02/09/2026
Usipuuzie dalili za mwili wako!
Uchafu ukeni unaweza kuwa wa kawaida, lakini mabadiliko ya rangi, harufu, wingi au muonekano yanaweza kuashiria changamoto inayohitaji ushauri wa kitaalamu.
Fertility Support 1 tupo kwa ajili ya kukusikiliza, kukushauri na kukusaidia kuelewa hatua sahihi za kuchukua. Usione aibu—afya yako ya uzazi ni muhimu.
📞 Wasiliana nasi: 0656 818 117