G-A Nutritions

G-A Nutritions Tunapatikana Dar Mbezi Magufuli. Piga 0746469969 kwa mawasiliano zaidi.

Tunauza Lishe za virutubisho aina tofauti pamoja na matunda na mbogambonga vilivyokaushwa kwa ustadi wa hali ya juu bila kupoteza virutubisho vyake kwa bei ya jumla na rejareja.

23/07/2026

Huna haja tena ya kuangaika na vitu vinavyoweza kuboost mwili wako bila madhara na ikawa ni rahisi kuitumia mahali popote hata ukiwa safarini.

Chamsingi uwe na maji ya moto na kikombe chako kidogo cha chai..

Hii ni zaid ya energy booster, sababu unapata zaidi ya kile unachokusudia, nacho ni kuboresha zaid Afya yako na kukuepusha na madhara ya presha, Kinga kushuka,mfumo wa upumuaji na chakula mbovu, misuli dhaufu,n.k

Tunapatikana Dar Mbez Magufuli karibu na Tunu Social Hall
Tupigie 0746469969

23/07/2026
18/07/2026

Ugonjwa wa kisukari kwangu Mimi sio ugonjwa TU ninaoujua kupitia wagonjwa wangu bali ninahistoria nao kubwa sana ambayo imenifanya mpaka kesho niwe katika mapambano nayo.

So unapokuja kuchukua lishe hii, si kwamba unachukua kwa AJILI ya wewe kuitumia, bali unaungana na Mimi kuweza kurejesha mashambuliz katika vita hii kubwa yakupambana dhidi ya ugonjwa huu.

Vita hii haiya isha Leo Wala kesho mpaka pale tutakapofanikiwa kuudhibit ugonjwa huu..

Jumuika nami Leo kwa kuchukua lishe hii Leo
1kg Tsh60000 na 500g ni Tsh32000

Tunapatikana Dar Mbez Magufuli karibu na Tunu Social Hall
Phone no. 0746469969
❤️

16/07/2026

Huna haja ya kuendelea kuteseka wakati GA KITARASA AMARANTH FLOUR IPO KWA AJILI YAKO

Jipatie sasa 1kg kwa 60000 na 500g kwa 32000tu

Tunapatikana Dar Mbez Magufuli karibu na Tunu Social Hall
Tupigie sasa 0746469969
❤️

16/07/2026

The best lishe , inasaidia sana watu wenye changamoto ya kisukari.

Lakini pia husaidia watu
✅wanaofanya mazoezi wenye uhitaji wa protein nying
✅Wajawazito na wanaonyonyesha
✅Wenye presha
✅Wanaoishiwa nguvu na damu Kila mala

$ Bei yake kwa 1kg ni Tsh 60000&500g ni Tsh 32000
Tunapatikana Dar Mbez Magufuli karibu na Tunu Social Hall
Piga sasa 0746469969
❤️

16/07/2026

Huna haja ya kuteseka na madhara ya kisukari wakati unaweza pata msaada mkubwa kupitia lishe hii yenye mjumuisho wa vitu vinne vyenye nguvu zaidi.

Usijiulize maswali mengi sana fanya maamuzi mapema ili uanze kufurahia matokeo mapema.

1kg utapata kwa Tsh 60000
500g utapata kwa Tsh 32000

Ghalama ya delivery utachangia kulingana na ulipo

Tunapatikana Dar Mbez Magufuli karibu na Tunu Social Hall
Tupigie sasa 0746469969

10/07/2026

Tunahakikisha hatupeleki kwa mteja wetu kitu amabacho kipo chini ya kiwango, na ndio maana tunajaribu bidhaa kwanza kabla hata hatujaifanyia packaging..

GA JUNIOR AMARANTH COMPOSITE FLOUR

VIAMBATA
✅Maindi lishe
✅Amaranth
✅Almond
✅Mbegu za Maboga

Age: miezi 6 nakuendelea

Price...1kg Tsh 12000& 500g Tsh 8000
Tunapatikana Dar Mbez Magufuli karibu na Tunu Social Hall
Tupigie sasa 0746469969
❤️

02/07/2026

Tunamshukuru Mungu Kila siku kwa kutukutanisha na wewe mteja wetu na kutupa jukumu la kuhakikisha Afya yako haiteteleki hata kidogo kwa kupitia Viini Lishe kutoka katika Unga Lishe zetu tofauti.

Asanteni kwa kutuamin na kutuchagua Tena na Tena🙏🙏🙏
❤️

02/07/2026

Hatuwezi peleka sokoni kitu ambacho hata Mimi na familia yangu hatuwezi kutumia.

Moja kati ya Lishe tamu sana ni hii KITARASA COMPOSITE FLOUR.
Viambata vilivyotumika ni;
Ndizi kitarasa,mbegu za maboga na almond

Lishe hii inatumika na watu kuanzia miaka 18+

📍 Tunapatikana Dar Mbezi Magufuli karibu na Ukumbi wa Tunu Social hall
☎️0746469969
❤️

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when G-A Nutritions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share