Rolumahealthcare

Rolumahealthcare NASAIDIA WATU WANAO TESEKA NA CHANGAMOTO ZA MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE & MWANAUME
PIGA +255749083204

DALILI 6 ZA AFYA YA UZAZI KWA MWANAUME HUPASIWI KUZIPUUZA! ​Wanaume wengi huamini kwamba kupoteza au kupungua kwa uwezo ...
29/07/2026

DALILI 6 ZA AFYA YA UZAZI KWA MWANAUME HUPASIWI KUZIPUUZA!

​Wanaume wengi huamini kwamba kupoteza au kupungua kwa uwezo wa Faragha ni jambo la kawaida na huchagua kulipuuza. Lakini ukweli ni kwamba, mwili wako huwa unakupa ishara za mapema kwamba kuna kitu hakipo sawa.

​Angalia Dalili Hizi Muhimu: ​
Kutokusimamisha Asubuhi: Kutopata uume kusimama asubuhi k**a ilivyokuwa kawaida yako ni ishara ya kwanza. ​

Kushindwa Kusimamisha au Kudumisha: Kupata shida kusimama au kuregea haraka katikati ya tendo. ​

Kukosa Hamu ya Tendo: Kupungua ghafla kwa hamu ya kimapenzi kutokana na homoni au msongo wa mawazo. ​

Uchovu na Kukosa Nguvu: Kuchoka mara kwa mara, kukosa stamina na nguvu za mwili. ​

Mtindo Mbaya wa Maisha: Ulaji wa vyakula vya mafuta mengi, unywaji wa pombe, uvutaji wa sigara, na ukosefu wa mazoezi. ​

Afya ya Akili na Hisia: Wasiwasi wa kushindwa kufanya vizuri, msongo wa mawazo, na ukosefu wa kujiamini.

Habari njema ni Afya ya uzazi na nguvu za kiume inatibika na inaimarika! Mabadiliko kidogo ya mtindo wa maisha pamoja na kupata ushauri au matibabu sahihi vinaweza kukurudishia heshima na furaha yako.

​MWANAUME MWENZANGU, USIKATE TAMAA WALA USIONE NA AIBU...

​Najua jinsi inavyouma kumpoteza mwanamke unayempenda machoni, au kuhisi unapoteza uanaume na kujiamini kwako kitandani. Msongo wa mawazo unaoupata unapofikiria kuhusu tendo si kosa lako, na huna haja ya kuteseka kimya kimya.

​Kutafuta msaada sio udhaifu ni hatua ya kishujaa ya kulinda ndoa, uhusiano, na afya yako. Kurejesha furaha ya mume na mke inawezekana kabisa leo!

​Chukua hatua sasa! Usisubiri mambo yawe mabaya zaidi.

Piga simu au tuma ujumbe WhatsApp kwa 0749083204. upate ushauri na suluhisho la uhakika leo. Ujasiri wako na furaha ya familia yako viko mikononi mwako!





Niandikie namba yako kwenye comment Kwa Masaada wa matibabu ya wahanga wa uzazi Leo
27/07/2026

Niandikie namba yako kwenye comment Kwa Masaada wa matibabu ya wahanga wa uzazi Leo

Una changamoto za uzazi?Umesha hangaika sana kupat matibabu lakin bado hujapata matokeo acha kuteseka Tena ROLUMA HEALTH...
27/07/2026

Una changamoto za uzazi?
Umesha hangaika sana kupat matibabu lakin bado hujapata matokeo acha kuteseka Tena ROLUMA HEALTH CARE tupo kwa ajili yako wewe mama wewe dada unaesumbuka kutafuta mtoto
WASILIANA NASI LEO
TUPIGIE LEO
0790 939 797






Ni changamoto gani ya kiafya inakusumbua sana adi imekuchosha?
16/07/2026

Ni changamoto gani ya kiafya inakusumbua sana adi imekuchosha?

CHANGAMOTO YA UGONJWA WA FIGO. FIGO ni organi inayoshirikiana na MOYO. KUATHIRIKA kwake kuna ATHARI KUBWA kwa mfumo wa d...
15/07/2026

CHANGAMOTO YA UGONJWA WA FIGO.

FIGO ni organi inayoshirikiana na MOYO. KUATHIRIKA kwake kuna ATHARI KUBWA kwa mfumo wa damu na mapozi ya moyo
Magonjwa sugu ya figohutokea pale ogani hiyo inapopoteza uwezo wa kutenda kazi zake kikamilifu.

Tatizo huanza taratibu na kudumu kwa Muda mrefu hadi kuonyesha dalili za wahi

Huu ni kati ya magonjwa yasiyoambukiza kwaniunatokana na mtindo wa kimaisha .

FIGO huwa na KAZI ya kuchuja TAKAMWILI zilizo NDANI MWILINI na kuzitoa NJE kwa NJIA ya MKOJO na KUPUNGUZA kiasi cha MAJI kilichozidi MWILINI.

FIGO hutoa HOMONI inayochochea OGANI zingine MWILINI ikiwamo KUHAMASISHA utengenezwaji wa CHEMBE NYEKUNDU za DAMU,utendaji wa MADINI ya KALSIAMU na HOMONI zinazoongeza MWENDO KASI wa MISULI ya MOYO.

Vilevile ,FIGO hufanya KAZI ya KUFYONZA na KUVIRUDISHA vitu MUHIMU ambavyo vingehitajika kutoka kwa NJIA ya MKOJO.

Hudhibiti MADINI k**a POTASIUMU,MAGNESIUMU,na TINDIKALI ili kuweka sawa MAZINGIRA sawia katika DAMU.

FIGO inapopoteza UWEZO wake wa kutenda KAZI husababisha KUKOSEKANA kwa UFANISI wa SHUGHULI za MWILI.
HALI hii husababisha KUWAPO kwa KUSANYIKO na LIMBIKIZO la MAJI,UCHAFU na SUMU hutokea MWILINI mwa MGONJWA.

Pia husababisha KUTOKEA kwa MARADHI mengine k**a vile, UPUNGUFU wa DAMU MWILINI, SHINIKIZO la DAMU na ONGEZEKO la TINDIKALI kwenye DAMU.
Vilevile husababisha ONGEZEKO la LEHEMU na MAFUTA kwenye DAMU na MAGONJWA ya MIFUPA.

MAMBO kadhaa YANAHUSISHWA na TATIZO la UGONJWA SUGU wa FIGO ikiwamo UGONJWA wa KISUKARI, SHINIKIZO LA DAMU,UNENE ULIOPITILIZA na UZEE.

Vilevile MABADILIKO katika TABIA na namna WATU wanavyohishi.
Ili KUJIEPUSHA na HATARI ya kupata UGONJWA wa FIGO fanya yafuatayo.

1.USICHELEWE kwenda HAJA.
Kutunza MKOJO kweye KIBOFU chako kwa muda MREFU ni WAZO BAYA.KIBOFU kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu.
MKOJO ambao unakaa kwenye KIBOFU huzidisha BAKTERIA haraka.
Pia MKOJO unaporudi NYUMA ya NJIA husababisha MAAMBUKIZI katika FIGO pia NJIA ya mkojo "nephritis", pamoja na "uremia".
Wakati WITO ASILI (unahisi mkojo) fanya haraka iwezekanavyo nenda KAKOJOE .

2.Kula CHUMVI kupita kiasi nalo ni TATIZO.
Inatupasa kula Chumvi isiyozidi 5.8 gramu kwa SIKU .

3.Kula NYAMA kupita kiasi.
PROTINI ikizidi sana katika MLO wako inadhuru FIGO zako. MMENG'ENYO wa PROTINI unazalisha AMONIA- SUMU DUTU ambayo ina UHARIBIFU mkubwa kwa FIGO zako. NYAMA nyingi inaleta UHARIBIFU zaidi wa FIGO.

4.UNYWAJI mwingi wa "CAFFEINES".
CAFFEINE hutokana na VINYWAJI vya SODA na VINYWAJI vingine LAINI k**a KAHAWA, RED BULL n.k. Hupandisha SHINIKIZO la DAMU na FIGO zako kuanza kupata MATESO .
Unapaswa KUPUNGUZA kiwango cha COKE, PEPSI, RED BULL, nk. ambavyo HUNYWA kila SIKU.

5.PIA Kutokunywa MAJI.
FIGO zetu LAZIMA zichakatwe VIZURI kutekeleza MAJUKUMU yake VIZURI .Endapo HATUNYWI MAJI ya KUTOSHA , SUMU DUTU inaweza kuanza KUKUSANYIKA katika DAMU ,k**a hakuna KIMIMINIKA cha KUTOSHA kutoa kwa NJIA ya FIGO . KUNYWA zaidi ya BILAURI 10 za MAJI kila SIKU.

Kuna NJIA RAHISI ya KUANGALIA k**a unakunywa MAJI ya KUTOSHA nayo ni kuangalia RANGI ya MKOJO wako,WEPESI wa RANGI ndiyo VIZURI.
KWA TIBA NA USHAURI WASILIANA NASI LEO
NO. 0790939797.

Asante kwa kutumia Tiba zetu na kutuamini mrejesho ni mzuri isikate Tamaa na ww Unae tafuta Baraka 👋 hizi leo Karibu upa...
13/07/2026

Asante kwa kutumia Tiba zetu na kutuamini mrejesho ni mzuri isikate Tamaa na ww Unae tafuta Baraka 👋 hizi leo
Karibu upate ushauri wa kitaalam leo
Pig 0790 939 797

🌸 USIKATE TAMAA... MUUJIZA WAKO UNAWEZA KUWA LEO. 🌸Safari ya kutafuta mtoto inaweza kuwa ngumu, yenye machozi na maswali...
01/07/2026

🌸 USIKATE TAMAA... MUUJIZA WAKO UNAWEZA KUWA LEO. 🌸
Safari ya kutafuta mtoto inaweza kuwa ngumu, yenye machozi na maswali mengi.
Lakini kumbuka, changamoto ya kupata ujauzito haimaanishi kuwa ndoto yako imefika mwisho.
Watu wengi waliowahi kuhangaika kwa muda mrefu, baada ya kupata uchunguzi sahihi na matibabu stahiki, waliweza kubeba ujauzito na kuwashika watoto wao mikononi.
Usikubali kukata tamaa. Chukua hatua ya kupata ushauri na uchunguzi mapema.
💖 Leo inaweza kuwa siku ya kuanza safari yako kuelekea furaha ya kuwa mzazi.
Kumbuka: Kila safari ni ya kipekee, lakini matumaini ni mwanzo wa ushindi.
KARIBU UPATE USHAURI LEO
WHATSAPP AU PIGA
0790 939 797

FAHAMU KUHUSU HORMONES IMBALANCE KWA WANAWAKEHormonal Imbalance (Kutobalance kwa Homoni) ni nini?Hormonal imbalance ni h...
30/06/2026

FAHAMU KUHUSU HORMONES IMBALANCE KWA WANAWAKE
Hormonal Imbalance (Kutobalance kwa Homoni)
ni nini?
Hormonal imbalance ni hali ambapo mwili una homoni nyingi au chache kuliko kiwango kinachohitajika.
Homoni ni kemikali zinazozalishwa na tezi mbalimbali mwilini na kusaidia kudhibiti ukuaji, uzazi, hedhi, hamu ya tendo la ndoa, usingizi, uzito na kazi nyingine muhimu za mwili.
Sababu za Hormonal Imbalance
👉 Msongo wa mawazo (stress)
👉 Lishe duni
👉 Uzito kupita kiasi au kupungua sana uzito
👉 Magonjwa ya tezi ya shingo (thyroid)
👉 Ugonjwa wa kisukari
👉 Matatizo ya ovari kwa wanawake k**a Polycystic O***y Syndrome
👉 Ujauzito au kukoma hedhi
👉 Matumizi ya baadhi ya dawa
Kuongezeka kwa umri
Dalili za Hormonal Imbalance
Kwa wanawake:
👉 Hedhi kutokuwa ya kawaida
👉 Kushindwa kushika ujauzito
👉 Chunusi nyingi
👉 Kuongezeka uzito
👉 Nywele kuota usoni au mwilini kupita kiasi
👉 Kupungua hamu ya tendo la ndoa
👉 Upungufu wa nguvu za kiume
👉 Uchovu wa mara kwa mara
Kupungua misuli
👉 Kuongezeka mafuta tumboni
Madhara ya Hormonal Imbalance
👉 Ugumba au matatizo ya uzazi
👉 Matatizo ya hedhi
👉 Kuongezeka uzito kupita kiasi
👉 Kisukari
👉 Matatizo ya mifupa
👉 Msongo wa mawazo na mabadiliko ya hisia
Ikiwa dalili zinaendelea kwa muda mrefu, ni muhimu kufanyiwa vipimo na ushauriwa kitaalam ili kubaini homoni iliyoathirika na kupata matibabu sahihi.
WASILIANA NASI
PIGA SIMU AU WHATSUP
0790 939 797

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUMEUpungufu wa nguvu za kiume ni hali ambapo mwanaume hushindwa kupata au kudumisha uume kusimama...
24/06/2026

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ambapo mwanaume hushindwa kupata au kudumisha uume kusimama vizuri kwa ajili ya tendo la ndoa. Hali hii hujulikana pia k**a tatizo la kusimamisha uume (erectile dysfunction).
SABABU ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
1. Kisukari
2. Shinikizo la damu
3. Magonjwa ya moyo
4. Msongo wa mawazo na huzuni
5. Matumizi ya pombe kupita kiasi
6. Uvutaji sigara
7. Upungufu wa homoni za kiume (testosterone)
8. Unene kupita kiasi
9. Kutofanya mazoezi
10.Matumizi ya baadhi ya dawa
DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
1. Kushindwa kusimamisha uume
2. Uume kusimama kwa muda mfupi na kulegea haraka
3. Kupungua hamu ya tendo la ndoa
4. Kushindwa kufanya tendo la ndoa kwa kuridhisha
5. Kupungua nguvu za mwili na uchovu wa mara kwa mara
MADHARA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
1. Msongo wa mawazo
2. Kupungua kujiamini
3. Migogoro katika mahusiano au ndoa
4. Ugumu wa kupata watoto ikiwa tatizo linaambatana na matatizo ya uzazi
TAHADHARI :Kupungua ubora wa maisha ya kimapenzi
Ikiwa tatizo linaendelea kwa muda mrefu, ni muhimu kupata ushauri wa kitaalam.
KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU TIBA
NA USHAURI WASILIANA NASI KUPITIA
WHATSAPP AU PIGA
0790 939 797.

21/06/2026

Address

Kimara Stopover
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rolumahealthcare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share