UAS healthtz afya ya tumbo na koo

UAS healthtz afya ya tumbo na koo https://wa.me/255753131732

Elimu | suluhisho za changamoto za Koo na tumbo (tafadhali wasiliana nasi Kwa msaada wa haraka +255753131732)

30/07/2026

Usipuuzie usumbufu huu
Tupigie +255753131732

29/07/2026

27/07/2026

*KWANINI NIKUSHAURI UTUMIE TANGO TIKITI MAJI NA VYAKULA VYENYE FIBERS K**A UNA ACID REFLUX*

Tikiti maji na tango hupendekezwa kwa baadhi ya watu wenye acid reflux kwa sababu vinaweza kusaidia kupunguza usumbufu, ingawa si tiba ya ugonjwa

_Faida zake ni_

πŸ‘‰ *Vina maji mengi – Husaidia mwili kuwa na maji ya kutosha* na vinaweza kupunguza hisia za kuwaka moto kifua na koo Kwa baadhi ya watu

πŸ‘‰ *Havina tindikali nyingi* – Tikiti maji na tango kwa kawaida ni vyakula visivyo na asidi nyingi, kwahy vina uwezekano mdogo wa kuchochea reflux kuliko vyakula vya pilipili, nyanya au matunda yenye asidi nyingi.

πŸ‘‰ *Husaidia mmeng'enyo wa chakula*
Tango lina nyuzinyuzi na maji yanayoweza kusaidia chakula kupita vizuri kwenye mfumo wa mmeng'enyo.

πŸ‘‰ *Hupunguza ukavu wa koo* – Kwa watu wenye reflux inayofika kooni maji mengi yaliyomo kwenye tikiti maji na tango yanaweza kusaidia kupunguza ukavu na muwasho wa koo.

_Uas health_
+255753131732

Je unasumbuliwa na koo kuwa kavu ama Koo kuwasha.Juice ya tangawizi inawezakuwa Bora
24/07/2026

Je unasumbuliwa na koo kuwa kavu ama Koo kuwasha.
Juice ya tangawizi inawezakuwa Bora

Address

Dar Es Salaam
ZIP

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UAS healthtz afya ya tumbo na koo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category