Dr Wasuha

Dr Wasuha Ukurasa huu ni kwa ajili ya kupata suruhisho la changamoto za kiafya

21/08/2025

UNAWEZA KUPONA KABISA CHANGAMOTO ZA MIFUPA NA MAUNGIO K**A MAUMIVU YA MGONGO, KIUNO, NYONGA NA MAGOTI BILA KUFANYIWA UPASUAJI KABISA.

Changamoto hizi zifuatazo sio lazima ufanyiwe upasuaji zinaweza kupona kabisa k**a ukifuata utaratibu sahihi wa matibabu

SHIDA KWENYE PINGILI ZA MGONGO ZINAZOLETA MAUMIVU

1.Pingili kusagika
2.Pingili kupishana
3.Pingili kutuna na kubanana
4.Pingili kuishiwa ute

MAUMIVU MAKALI YA NYONGA

1.Nyonga kuishiwa ute
2.Nyonga kusagika
3.Nyonga kukandamiza mishipa wa fahamu.

MAUMIVU KWENYE MAGOTI

1. Magoti kuishiwa uteute, kusagika na kuvimba.

Matatizo haya yanapaswa kutatuliwa kwa kufuata utaratibu sahihi wa matibabu kwa kufanya vipimo vya viungo, mifupa na maungio kwa sababu zipo sababu tofauti za kupatwa na maumivu ya viungo.

Vipimo hivi vinapatikana kwenye zaidi ya mikoa 20 kwenye vituo vya afya vya Gcat Health Clinic kwa thamani ya tsh 30,000 tu

Upo muunganiko mzuri wa tiba za kutatua
Matatizo ya pingili za mgongo nyonga na magoti unaokupa suluhisho la kudumu.

Wasiliana na mimi hapa kwa msaada zaidi wa kufanya vipimo vya afya ya viungo, maungio na mifupa pamoja na matibabu sahihi. 👇

0784273511
Dr Wasuha

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Wasuha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category