DR kiluwa

DR kiluwa DR MTAARAM WA TIBA ASILI NA VISOMO
๐Ÿ“ž+2550658632189

19/09/2026

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

17/09/2026

13/09/2026

Mtume ๏ทบ amesema:

ุฃูŽู†ูŽุง ูˆูŽูƒูŽุงููู„ู ุงู„ู’ูŠูŽุชููŠู…ู ูููŠ ุงู„ู’ุฌูŽู†ู‘ูŽุฉู ู‡ูŽูƒูŽุฐูŽุง

โ€œMimi na mwenye k*mlea (k*mhudumia) yatima tutakuwa Peponi hivi.โ€

Kisha akaashiria kwa kidole cha shahada na cha kati kuwa vimekaribiana.

(Imepokewa na al-Bukhari, Na. 5304)

2. Ni sababu ya kupata rehema za Allah.

Kuwahurumia mayatima ni sehemu ya huruma ambayo Allah Anapenda. Mtume ๏ทบ amesema:

ุงู„ุฑู‘ูŽุงุญูู…ููˆู†ูŽ ูŠูŽุฑู’ุญูŽู…ูู‡ูู…ู ุงู„ุฑู‘ูŽุญู’ู…ูŽู†ู

โ€œWenye kuwarehemu wengine, Ar-Rahman (Allah) Atawarehemu.โ€

Nb:leo nilipata nafasi pamoja nandugu zangu kidogo tulicho jaliwa basi tulienda kuwafariji ndugu zetu ambao m/mungu amewapokonya neema ya wazazi ndugu zangu tusijisahau mayatima wanatuitaji ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™๐Ÿฟ

11/09/2026

Ahsanten dodoma Mungu awabariki sana

09/09/2026

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ

08/09/2026
04/09/2026

Asalama aley k*m dua ni ufunguzi ukipatia ufunguzi basi umeipatia dua sass umewai kusikia kuhusu barhatiya hii nimiongoni mwadua kubwa sana zakutumikisha viumbe makhudam yani majini dua ni ufunguzi nadua ni siri ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Address

Chamanzi
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DR kiluwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category