye Changamoto Ya Afya...

Kwa Thamani Ya Tsh 30,000 Tu...

Ndio ni Tsh Elfu ThelathiniTu...

Gcat Health Clinic Ina Madaktari Bingwa Wanaotoa Suluhisho La Maradhi Sugu Yote.....

Huduma Zinazojumuishwa Ni Pamoja Na Uchunguzi Wa;

✨Afya Ya Uzazi Kwa Wanaume Na Wanawake (Ili Kutibu Changamoto Za Nguvu Za Kiume, Hormone Imbalance, Tezi Dume, Kukosa Ujauzito, P.I.D, Fangasi N.k)

✨Mfumo Wa Mishipa Ya Damu, Moyo Na Ubongo

✨Mfumo Wa Maradhi Ya Mifupa (Kutatua Changamoto Za Viungo)

✨Mfumo Wa Mmeng'enyo Na Uyeyushaji Wa Chakula (Maalumu Kutibu Bawasiri, Acid Feflux Na Vidonda Vya Tumbo)

✨Afya Ya Ngozi Na Maradhi Ya Ngozi

✨Mfumo Wa Fahamu, Macho Na Maradhi Ya Sikio

✨Mfumo Wa Upumuaji (Kusaidia Kuondoa Pumu, Mapafu N.k)

✨Afya ya Kinywa Na Meno (Kutibu Maumivu Ya Meno, Fangasi Kwenye Ulimi, Fidhi Kutoa Damu N.k)

✨sukari ya kupanda na kwa msaada wa haraka piga simu namba 0753521665 au gusa link 🔗 kwenda moja kwa mojahttps://wa.me/message/HXHKKW6EALVME1

Karibu kwenye Page yangu ya Afya inahusu Vipimo na Matibabu
25/04/2025

Karibu kwenye Page yangu ya Afya inahusu Vipimo na Matibabu

Address

Banana Majumba Sita
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vipimo na matibabu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share