Devotha na Afya

Devotha na Afya SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZA MFUMO MZIMA WA MMENG'ENYO WA CHAKULA|0761642491

13/06/2026

1.kula mboga za majani ,matunda na maji ya kutosha ili usipate changamoto ya choo kigumu ambayo itakufanya upate bawasiri
k**a umetibu bawasiri mara kadhaa na hujapona chukua namba zangu kwenye profile tuwasiliane

12/06/2026

k**a wewe ni dereva,,au unafanya kazi inayokupelekea kukaa muda mrefu hakikisha unafanya mazoezi mepesi asubuhi na jioni k**a vile kutembea,kukimbia n.k
hakikisha unakunywa maji ya kutosha ,vyakula vyenye nyuzinyuzi na matunda
🫸 epuka kula vyakula vikavu na chips mara kwa mara
k**a unasumbuliwa na bawasiri chukua namba zangu kwenye profile tuwasiliane

08/06/2026

Je, unakaa muda mrefu kazini au unaendesha gari kwa masaa mengi? Unaweza kuwa kwenye hatari ya kupata bawasiri.
✅ Simama na kutembea angalau dakika 5–10 kila baada ya saa 1–2.
✅ Kunywa maji ya kutosha kila siku.
✅ Kula matunda, mboga na vyakula vyenye nyuzinyuzi nyingi.
✅ Epuka kujikamua sana unapokwenda chooni.
✅ Fanya mazoezi mara kwa mara.

08/06/2026

K**a wewe ni dereva au unafanya shughuli za kukaa muda mrefu, unaweza kupata bawasiri. Ni muhimu kusimama, kutembea kidogo, kunywa maji ya kutosha na kula vyakula vyenye nyuzinyuzi ili kupunguza hatari hiyo.
K**a unapata changamoto ya miwasho sehemu ya hajakubwa na bawasiri chukua namba zangu kwenye profile tuwasiliane

05/06/2026

unapokuwa una jifungua watoto kuanzia wa pili na kuendelea kiwango cha calcium na madini cha mama unagawana na wanao wote ,hivyo hii ndiyo sababu kubwa inayokupelekea kuwa na mupungufu wa madini mbalimbali na inakupelekea kupata maumivu ya nyonga,kiuno na viungo kwa ujumla .. hivyo nashauri uwe unatumia folic acid pamoja na supplements bora kwako wewe na wanao..ambazo zitakurejeshea afya ya mwili wako dhidi ya upunguvu wa vitamins na madini,,chukua namba zangu kwenye profile tuwasiliane

02/06/2026

Inbox WhatsApp nikupatie program maalum yenye lishe sahihi ,matunda pamoja na supplements bora kwako na afya ya mtoto wako ajae

01/06/2026

Baadhi ya tabia za kila siku zinaweza kuongeza hatari ya kupata bawasiri (hemorrhoids) bila watu wengi kutambua:
Kukaa chooni muda mrefu ukiwa unatumia simu au kusoma.
Kujikamua sana wakati wa haja kubwa kutokana na choo kigumu.
Kutokunywa maji ya kutosha, hali inayoweza kusababisha choo kigumu.
Kula vyakula vyenye nyuzinyuzi chache (fiber), k**a vile vyakula vya kusindikwa sana.
Kukaa kwa muda mrefu bila kufanya mazoezi au kusimama mara kwa mara.
Kuchelewesha kwenda haja kubwa unapohisi haja.
Kuinua vitu vizito mara kwa mara bila mbinu sahihi.
Uzito kupita kiasi (unene) ambao huongeza shinikizo kwenye mishipa ya eneo la haja kubwa.
Kuharisha mara kwa mara au kupata choo kigumu mara kwa mara.
Kutofanya mazoezi ya mwili, jambo linaloweza kupunguza mwendo mzuri wa utumbo
tanzania

01/06/2026

Fanya mazoezi mepesi tu,,epuka kukaa kwa muda mrefu
Kunywa maji ya kutosha ,kula vyakula vyenye nyuzinyuzi

31/05/2026

Kutokunywa maji ya kutosha
Kutokufanya mazoezi pamoja na ulaji wa vyakula vikavu unaweza kupelekea kupata bawasiri pia..
Iliwa unapata choo kigumu au una bawasiri chukua namba zangu kwenye profile tuwasiliane

08/03/2026

Happy Women’s Day 🌸✨
Leo tunasherehekea nguvu, ujasiri na thamani ya mwanamke.
Mwanamke ni chanzo cha upendo, matumaini na mabadiliko duniani.
Usisahau kuwa wewe ni wa thamani, una nguvu kubwa ndani yako, na unaweza kufikia ndoto zako zote.
Endelea kung’aa, kuamini na kusimama imara.
Happy International Women’s Day to all amazing women! 💜🌷”

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Devotha na Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share