Madam Khadija Afya

Madam Khadija Afya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Madam Khadija Afya, Home Health Care Service, Dar es Salaam.

24/02/2026

Hapa chini ni umuhimu wa bamia kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo, hasa wale wanaosumbuliwa na H. pylori, kiungulia, au gastritis:
🌿 1. Inatuliza na kulinda ukuta wa tumbo
Bamia ina ute mzito (mucilage) unaosaidia:
Kupaka na kulinda ukuta wa tumbo
Kupunguza muwasho unaosababishwa na asidi nyingi
Kupunguza maumivu ya tumbo na hisia ya kuchoma
🛡️ 2. Husaidia kupunguza asidi tumboni
Bamia ina madini na nyuzinyuzi zinazosaidia kupunguza kiwango cha acid na kuleta usawa, hivyo kupunguza:
Kiungulia
Maumivu ya juu ya tumbo
🌱 3. Ina antioxidants zinazopambana na H. pylori
Bamia ina antioxidants k**a flavonoids na polyphenols ambazo:
Hupunguza uvimbe kwenye ukuta wa tumbo
Huzuia kuongezeka kwa bakteria wabaya wanaosababisha vidonda
🌾 4. Nyuzinyuzi zake husaidia mmeng’enyo
Bamia ni nzuri kwa:
Kupunguza kubanwa tumbo
Kurahisisha choo bila kuongeza maumivu
Kuimarisha afya ya utumbo kwa ujumla
🔬 5. Husaidia kupona haraka kwa tishu
Virutubisho k**a:
Vitamini C
Vitamini K
Folate
Husaidia ukuta wa tumbo kupona haraka na kupunguza makovu ya vidonda.
🥣 Jinsi mgonjwa wa vidonda tumbo anavyoweza kula bamia
Chemsha kwa maji ya uvuguvugu (usitumie kwa mafuta mengi)
Tumia supu ya bamia
Unaweza kuila ikiwa imechemshwa ndani ya uji au wali
Kunywa maji yenye ute wa bamia (loweka vipande 3–4 usiku, kunywa asubuhi

18/02/2026

Endapo unapitia changamoto ya acid reflux,vidonda tumbo pamoja na bawasili usidharau nitafute nikusaidie
K**a unapitia dalili hizi nitafute nikusaidie
👉kukwama kwa kitu kooni k**a kohozi
👉tumbo kujaa gesi
👉kupata maumivu ya tumbo
👉kupata maumivu ya kifua upande wa kushoto
👉kupata choo kigumu au kukosa choo kabisa
👉kukosa usingizi
👉kupata hofu ya kufa
👉maumivu ya mgongo
👉maumivu ya kichwa
👉kuhisi kichefuchefu
👉mapigo ya moyo kwenda mbio
👉kikohozi kisichoisha
👉kuhisi kelele masikioni
👉mwili kuwasha
👉kuhisi homa
N.B Bawasili inatibika pasipo kufanya operation

16/02/2026

Endapo unapitia changamoto ya acid reflux,vidonda tumbo pamoja na bawasili usidharau nitafute nikusaidie
K**a unapitia dalili hizi nitafute nikusaidie
👉kukwama kwa kitu kooni k**a kohozi
👉tumbo kujaa gesi
👉kupata maumivu ya tumbo
👉kupata maumivu ya kifua upande wa kushoto
👉kupata choo kigumu au kukosa choo kabisa
👉kukosa usingizi
👉kupata hofu ya kufa
👉maumivu ya mgongo
👉maumivu ya kichwa
👉kuhisi kichefuchefu
👉mapigo ya moyo kwenda mbio
👉kikohozi kisichoisha
👉kuhisi kelele masikioni
👉mwili kuwasha
👉kuhisi homa
N.B Bawasili inatibika pasipo kufanya operation

16/02/2026

Bawasili ni hali ya maumivu au uvimbe katika mishipa ya damu ya sehemu ya chini ya tumbo, hasa kwenye mshipa wa sehemu ya haja kubwa (a**s) na sehemu ya re**um. Madhara ya bawasili yanaweza kuwa:
Maumivu ya Tumbo na Haja kubwa: Hali hii husababisha maumivu wakati wa kujisaidia au baada ya kumaliza.
Kutokwa na Damu: Katika baadhi ya hali, bawasili inaweza kuhusisha kutokwa na damu nyekundu kutoka kwenye sehemu ya haja kubwa.
Uvimbe na Kutokewa na Kichefuchefu: Watu wengine wanaweza kupata uvimbe kwenye sehemu ya haja kubwa au kuona kichefuchefu baada ya kujisaidia.
Haja kubwa ngumu au kufungwa: Watu wenye bawasili wanaweza kuwa na shida wakati wa kujisaidia k**a matokeo ya uchochezi wa mshipa wa damu.
Infection: Bawasili pia inaweza kusababisha maambukizi ikiwa inaendelea kuvimba au kupasuka.
Kichwa Kuuma au Uchovu: Wakati mwingine, bawasili inaweza kusababisha uchovu au maumivu ya kichwa kwa baadhi ya watu.
Bawasili ni tatizo la kawaida, lakini ikiwa inakuwa sugu au inasababisha madhara makubwa, ni vyema kupata ushauri kutoka kwa daktari ili kuepuka matatizo zaidi.

09/02/2026

Matunda husaidia sana afya ya mwanao na kumjenga kiakili
Huondoa sumu mwilini
Humjenga kuwa imara mda wote
Huwa na kumbukumbu kila wakati

09/02/2026

Vyakula hivi husaidia kuondoa maumivu ya viungo km mgongo,nyonga ,mapega miguu,shingo n.k

09/02/2026

Hii ni tiba nzuri ya maumivu ya aidha mgongo,kiuno au nyonga, ili uweze kutengeneza dawa ya maradhi hayo unahitaji upate vitu 4 ambavyo ni, 1. , 2. , 3. sauda, 4. mbichi, ...

27/01/2026

Miongoni mwa dalili za acid reflux(gerd)
1.maumivu ya tumbo
2.maumivu ya kifua
3.kichefuchefu
4.kuhisi homa
5.kichwa kuuma mara kwa mara
5.kuhisi homa
6.kelele masikioni
7.kupata choo kigumu au kutopata kabisa
8.Kupata kiungulia
9.kuhisi kitu kimekwama kooni
10.Maumivu ya mgongo
11.kukosa usingizi
12.macho kutoona vizuri
13.kikohozi kisichoisha
14.kupumua kwa tabu
15.kupata kizunguzungu pamoja na
16.mwli kukuwasha mara kwa mara

26/01/2026

Lakini pia kinamanufaa mengi sana
a,Hupunguza mafuta mwilini
b,Hupunguza uzito kwa haraka
c,Hupunguza kitambi pamoja na manyama zembe
d,Hupunguza kitambi kwa haraka

26/01/2026

Fahamu uzito mkubwa unaweza kusababisha changamoto nyingi sana baadhi ni k**a,
1,Kupata maradhi ya presha mara kwa mara
2,Maradhi ya viungo k**a viungo kusagana na kulika
3,Mafuta kuzidi mwilini
4,Upumuaji mbaya nyakati za usiku
5,Mwili kuchoka kwa haraka #

26/01/2026

Mboga mboga ni vyakula vinavyosaidia kupunguza uzito kwa haraka
Hupunguza mafuta kwenye yaliyozidi kwenye mwili #

21/01/2026

Endapo unapitia changamoto zifuatazo usidharau kwasababu tatizo dogo hukuza tatizo lingine kubwa endapo utadharau.
Nimesaidia wengi kutatua changamoto zao kwa wakati sahihi
K**a unasumbuliwa na:-
1.P.i.d sugu
2.U.t.i sugu
3.Miwasho ukeni
4.Kutoka uchafu wenye harufu
5.Uchafu wenye rangi ya maziwa
6.Kupata( miscarriage )mimba kuharibika
7.Vimbe kwenye kizazi
8.Homoni imbalance
9.Kupata hedhi nyeusi au yenye mabonge
10.Kupata maumivu wakati wa tendo au baada ya tendo
11.Kupata vimbe maji
12.Kupata hedhi za marudio n.k

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Madam Khadija Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share