Mr Afya App

Mr Afya App Mr. Afya App ni suluhisho lako bora kwa huduma za afya mtandaoni. Pakua hapa 👉 http://bit.ly/44G8vI6

02/06/2026

Madhara ya Kibomba (raya shataff)
Kwa wanawake

23/05/2026

Kwa ufupi, juice nyingi za viwandani zinaweza kuwa na changamoto kiafya ukizitumia mara kwa mara, hasa zile zenye sukari nyingi, flavor za kuongeza ladha na preservatives. Hata k**a zimeandikwa “100% juice”, baadhi hupoteza nyuzinyuzi (fiber) muhimu zilizopo kwenye matunda halisi.

Mambo ya kuzingatia:
Sukari nyingi inaweza kuongeza hatari ya unene, kisukari na matatizo ya meno.

Baadhi huwa na virutubisho vichache ukilinganisha na tunda halisi.

Zinaweza kuongeza hamu ya kula zaidi kwa sababu hazishibishi k**a matunda kamili.

Chaguo bora zaidi:
Matunda halisi.
Juice ya nyumbani isiyo na sukari nyingi.
Smoothie yenye nyuzinyuzi.

K**a unatumia juice za viwandani:
Soma label.
Chagua zenye “no added sugar”.
Tumia kwa kiasi, si k**a mbadala wa maji au matunda kila siku.
Mr Afya App

05/04/2026
😊 Anza mwaka ukiwa na tabasamu na afya njema. Mr Afya App inakusaidia kujua, kuelewa na kujali afya yako kila siku.
01/01/2026

😊 Anza mwaka ukiwa na tabasamu na afya njema. Mr Afya App inakusaidia kujua, kuelewa na kujali afya yako kila siku.

07/12/2025

🤫 Uliza bila aibu!
Maswali yako ya afya ni siri yako,
Mr Afya App inayaheshimu kwa usiri wa hali ya juu.
Pata majibu ya haraka, sahihi na ya kitaalamu moja kwa moja kwenye simu yako.

📲 Pakua Mr Afya App sasa.

🍺Ukweli uliofichwa kuhusu Nguvu za kiume na Chupa ya bia....Download Mr Afya app👉 https://bit.ly/44G8vI6
11/10/2025

🍺Ukweli uliofichwa kuhusu Nguvu za kiume na Chupa ya bia....

Download Mr Afya app

👉 https://bit.ly/44G8vI6

🤔 Kuna huu mchanganyiko maarufu wa Panadol na Energy watu huamini unaongeza nguvu za kiume, lakini ukweli wake ni zaidi ...
01/10/2025

🤔 Kuna huu mchanganyiko maarufu wa Panadol na Energy watu huamini unaongeza nguvu za kiume, lakini ukweli wake ni zaidi ya nguvu za kiume una mambo makubwa ya kiafya...

📲 Pakua Mr Afya App kwenye Play Store ujue siri nzima,
Bonyeza hii link https://bit.ly/44G8vI6

💔 Umeshapitia heartbreak?Don’t worry… ni sehemu ya safari ya maisha!Lakini kumbuka 👉 afya yako ya mwili na akili ndiyo t...
11/09/2025

💔 Umeshapitia heartbreak?

Don’t worry… ni sehemu ya safari ya maisha!
Lakini kumbuka 👉 afya yako ya mwili na akili ndiyo ticket ya kusimama tena 🙌

🌿 Mr Afya App inakupa tips 🔑, ushauri wa madaktari 🩺 na elimu ya afya 💡 ili ujijenge upya bila stress.

📲 Pakua sasa… ni BURE✨

Bonyeza hapa 👉 https://bit.ly/44G8vI6

👩‍👩‍👧 Unatafuta kupata ujauzito haraka?Usibaki na maswali bila majibu…??? 📲 Pakua Mr Afya App upate ushauri wa kitaalamu...
07/09/2025

👩‍👩‍👧 Unatafuta kupata ujauzito haraka?

Usibaki na maswali bila majibu…???

📲 Pakua Mr Afya App upate ushauri wa kitaalamu kutoka kwa madaktari 🩺 na elimu ya afya ya uzazi itakayokusaidia kufanikisha ndoto yako ya kuwa mama.

👉 Kila safari ya maisha huanza na hatua moja, Ndoto yako ya kuitwa Mama ianze sasa na
Mr Afya App

Bonyeza hapa 👉 https://bit.ly/44G8vI6

Address

Tabata Aroma
Dar Es Salaam
12103

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr Afya App posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share